Kazi zenye Furaha zaidi ulimwenguni kote

Salamu.Watu wanaofanya hizi kazi wana Furaha zaidi.
1.Early Child hood Educator.
Mwalimu wa chekechea kweli? Kibongo bongo sidhani
2.Market Consultant
Hiv unaujua mziki wa kuichomoa pesa mfukoninkwa mtu mkuu akupe wewe. Marketing is no joke. Hiz event za promotionz na advertisement, zoote ni mahusus kwa ajil ya kurahisha au kupunguza changamoto za marketinng
3.Interior Designer
hii siijui
4.Esthetisian
Siijui
5.Carpenter
NOt really
6.General Manager
depends. General manager wa Bar au Bank?
Kuna wale ma general manager kwenye vikampuni vya kijasiriamali, jina kuubwa , hela kiduchuu, stress gunia
7.Plumber

8.Event Planner
it depends.ushahudhuria events za vigodoro wewe 😂
9.Chef Executive
it depends , otherwise ni kama general manager tu
10.Sound Engineer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom