nadhani tusichukue mambo juu juu hasa kwa kishabiki,binafsi sijafanya utafiti wa MBA but nataka niongelee kwa ujumla kuhusu chuo kikuu mzumbe kwa kulinganisha na vingine kwa kuzingatia yafuatayo
lengo na madhumuni ya kuanzishwa chuo,tumeona madhumuni ilioanzisha chuo cha mzumbe ni tofauti na udsm,kivipi,mzumbe imetoka kwenye taasissi namaanisha institute(IDM),NA IFAHAMIKE ILIKUA NA MALENGO MAHUSUSI,NA HATA LEO WANOBISHA WABISHE TU LAKINI KTK MAENEO HAYO AMBAYO YANA HUSIANA NA MANAGEMENT IWE MAENDELEO YA JAMII,IWE FEDHA, UTAWALA NK,MZUMBE WAKO JUU,MFANO WA VYUO HIVI NI KM MIPANGO DODOMA(IRDP)HUWEZI UKAWAPIKU KATIKA FANI YA MIPANGO,(angalia sheria za kuzianzisha)
mahitaji ya soko,JE WAAJIRI WANAtaka nini,mfano huwezi ukalinganisha utendaji kazi ie field (porini)/kwa mwananchi wa kawaida wa mtu anayetoka chuo cha wanyamapori mweka na wa sua ambao wote wana shahada ya kwanza au its equivalent kuhusu wildlife management,pia kuna waajiri wengine wanataka watu ambao ni wasimamizi tu na wanaowezakupresent kwenye powerpoint vizuri zaidi,ambao si wabunifu wanategemea wamnefundishwa nini na nani wa ulaya kasema nini kuhusu jambo hilo ht km mazingira ,vitendea kazi ni tofauti
waajiri wanasemaje,ni ukweli usio pingika udsm ya miaka ile si ya leo,kwenye ubora,km ni kweli sawa km sivyo utanambia,
,lakini watu wengi wanawapenda watu wa mzumbe enzi zile kuliko mlimani kuwa mabwana maendeleo ,tembeeni,kagueni, mawilayani mujionee,ijapokua muongozo ulikua for the same post education requirement was either ba sociology ya mlimani or adv dip community dev ya mzumbe,angalieni leo wakuu wa idara maendeleo ya jamii wilayani wengi wanatoka chuo gani
mabadiliko,vyuo vingi kwa sasa vipo kibiashara na vinaandaa kozi kutokana na upepo unapoelekea,na vina badili mielekeo yao,mapungufu madogo madogo yapo kwa kila chuo na kwa kila mhitimu,pia idadi ya wahadhili inategemea hali halisi,hiost\toria,malengo mmiliki ,umri wake,nk ,cha msingi ni output ikoje,maana unaweza ukawa na prof 70 ila lekcha hakuna daily trip unazan ni sawa na yule mwenye phd 30 ambao wako bize na chuo wanahudhuria class?au ratio unaweza ukawa na prof 10 na wanafunzi 100 mwingine prof 200 wanafunzi 20000!!?
hitimisho
kila chuo kina strength na weakness ktk kozi fulani hasa bongo no master wa kozi zote