Sababu 5 za msingi za muda wote

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
14
Reaction score
18
1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954

2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu.

3. Wajumbe (viongozi) wao hawana uhusiano wowote (hata wa damu) na wale waliokuwa TANU (waasisi wa Taifa letu)

4.Hakuna taratibu za kisheria zilizofuatwa mpaka Sasa, Kama mahali pa mkusanyiko na muda wa kuanza na kumaliza.

5. Mwisho na muhimu zaidi.Washiriki wa maandamano hayo ni kina nani ? au Bora liende 😭 !!!

"HARAMU,HARAMU,HARAMU TENA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…