Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

Nitajie uongo ulioandikwa na gazeti hilo. Kuulizwa kuhusu elimu yako unajibu kuhusu Manji? Elimu ya Makonda na Manji vinahusianaje hata ulihusishe gazeti hilo na Manji? Aliyeanzishah habari kuhusu habari ya elimu ya Makonda katika mitandao ni Jambo Leo. Inawezekana si tu kwamba huna habari za kutosha, ni kwamba huna habari zozote kuhusu kile kinachoendelea.
Ni kweli Manji na vyeti vya makonda havina Uhusiano kabsa ni magazeti mengi kwa sasa yamemkataa makonda Daudi Albert baada ya kugundua kuwa alitumia fursa ya kisingizio cha kupambana na Unga kupenyeza chuki, wivu na kukomoana, sasa eti wanataka Gazeti limfagilie Mtu mwenye Roho mbaya mnafiki anayelala na masogange muuza unga Sigu, magazeti tendeni kazi kwa misingi ya haki na si magazeti walimwambia magufuli atangaze kupiga marufuku vyeti feki ni yy mwenyewe aliamua, cha ajabu sasa kawa muoga juu ya vyeti vya Daud Albert, na endapo atamlinda kwa kweli heshima yake itapungua sana.
 
Nchi hii watu wakitaka kukuchafua,mara katumia jina la Daudi,mara tuambiwe kachukuwa jina lote.Makonda piga kazi tu
Kapime marinda...hawa ndio wale wa jinsia nyingine....wazazi usikubali mtoto wako kulelewa na mtu mwingine....mtoto wako akipendwa kuliko watoto wa hiyo nyumba usimlaumu mtu...Bashite OUT
 
Kapime marinda...hawa ndio wale wa jinsia nyingine....wazazi usikubali mtoto wako kulelewa na mtu mwingine....mtoto wako akipendwa kuliko watoto wa hiyo nyumba usimlaumu mtu...Bashite OUT
Ungempima marinda mama yako mzazi kwanza.Huwezi kumuondoa Makonda kwa maneno ya mitandaoni
 
Back
Top Bottom