Bwana KAGAME amepata hasira na Tanzania na sio KIKWETE, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imezuia ulaji wake huko KONGO. Haiingii akilini Bwana KAGAME amtukane Rais wetu hazarani kwa sababu ya ule ushauri, Tena ushauri wenyewe unaonekana ukifuatwa tatizo la waasi wa Rwanda litakwisha. Hii nchi ya Rwanda ni wauzaji wa madini nje ya nchi huku wote tukijua kuwa RWANDA haina rasilimamili ya madini, wanapeleka mpaka mchanga wa madini nje ya nchi. TATIZO HAPA NI MASLAHI NA SIO USHAURI ALIOPEWA.Tuungane na nchi yetu katika hili.
Ni kweli mkuu.. Tatizo kumtetea Kikwete na jinsi maisha yalivyo magumu yataka moyo wa uwenda wazimu.....
Bwana KAGAME amepata hasira na Tanzania na sio KIKWETE, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imezuia ulaji wake huko KONGO. Haiingii akilini Bwana KAGAME amtukane Rais wetu hazarani kwa sababu ya ule ushauri, Tena ushauri wenyewe unaonekana ukifuatwa tatizo la waasi wa Rwanda litakwisha. Hii nchi ya Rwanda ni wauzaji wa madini nje ya nchi huku wote tukijua kuwa RWANDA haina rasilimamili ya madini, wanapeleka mpaka mchanga wa madini nje ya nchi. TATIZO HAPA NI MASLAHI NA SIO USHAURI ALIOPEWA.Tuungane na nchi yetu katika hili.
Kagame anamtaka Jakaya Kikwete kwa Jina lake na familia yake wala sio Tanzania hivyo naunga mkono Kagame kumtwanga Mrisho Kikwetemgogoro wa congo haukuanza leo, na kikwete hana ubavu wa kuumaliza, huo muda angetumia kutatua matatizo ya ndani,
hizi hoja za kuwa wanajeshi wetu wanalipwa na UN sio za msingi, watumie huu muda ambao nchi imetulia hata kulima mashamba tupambane na njaa ambayo ina athari ya moja kwa moja kwa Watz kuliko vita vya Congo, vinginevyo kama na Tz imeenda Congo kutafuta hayo madini.
Kagame anamtaka Jakaya Kikwete kwa Jina lake na familia yake wala sio Tanzania hivyo naunga mkono Kagame kumtwanga Mrisho Kikwete
Kaka humu tumevamiwa na akina saint KAYUMBA nursery school pupils.Nyerere alipomtaja Idd Amin kwa jina lake alimaanisha Idd Amin au Uganda? Think big! Usiwe na akili ya hivyo jamaa yangu,hapa ni nchi na nchi!
Unahisi nani atatwangwa kwa kuwaona tu?kama vipi wapande jukwaani wazipige wao as individuals,...
Unahisi nani atatwangwa kwa kuwaona tu?
ukumuke KENYA hawajakuja kuchimba tanzanite Tanzania bali hununua kwa watu binafsi wanaopeleka wenyewe huko kwao, na wao kuiuza nje, tofauti na KAGAME yeye amaepeleka majeshi yake yachimbe huko CONGO.Kenya ndiyo wauzaji bora wa Tanzanite kwenye soko la nje, umewahi kujiuliza wanakozichimbia?wewe umeona kagame ndiye mbaya kwa kukwapua almasi za kongo na kuzipeleka kuinua uchumi wa nchi yake, ila huoni ubaya kwa wakenya kupora tznite yetu na kuipeleka kwao,wewe si mzalendo.