Sababu 7 kwanini Yanga hatuna raha

Ayo yoote uliyo ainisha apo ndio Makombe ya Simba na tunawapongeza , sisi Yanga furaha yetu ni kuendelea kuomba Mungu tufike tarehe 13/08/2022 salama. Siku iyo ndio tunaanza kuchukua taji la kwanza katika msimu wa 2022/2023.

Sie wenzenu furaha yetu caf ianze tuzidi kupaa...LEVELS LEVELS
 
Back
Top Bottom