Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Shem yani najiuliza kwa nini sikukutana mapema na Chimbuvu.
Nampenda mno.
Hata kwa Ruhazwe JR ulisema hivyo...ukamtosa
Kwa Ruttashobolwa ukasema umefika....ukamtosa
na kwa nanii pia...na nanii pia...
Hata huyu Chimbuvu ajiandae kula za uso hata km sio mwaka huu ila mwakani havushi
Last edited by a moderator: