INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,256
Inferiority complex hiyo,
using'ang'anize hilo ulisemalo..na alicho kiongea mtoa mada kama dukuduku lake nikweli kabisa hilo liko wazi,mimi naweza kukwambia kwenye madaktari kumi wa kibongo unaweza usipate hata mmoja mwenye wito wengi walienda kusoma kwa sifa ilimtaani waonekane au jamii iwatambue wao kinanani...!!nilishafanya kazi nao zaidi ya miaka mitano haya yote yanayosemwa nimeya experience kuto kwako
kubwa zaidi wanajifanya wanajua kushinda kila mtu kwenye hii duinia