Sababu 10 za kuwachukia madaktari

kwa kifupi kwa kuwa wewe inaonekana una IQ kubwa kajaribu kwenda kupewa iyo md pale imtu, kcmc n.k nitakulipia ada na accomodation tena na stationary ili next time ukija hapa uwe na ushahidi kuwa umeiokota.

na kama mkeo kapigwa PV alipokuwa anafanyiwa PVE na wewe ukapigwa PR ulipokuwa unafanyiwa DRE ikakuuma yanini kuleta ugomvi wako humu? PV na PR ni sehemu ya uchunguzi tu ndugu na ma Dr wamepewa authority na sheria.

kama vipi jipige mwenyewe PV na PR ili uondoe chuki na madaktari.
 
Jamaa kama vile anatafuta humu madaktari ni kina nani,wengine wameingia kwenye mtengo.asante kwa kuwatukana mkeo atazalishwa na makenika
 
Fani ya udaktari ipo tangu zama za kale kama zilivo fani nyingine kama uandisi au uanasheria au utoza ushuru..lakini nina sababu zangu personal kabisa zakinifanya kuwachukia madaktari specifically,
1. Wanahisi wana akili kuliko kila mtu. Uchinguzi unaoneasha kuwa, asilima karibu 95% ya binadamu waliopimwa na kuonekana na IQ kubwa hawaipendi wala hawaitukuzi hiyo fani. Slow thinkers.

2. Ni watu wazembe sana kimaisha. Ni fani ya watu wasio na uwezo wakuhustle. Yani wazembewazembe kutafuta.
3. Wanajiona kama miungu watu kisa wananyenyekewa na watu desperate wenye matatizo.
4. Wanategemea hela kutoka kwa watu wasio na uelewa, na maskini.
5. Wanapenda kuonekana wanafanya kazi ya tabu sana wakati walitaka wenyewe na wamesoma taratibu za utabibu.
6. Wengi ni average katika kila nyanja ya maisha..walifeli form 6 wakaenda urusi au imtu au kcmc au vichochoroni, wengine hata form 4 walifeli wakawa maclinical officers baadae wakajiendeleza wakawa ma md..mabwege wote hao..
7. Washamba
8. Wanalewa sifa za kijinga..wanaona dili kuvaa mikoti yao myeupe, kunyenyekewa..
9. Waigizaji
10. Hawatambui kuwa kazi yao ni wito..daktari wakweli anajitoa na kamwe haweki pesa mbele. Daktari wa kweli anauwaza utu wa binadamu na huduma yake ni ibada mbele ya Mungu ni mission. sasa mapimbi weru wa sikuizi dunianiii..

Mwisho napenda kuwaambia wadau wote kuwa, Dunia ilivyo kwa sasa hatuna madaktari, siyo tanzania wala marekani wala uropa, ni fani ya kishamba wanaosoma watu wasioweza kusurvive dunia ya kweli..na nitakapoumwa, nitajitibu, ikishindikana, nitaexpire kwenda ulimwengu mpya...wengine ongezeni list
Dah kuna watu mnadharau mpaka basi!!Mods post kama hii kweli mnaona niyakujenga kweli?Tusipende kudhalilisha fani zawatu humu!Mtoa mada nadhani kunajambo limempata akaamuua kuunganisha waliomo nawasiokuwemo.Naamini kabisa ulizaliwa Hospitali nawewe kama nimwanamke utazalia hospitali au kama nimwamme basi mkeo nawatoto pia utawapeleka huko kwahao unawakashifu namwili wako utahifadhiwa kwamuda katika maeneo wanayofanyia kazi hao unaowakashifu!!Kwajinsi walivyofundishwa hawatakujeruhi hata kidogo hata kama itatokea wamekufahamu!!
 
kwa kifupi kwa kuwa wewe inaonekana una IQ kubwa kajaribu kwenda kupewa iyo md pale imtu, kcmc n.k nitakulipia ada na accomodation tena na stationary ili next time ukija hapa uwe na ushahidi kuwa umeiokota.

na kama mkeo kapigwa PV alipokuwa anafanyiwa PVE na wewe ukapigwa PR ulipokuwa unafanyiwa DRE ikakuuma yanini kuleta ugomvi wako humu? PV na PR ni sehemu ya uchunguzi tu ndugu na ma Dr wamepewa authority na sheria.

kama vipi jipige mwenyewe PV na PR ili uondoe chuki na madaktari.

Hahaha
 
Fani ya udaktari ipo tangu zama za kale kama zilivo fani nyingine kama uandisi au uanasheria au utoza ushuru..lakini nina sababu zangu personal kabisa zakinifanya kuwachukia madaktari specifically,
1. Wanahisi wana akili kuliko kila mtu. Uchinguzi unaoneasha kuwa, asilima karibu 95% ya binadamu waliopimwa na kuonekana na IQ kubwa hawaipendi wala hawaitukuzi hiyo fani. Slow thinkers.

2. Ni watu wazembe sana kimaisha. Ni fani ya watu wasio na uwezo wakuhustle. Yani wazembewazembe kutafuta.
3. Wanajiona kama miungu watu kisa wananyenyekewa na watu desperate wenye matatizo.
4. Wanategemea hela kutoka kwa watu wasio na uelewa, na maskini.
5. Wanapenda kuonekana wanafanya kazi ya tabu sana wakati walitaka wenyewe na wamesoma taratibu za utabibu.
6. Wengi ni average katika kila nyanja ya maisha..walifeli form 6 wakaenda urusi au imtu au kcmc au vichochoroni, wengine hata form 4 walifeli wakawa maclinical officers baadae wakajiendeleza wakawa ma md..mabwege wote hao..
7. Washamba
8. Wanalewa sifa za kijinga..wanaona dili kuvaa mikoti yao myeupe, kunyenyekewa..
9. Waigizaji
10. Hawatambui kuwa kazi yao ni wito..daktari wakweli anajitoa na kamwe haweki pesa mbele. Daktari wa kweli anauwaza utu wa binadamu na huduma yake ni ibada mbele ya Mungu ni mission. sasa mapimbi weru wa sikuizi dunianiii..

Mwisho napenda kuwaambia wadau wote kuwa, Dunia ilivyo kwa sasa hatuna madaktari, siyo tanzania wala marekani wala uropa, ni fani ya kishamba wanaosoma watu wasioweza kusurvive dunia ya kweli..na nitakapoumwa, nitajitibu, ikishindikana, nitaexpire kwenda ulimwengu mpya...wengine ongezeni list

We Mse nge sana! Daktar gan afel Form 4 then are attain Degree, seem u had a dream of becoming a doctor but u failed, pole, Dk Ni Mheshimiwa, we Jiharishie hata mara 4 kwa siku tuone kama utatamka upuuzi wako huuu
 
Halafu ukiugua ndiyo kila mara unaita daktari aje kukuona. Kwanza utambue shule zinazoandaa madaktari ni chache zilizo na PCB pekee (form 6) halafu wanaotoka huko ni wachache sana wanapata nafasi ya kujiunga na vyuo vya udaktari wa binadamu na wanyama (Muhimbili na SUA sasa pia kuna vyuo kadhaa vimeongezeka). Tatizo lenu mlio wengi mkiona mtu kavaa white coat mnamuita daktari....wengi wao ni wasaidizi wa madaktari. Tulikuwa na Rural medical officer (RMA)/Clinical office na Medical assistants (AMO) achilia mbali kada nyingi zaidi kama za wauguzi na watu wa mazoezi au afya ya akili. Katika kazi kubwa Yesu alifanya hapa duniani iliyompa sifa na nguvu ilikuwa kuponya watu...huo ndiyo udaktari. Acha dharau unaweza kufa kwa msongo wa mawazo tu kwasababu hujamuona daktari sahihi.

Ndo maana hata serikali hua inaweza kutupuuza madai yetu coz ya ubaguzi wetu..unadhani unapomtenga co,au physiotherapist ama AMO km co Daktari unadhani hata migomo ama tunaposimamia madai yetu tutakua kitu kimoja?na hapo ndo serikari inatumia mfumo wa divide n rule..ukigoma amana afu magomeni waswahili wanatibiwa unadhani effect itaonekana kubwa?mds acheni hizo..
 
tatizo ujagundua kitu mtoa mada kuna madactari wa wito na wengne wamevamia fanii,,kama unavyojua Tanzania yetu kumba kumba unaeza ukawa umesoma cbn,cbg ukajikuta mhimbili,,so dont generalize,,wengine wako poa ujue kama baba angu khaaa,tena uwatake radhiii maana povu lilivyokutoka kama umekula sabun ya magadii
 
mtoa mada una chuki binafs na madaktari. ila ungekuwa na akili timamu ungeuchuna tu. sasa unataka tukuunge mkono kwa huu upuuzi uliopost? nahisi wewe ni dvsn 5. ungekuwa na akili ungejua criteria za kuchaguliwa kusomea medicine.
 
kila mtu anaishi ili atimize kusudi fulani. km una ushahidi kuwa madaktari hawatimizi wajibu wao ipasavyo au ni wabaya tu upeleke kwenye vyombo vya sheria waadhibiwe. pia siyo vibaya kuwashauri ili tujenge jamii yenye utengemano. pia nakushauri ndugu mleta mada ujitafakari ili na wewe ujue km una wajibu mwingine wa kutimiza kwenye jamii, ukiacha huu wa kuchafua heshima ya watu wengine
 
Huu ni uonevu mtupu. Daktari na mwalimu ndio taaluma pekee ambazo zinatoa huduma kwa jamii. Na tena ndio taaluma zinazopelekea mtu kufa maskini na vyeti vyenye sifa..

Umeshaangalia lawyers wewe? Walivyo wezi! Wanavuna tu na wamejenga ghorofa za ajabu jiji zima. Hebu chukua mifano ya advocates maarufu hapa mjini na maisha wanayoishi, linganisha na daktari maarufu na utuambie nani ni nani. Anzia kwa dr fernandes masau aliekuwa daktari bingwa wa moyo.
.....mkuu mimi nasema kama mtu ni best ni best to kwenye fani yake....hata ukimkuta kondakta amabaye anaijua kazi yake utapata matunda mazuri
 
Mwenye huu uzi ujanishawizi kwa jambo lolote kwa sababu una mifano halisi,ujafanya research,kama kwel we umeenda shule usingetoa hoja kama mtu aliyefel 4m six,kaka jipange uwe unatoa hoja za kueleweka humu sio wote wajinga. miaka ya nyuma jamii forum ilikuwa ni ya wasomi. Na watu walikuwa wanatoa hoja za maana ila kwa sasa Jf imekuwa haina mpango kwani wajinga ndo wapo humu
...na mods wanaacha nyuzi kama hizi zinatamba....kuna mtu kaniambia mjibu kwa hoja....nkamwambia hamna hoja ya kujibu mtu kama huyu labda nkutane nae macho kwa macho ndo ntamjibu.....coz vitu kama vya kuwa maskini...who can explain....nani ambaye sio maskini au nani tajiri...?
 
Ngoja siku uvunjike Nyonga utawapenda tu

na utasahau yote uliyoandika..
......halafu hawa ndo mtu anakuja hat machozi analia.....hapo anasema akiumwa atajitibu....labda anafikiri kuumwa ni malaria tu.....ngoja mwili uitaji vyuma ndo akili itamjia vizuri...!!!
 
Back
Top Bottom