Sababu 3 zilizonyuma ya vifo ktk mikutano ya Chadema,mtumishi wa Serikali anitonya

Siku tatu kabla ya mkutano wa Morogoro Nape Nnauye akongea kwenye radio moja, alisikika akishauri wananchi wa Morogoro wasiende kwenye mkutano wa CDM kwani kutatokea vurugu na wanaweza kuumia.. alikuwa anaongea kama vile kuna mpango funali, nilikuwa namsikiliza na watu wengine , kuna mtu akasema mbona anaongea hivi , au wamepanga kufanya vurugu.. kilichotokea baada ya hapo wote tunajua...

Binafsi namini huu ni mkakati wa serikali kutaka ama kufuta CDM, au kupiga vita mikutano ya CDM kabisa.

Hawawezi kufuta, wanataka kuwaaminisha wananchi kuwa CDM NI CHAMA CHA VURUGU!
 
Ulichosema ni sahihi, tunasubiri sasa tamko kali kutoka CDM, ikibidi watangazie umma kuwa kuanzia sasa hivi ni wajibu wa kila mwanchi kujilionda mwenyewe, wakienda kwenye mkutano kila mtu aanze kujihami
 
sababu zote zinaingia akilini, kazi tuliyonayo sio ndogo lakini wakati ukifika ccm itang'oka tu.!
 
403890_442493699123523_1244853011_n.jpg
 
Yaani sababu zote zinaitoa CDM kwenye picha. Kwa nini unatumia nguvu kuisafisha kama tayari ni safi? Wananchi wana akili wanajua ukweli.

umenena vyema.
Mambo mengi aloandika hajayatolea ushahidi bali ni hisia na maneno ya kusikia.
Hoja zake zimeelemea upande mmoja.
binafsi sikubaliani nae mpk atakapo thibitisha aloyaandika.
 
ile singo ya ukanda imechuja vibaya sana wamekuja na singo ya vurugu. Naamini 2015 hakuna mwananchi wa kawaida atakaeipa kura ccm, sasa hivi kila mwananchi anajua maisha magumu mfumuko wa bei umesabishwa na serikali ya ccm.!
 
Wao CCMPOLISI wanashindwa kuelewa ya kuwa watanzania kwasasa wanaona CHADEMA ndo MKOMBOZI wao pekee anayeweza kuwatoa kutoka UKOLONI huu wa CCMPOLISI. Ndo maana pamoja na kufanya mauji kwenye mikutano ya CHADEMA, lakini NYOMI iko palepale...

Wanasahau ya kuwa, hakuna falme au tawala zilizodumu milele...Mabutu,Hastings Kamuzu Banda, Idd Amin Dada, Charles Taylor, Jean-Bedel Bokassa, Fransisco Macias Nguema, Nicolae Ceausescu,nk. nk. Sembuse wao CCM!! I think this is the beginning of an end....
 
Hawawezi kufuta, wanataka kuwaaminisha wananchi kuwa CDM NI CHAMA CHA VURUGU!


This is very possible. Tatizo porojo za kusema kuwa ni chama cha vurugu zimekwam. Sasa wanataka kumwaga damu ya watu wasiohusika kuhalalisha hoja yao.
 
Nimeupenda sana uchambuzi wako,japo ni tetesi lakini sizakupuuzwa hata kidogo lazima viongozi wa CDM wazifanyie kazi.
 
Yaani sababu zote zinaitoa CDM kwenye picha. Kwa nini unatumia nguvu kuisafisha kama tayari ni safi? Wananchi wana akili wanajua ukweli.

Hapo kwenye red ni kweli kabisa wananchi wenye akili timamu wote wanaujua ukweli ndiyo maana wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya Chadema tena kwa ridhaa yao wenyewe bila kushawishiwa kwa pilau na rusha roho. Wananchi wa leo siyo wale wa enzi za zidumu fikra za fisadi. hivi sasa wananchi wamepuuza propaganda za kijinga za CCM za udini, ukanda na ukabila ndiyo maana magharibi hadi mashariki,kusini hadi kaskazini Chadema wakiitisha mkutano mtoto hatumwi dukani.Kwa maana hiyo hata hizo porojo zenu za kuihusisha Chadema na mauaji zimeshindwa na hata manapoamua kutumia mitutu ya bunduki bado wananchi wameikubali Chadema na kupata ujasiri wa kupambana na serikali ya mabavu ya CCM.Kazi ni kwenu mafisadi na vikaragosi vyenu vinvyolipua watu kwa mabomu.
 
This is very possible. Tatizo porojo za kusema kuwa ni chama cha vurugu zimekwam. Sasa wanataka kumwaga damu ya watu wasiohusika kuhalalisha hoja yao.

Yeah! Akili za strategist wa magamba ni finyu sana, they don't think about consequences but their unlogical purposes. Ila nauhakika ukatili wa matendo yao huu ndio chachu ya mwisho wao. Yale mawazo ya upinzani ni chanzo cha vita kwa sasa hayapo ktk fikra za wengi. Bye Bye MAGAMBA, WATANZANIA WAMEONA, WATAAMUA!
 
umenena vyema.
Mambo mengi aloandika hajayatolea ushahidi bali ni hisia na maneno ya kusikia.
Hoja zake zimeelemea upande mmoja.
binafsi sikubaliani nae mpk atakapo thibitisha aloyaandika.

Mkuu,
Ungeniuliza specific question. Mimi nimechambua tu vitu ambavyo viko wazi magazetini na hayajapingwa.
Sakata la Singida ni kweli tupu nimesema. Vivyo hivyo ha Morogoro.

 
Bendera ya nchi yetu haina rangi nyekundu kwa sababu nchi yetu haikumwaga damu kupigania uhuru...Ninawashauri sasa bendera yetu iwekewe rangi nyekundu kwa sababu kuna watu wamepoteza maisha yao wakidai haki zao za kimsingi na za kikatiba.
 
Back
Top Bottom