MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
25) kwa sababu cuf ni chama mahiri cha siasa na kina upeo wa hali ya juu kuliko sisi wagomvi na wapenda fujo
26) kwa sababu hamad rashid alimrarulia na kumgaragisha kama mtoto mdogo mwenyekiti wetu kwenye mdahalo
[*]CUF ni Chama cha Kiislam kinachosimamia ughaidi na kushulikiana na Al shabab
[/LIST]
Lengo kuu la serikali ya umoja wa kitaifa ni kuua demokrasia-mna rais mmoja, action plan moja, baraza moja la mawaziri, waziri mkuu mmoja,na mengine mengi mengi mengi sana!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa katika hali kama hii dhana ya upinzani bado itakuwa imebakia kweli ??????????
Mugabe ameng'ang'ania kwa maslahi yake!!!! Kenya wao walitumia kama mpito na tayari katiba yao mpya imeondoa kitu hicho cha hatari kwa maendeleo ya taifa lao; ZBR katiba yao ni ya kudumu!!!-it has marked the end of multipartism there!!!!!!!!!! US, UK, na nchi duniani zenye misingi ya utawala wa haki, upinzani ni utaratibu wa kudumu-iweje tuletewe sera hizi za kifashsti??????? To hell with sera za serikali za umoja wa kitaifa!!! Kwani siasa ni vita!!!!! Siasa ni ustaarabu-upinzani ni pressure group-!! Hamuoni kwa kuogopa makali ya chama pinzani makini ambacho pia ni serikali kivuli mjengoni akina Pombe wameanza kwa gia ambazo hawajatumia tangu sisiemu izaliwe 1977!!!!!!!!!! Safari hii Pombe atakula mtu!!!!, akianzia na maskini Mrema-sijui na ardhi nako ataliwa mtu!!!!?????- ni maeneo mengi- pale fedha sijui kama EPA safari hii inchukulika???....!!!! Amaaa kweli Tundu Lissu ni mwanaume-hata polisi waliposikia tu upepo wake, ruksa haraka haraka, asije akapanda jukwaani na kumkaripia mizengwe pinda-maana anamsubiri mjengoni sababu kaingia mjengoni kupitia mlango wa uani !!!!!! Iko kazi safari hiii!!!!!! Baada ya kuonja joto ya jiwe la upinzani Mkwere mwenyewe amewaambia uswahiba ndiyo basi-kamwacha mkwe solemba!! mkwe samahani upepo umegeuka!!!!, niache tuokoe jahazi!!!-usicheze na upinzani-halafu mtu anakuja ana-advocate sera ya kuondoa pressure hii tamu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haikaeli na Dr (PhD) take note of our points kuwakataa kabisa kafu kwenye serikali kivuli-muangalie pia mtoto wao mageuzi-huyu naye hafai; their desparate mvungi ametukana CDM ataingiaje- yeye ametukana wakunga wakati bado mcha kweupe ndiyo uzazi unaanza!!!!!!!!!!!!!!!
kabla hatujamhukumu tufanye uchunguzi cuf ina wabunge wakristo? nachofahamu mimi uislamu pia kaama dini zingine unampinga laden na makundi mengine ya kigaidi maana obama ni muislam na anongoza sera hizo vizuri ila kaudin cuf kapoMkuu Salute kwako,
Tafadhali ni PM ushahidi/Source yoyote inayotetea pinti yako hapo juu
Baada ya mdahalo wa Freeman Mbowe na Hamad Rashid, zimejidhihirisha wazi sababu zinazo wazuia CHADEMA kuwashirikisha CUF katika baraza la mawaziri kivuli na kuacha kushirikiana nao hadi wakitambue CHADEMA kuwa ni Chama mbadala kinachobeba matumaini ya watanzania.
- CUF kwa kushirikiana na CCM wameichezea Katiba ya JMT kwa kufanya mabadiliko ya Katiba ya ZNZ yanayo puuza Supremacy ya Katiba ya Tanzania.
- CUF wanatambua Tume ya Uchaguzi na matokeo yote yaliyotangazwa na tume hiyo.
- CUF ni Chama kinachotetea wapemba wapate vyeo.
- CUF ni Chama cha Kiislam kinachosimamia ughaidi na kushulikiana na Al shabab.
- CUF ni tawi la CCM lililoko Pemba.
- Cuf ni chama cha kikanda kisichokuwa na nia yoyote na Tanzania Bara
- CUF kinaongozwa na viongozi wenye wivu na inda.
- CUF hawafahamu na kukubali kuwa Katiba ya JMT ina matatizo makubwa.
- CUF ni ndumila kuwili.
- CUF hawamkubali kiongozi yeyote kutoka Bara kwamba ana akili na anaweza kuongoza, labda akubali kumtumikia Seif Sharrif kama Lipumba.
- CUF hawaamini katika demokrasia bali katika Usultan.
- CUF wanatukuza uzanzibar zaidi ya Utanzania.
- CUF wanatumiwa na CCM kuidhofisha CHADEMA
- CUF ni sehemu ya utawala kwa upande wa SMZ
- CUF hawana utashi wowote wala nia ya kutawala Tanzania bara.
- CUF wametangaza kuwa wanataka kuunda kambi yao ndogoya upinzani bungeni.
- CUF ni wachumia tumbo hasa kwa kuzitolea mimacho fedha anazopewa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
- CUF hawaamini kuwa CHADEMA waliwazidi kwa kura wakati wa uchaguzi mkuu.
- CUF na viongozi wao hawaaminiki hata kidogo.
- CUF hawawezi kutunza siri za upinzani.
- CUF kina viongozi waliowahi kutuhumiwa uhaini.
- endeleza sababu zifike mia halafu apelekewe kiongozi wa Upinzani Bungeni na katibu Mkuu wa CHADEMA.
35) hakina mwelekeo
36) wameweka madaraka mbele kuliko kuikomboa nchi
38) kuna harufu ya misingi ya udini
39) kinaonekana kama ni chama cha wazanzibari na si watanzania
40) waliwahi kusababisha kuvurugiga kwa amani zanzibar na kukimbilia nje wakiacha machafuko
41)wameshiriki kuvunja katiba juu ya muungano
42)hakina surport kubwa toka kwa vijana wasomi ambao ndo nguvu kazi
43)hakina surport toka kwa mwasisi yoyote wa siasa tanzania na kama yupo hana nguvu kwa jamii
44)mwenyekiti wao ni balozi wa kikwete maana kwenye kampen zake lazima aende ofisi za wakuu wa wilaya na wakurugenzi
45)sasa hv cuf ni chama tawala
kabla hatujamhukumu tufanye uchunguzi cuf ina wabunge wakristo? Nachofahamu mimi uislamu pia kaama dini zingine unampinga laden na makundi mengine ya kigaidi maana obama ni muislam na anongoza sera hizo vizuri ila kaudin cuf kapo