sababu 3 za kuichukia chadema

najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema kwamba udini ulitumika sana ktk kutafuta uongozi ndani ya cdm.PIA ni chuki yao ya wazi dhidi ya uislamu na waislam[wanawachukia kikwete na mwinyi ,wanawapenda mkapa na julius] 2:UMAARUFU WA KIJINGA.hili la umaarufu limejionyesha dhahili kwa lêma kwa kitendo kujiweka gerezani kisha kutaka kulazimisha mahakama imtoe kwa nguvu[ujinga].PIA kama mtakumbuka cdm wålishawahi kuandamana kulazimisha bei ya sukari ipungue{wakati ule ilikuwa sh 2000}haikupungua .sasa bèi ya sukari 2500/=hawaandamani{wamepewa 10%} 3:HAKUNA DEMOKRASIA.hii ni pale m/kiti alipomtisha zito kwamba aondoe fomu ili mbowe acpate mpinzani. TO BE CONTINUED. Naomba kutoa HOJA.

me nnamashaka kuhusu uwezo wako wa kufikir km vp uje upya b'coz umetoka kizembe mno
 
naungana na wajumbe wengine kusema kuwa ZITTO ni sehemu ya chama kwa sababu n mwanachama lakin kutokuwepo kwake hakumahanishi kuwa CDM haitakuwepo hapa,pia suala la UDIN & UKABILA n ajenda inayotumiwa na NYINYIM(CCM) KWA MANUFAA yao kisiasa kwa sababu wanajua kuwa watz weng hawana elimu kwa hiyo kutumia kaul km hzo zitawapatia umaarufu kwa wajinga.Waachen wao na mapinduz yao ya kuwapindua wananch nawenye kujìtambua waje kwenye democracy & maendeleo yanayohusu taifa.
hivi Zitto akitoka hapo na akisema kuwa sababu iliyomtoa hapo ni udini uliokuwemo katika chama hicho hatowamaliza?Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom