Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 425
- 1,027
kama Azam walivyofanya kwa Feisal.Dube analeta utoto, kama unajua una mkataba na timu yako huwezi kukurupuka tu kutaka kuondoka, hizo ni bangi.
Hata kama anatakiwa na hiyo timu ya wafuga majini, awaambie viongozi wa wafuga majini waende kuongea na Azam wamalizane..
Hiki walichofanya kwa Dube ni kama wamemtuma kuvuruga mambo makusudi ili wapate mlango wa kuingilia..
Ili waanze kufanya mazungumzo na Azam, kwa kigezo mchezaji hana raha hapo alipo, kumbe wao ndio walimuagiza akose hiyo raha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Itakua ni revenge ya Feisal, acha Azam nao wakomeshwe walishiriki sana kuharibu stability pale jangwani wakati team inapambana CAFDube analeta utoto, kama unajua una mkataba na timu yako huwezi kukurupuka tu kutaka kuondoka, hizo ni bangi.
Hata kama anatakiwa na hiyo timu ya wafuga majini, awaambie viongozi wa wafuga majini waende kuongea na Azam wamalizane..
Hiki walichofanya kwa Dube ni kama wamemtuma kuvuruga mambo makusudi ili wapate mlango wa kuingilia..
Ili waanze kufanya mazungumzo na Azam, kwa kigezo mchezaji hana raha hapo alipo, kumbe wao ndio walimuagiza akose hiyo raha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Samahani Mkuu, mimi nadhani hizo timu za Bongo zilizoingia kwenye hili sakata zote zina makosa tena makubwa. Maana nakumbuka hata wakati Feisal Salum anataka kuondoka Yanga ulitumika uhuni kama huu. Shida ni kwamba tunataka kuendesha mpira kama familia badala ya kufuata sheria. Naona kuna masuala ya kisasi kwenye hili sakata. Msingi ni kurudi kwenye kuheshimu mikataba haya mambo hayatajitokeza tena.Dube analeta utoto, kama unajua una mkataba na timu yako huwezi kukurupuka tu kutaka kuondoka, hizo ni bangi.
Hata kama anatakiwa na hiyo timu ya wafuga majini, awaambie viongozi wa wafuga majini waende kuongea na Azam wamalizane..
Hiki walichofanya kwa Dube ni kama wamemtuma kuvuruga mambo makusudi ili wapate mlango wa kuingilia..
Ili waanze kufanya mazungumzo na Azam, kwa kigezo mchezaji hana raha hapo alipo, kumbe wao ndio walimuagiza akose hiyo raha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwaka Jana kuna ujinga kama huu ulikuwa unautetea au siyo wewe?Dube analeta utoto, kama unajua una mkataba na timu yako huwezi kukurupuka tu kutaka kuondoka, hizo ni bangi.
Hata kama anatakiwa na hiyo timu ya wafuga majini, awaambie viongozi wa wafuga majini waende kuongea na Azam wamalizane..
Hiki walichofanya kwa Dube ni kama wamemtuma kuvuruga mambo makusudi ili wapate mlango wa kuingilia..
Ili waanze kufanya mazungumzo na Azam, kwa kigezo mchezaji hana raha hapo alipo, kumbe wao ndio walimuagiza akose hiyo raha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kuwa tu mpole comrade. Huu mchezo hautaki hasira. What goes around, comes around.Dube analeta utoto, kama unajua una mkataba na timu yako huwezi kukurupuka tu kutaka kuondoka, hizo ni bangi.
Hata kama anatakiwa na hiyo timu ya wafuga majini, awaambie viongozi wa wafuga majini waende kuongea na Azam wamalizane..
Hiki walichofanya kwa Dube ni kama wamemtuma kuvuruga mambo makusudi ili wapate mlango wa kuingilia..
Ili waanze kufanya mazungumzo na Azam, kwa kigezo mchezaji hana raha hapo alipo, kumbe wao ndio walimuagiza akose hiyo raha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Majini FC wameshawekewa dau, kama wanaamini kwenye revenge waambie waende kwa Samia kuomba msaada.Itakua ni revenge ya Feisal, acha Azam nao wakomeshwe walishiriki sana kuharibu stability pale jangwani wakati team inapambana CAF
Tuliza kimba boss subir wavurugwe vurugwe mpaka walainike wenyeweMajini FC wameshawekewa dau, kama wanaamini kwenye revenge waambie waende kwa Samia kuomba msaada.View attachment 2925107
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mchezaji kaomba kuvunja mkataba ,Azam wamempa dau avunje mkataba wake anatokea mhehe sijui msambaa anapinga.Yaani mtu mpaka kaandika barua na bado mnataka mseme kakurupuka??? Kwa hiyo hapo afanyeje??, fikra za baadhi ya wabongo anaeweza kuzielewa ni mtu asiejielewa kabisa
Yaani mtu kaandika barua kuijulisha klabu bado mtu anaona sio sawa, sa sijui kingine kipi huwa kinafanywa
Na ndivyo inavyopaswa kuwa. Dau hili hapa, amua mwenyewe.Majini FC wameshawekewa dau, kama wanaamini kwenye revenge waambie waende kwa Samia kuomba msaada.View attachment 2925107