@ForePlay huyo wa kwako na yeye ni mchepuko wa mwingine na huko yeye ana manjonjo ile mbaya. Kwa mchepuko yeye anachotaka ni pesa so lazima abembeleze ila.mkeo.anataka.mapenzi umkanue hasa so jitathmini vizuri
kuna wanaume wanaojua taarabu aise
Hawezi chepuka nikiwa hai,labda nikifa. Nshamuweza zamani sana,ashaniwezaga zamani sana.
Ila kabla yake,mungu anisamehe asee!!!
Hebu tuichambue na kuitafakari ubetuaji wa locki na kudakwa kabla ya kuvua viatu !!! tutazame sababu za mapungufu yapo au sintofahamu ya kuthamini halali ya mhusika !!Kwani wanaochepuka wana label usoni! Unless wewe ni kigalula
Mmh m mgen huko[/QUOTE Mis powers ugeni wako hautokwepeka uchokozi huu upo kila mtaa, mchpuko inashimiri fasta!!
Hebu tuichambue na kuitafakari ubetuaji wa locki na kudakwa kabla ya kuvua viatu !!! tutazame sababu za mapungufu yapo au sintofahamu ya kuthamini halali ya mhusika !!
FarePlay usiikane haki ya mwenza, na usidhulumu maskani, utarudi kulala hapo!!
@Mis.powers ugeni wako hautokwepeka uchokozi huu upo mila mtaa..... Heaven Sent itakuwaje kila kipya kifuate uvivu ?!!
Swadaqta Khaswa..!! hiyo umeiweka faswaha na kuvunja ukimya mwanaume "SEMA UKITAKACHO na uigharamie walau 50%" utapata zaidi ya nje !! (unazopeleka kwa michepuko siulete nyumbani kwako?)Si Unajua kabla hamjaoana kunakuwa na some kind of competition. So mwanamke anajitahidi kuonyesha mautundu yote Ili awekwe ndani. Akishawekwa ndani si ashapata assurance ya kuwa yeye ndo number one, so hajistress sana. Na pia mkishaoana majukumu ya familia, kuzoeana, mara watoto, kujisahau etc vinaweza kusababisha mapenzi kupungua kidogo. Cha muhimu ni kuvunja tu ukimya na mwenza wako, mnakimbushana tu pale unapoona amejisahau
Michepuko inajitahidi zaidi since inajua yenyewe mijizi tu, so inacompete na wake zenu Ili ionekane yenyewe ndo bora, na iweze kuwachuna vizuri