Sababu 7 kwanini maandamano Aprili 26 ni vigumu kufanikiwa

Sababu kubwa ni kuwa HAKUNA HOJA yenye mshiko kuwashawishi watu waandamane. Ingetokea miaka 5 iliyopita wangetokea watu kina CDM, Mange, Tundu au wowote kutuhamasisha tuandamane kwa vile raslimali zetu za madini zaibwa wengi tungesapoti kwa sababu kuna hoja ambayo haipingiki. Leo hii serikali ya Magufuli imerekebisha ushenzi huo na kina ACACIA wanalia wanatoa pesa kiduchu kwa walewale waliotuonyesha jinsi tulivyopigwa sasa waliopewa hivyo vipesa wanataka tuandamane ili waongezewe fungu. Watanzania tuna akili na ushenzi huu hatuukibali ndio maana maandamano ya msingi huo kamwe hayatafanyika TZ
 
Acacia walilipa ile fidia?
 
Mimi naona wao ndio walioyatangaza zaidi kuliko huyo binti

..kama polisi wamejitokeza mikoa yote kufanya mazoezi ya kuzuia maandamano, basi watakuwa wamesaidia kufikisha ujumbe wa Da Mange kwa wananchi, haswa wale wasiokuwa na uwezo wa kumfuatilia kwenye mitandao.
 
Jamani huku kwetu vijana wako full chaji. Ifikapo saa mbili usiku wa leo nitatoa physical address ili kesho asubuhi vyombo vya hqbari vya ndani na kimataifa vije. Huku tutatetemesha.
vipi mkuu tunasubiri picha za matukio
 
Vita ya uchumi ni ngumu kama mhe. Rais alivyosema , tutabishana humu , lakini kitu kinachotatiza ni gharama gani wananchi watalipa ili Uhuru huo upatikane ? China ilpoteza roho ngapi kipindi cha cultural revolution, na hadi wanaendelea kulipa kwa mbinyo Wa Uhuru binafsi. Je, huko ndiko role model yetu ya msendeleo? Mimi binafsi gharama hiyo ingekuwa kwa utashi wangu siko tayari kuilipa . heri kuishi maskini nikwa Uhuru kuliko kuishi nikiwa mtumwa wa dola,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom