armanisankara
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 283
- 49
1)kura vijijini: watu wengi vijijini wanasubiri pilau, kanga, vitenge na ahadi za uongo za CCM
2)kura za wakina mama: wakina mama wengi bado wana mapenzi makubwa na CCM. Wakiwapewa kanga, vitenge na show za bongo fleva.
3)Mapenzi na Vyama vya Siasa: Tofauti za siasa za Tanzania na nchi nyingine ni kwamba nchi zingine wanaangalia sifa za mgombea na sio Chama. Kuna watanzania wengi bado wanakipenda CCM sababu ya historia na viongozi wake wa Zamani wanasahau 2015 CCM sio ya Zamani.
4)vyombo vya usalama: vyombo vyote vya usalama hua vinatumia ujuzi na nguvu zao zote kubeba Chama chenye dola [CCM].
5)kuiba/kuibiwa kura: kwenye changuzi nyingi hapa Tanzania kura hua zinaibiwa Kuanziwa changuzi za chini mpaka Juu.