Sababu 10 za kuwachukia madaktari

Mi nimesoma pure mathematics mkuu, cramming kwangu ni upuuzi japo naweza..hawana lolote ni average people kabisa.labda wa marekani na ulaya kidogo wanawafilter vizuri siyo kifisadi na mitihani isiyo na standard mwaka hadi mwaka, mara waibe mara nini. Nawajua kibao tu walikuwa mambumbumbu darasani slow thinkers sasa madaktari.

Katibiwe uraya ama marekani
 
New JF no longer a Home of Great Thinkers!
Siku hizi hata kupita pita huku inabidi kupungue maana hata kama ni uhuru wa kutoa maoni kwa kila mtu, this is too much jamani why can't you think before posting?
Umepita mahospitalini ukaona kinachofanyika?
Umewahi kujiuliza ni watanzania au binadamu wangapi maisha yao yananusuriwa na utashi wa madaktari?
Mkuu tembelea hospitali yoyote uliyokaribu nayo ukapite wodini, theatre na ICU hivyo tu vitengo vichache ndipo utajua daktari ni nani.
 
Kuwachukia madaktari ni jambo lako binafsi,na ningekushauri ukae chini na ujitafakari kilichokupelekea ukawachukia madaktari, na si UDAKTARI. Nina imani hiyo kwa kuwa kwa namna yoyote ile uhai wako umelindwa kwa namna moja au nyingine hadi leo kupitia madaktari. Ulipokuwa bado mimba,ulipozaliwa, chanjo mbalimbali na magonjwa mbalimbali ulipata huduma ya madaktari! Kulikoni? Samaki mmoja akioza wameoza wote si busara ya moja kwa moja. Kama umekosana na daktari mmoja au wachache sio sababu ya kuwadharau na kiwabeza madaktari wote. Kama ni mkristo utakumbuka Luka mtakatifu alikuwa tabibu
 
DR punguza jazba mjibu kwa point atakuelewa...sasa unatisha wagonjwa tena tutafika!
unajua wakati mwingine....unatakiwa kuonesha your bad side...wakati mwingine tunazifanya hizo....maana sisi wabongo...unaweza ukamwacha na kumueshimu mtu..ukawa unakosea na unamtengenezea mazoea mabaya..akienda kila mahali yeye ni kusumbua watu bila sababu za msingi..so wakati mwingine hasa sisis tuliopo hizi hospitali za serekari....tunabadilika tunaonesha bad side(namaanisha uchizi kidogo)...ili muweze kwenda sawa....mimi mwenyewe i normaly change...la sivyo wakati mwingine mamabo hayaendi sawa.....sometimes it pays UNAKUTA mnaheshimiana....na mnaenda sawa......Mind u lazima tuhakikishe kazi tunafanya kwa bidiii na uwezo wetu wote...na kufuata all ethics...
 
Fani ya udaktari ipo tangu zama za kale kama zilivo fani nyingine kama uandisi au uanasheria au utoza ushuru..lakini nina sababu zangu personal kabisa zakinifanya kuwachukia madaktari specifically,
1. Wanahisi wana akili kuliko kila mtu. Uchinguzi unaoneasha kuwa, asilima karibu 95% ya binadamu waliopimwa na kuonekana na IQ kubwa hawaipendi wala hawaitukuzi hiyo fani. Slow thinkers.

2. Ni watu wazembe sana kimaisha. Ni fani ya watu wasio na uwezo wakuhustle. Yani wazembewazembe kutafuta.
3. Wanajiona kama miungu watu kisa wananyenyekewa na watu desperate wenye matatizo.
4. Wanategemea hela kutoka kwa watu wasio na uelewa, na maskini.
5. Wanapenda kuonekana wanafanya kazi ya tabu sana wakati walitaka wenyewe na wamesoma taratibu za utabibu.
6. Wengi ni average katika kila nyanja ya maisha..walifeli form 6 wakaenda urusi au imtu au kcmc au vichochoroni, wengine hata form 4 walifeli wakawa maclinical officers baadae wakajiendeleza wakawa ma md..mabwege wote hao..
7. Washamba
8. Wanalewa sifa za kijinga..wanaona dili kuvaa mikoti yao myeupe, kunyenyekewa..
9. Waigizaji
10. Hawatambui kuwa kazi yao ni wito..daktari wakweli anajitoa na kamwe haweki pesa mbele. Daktari wa kweli anauwaza utu wa binadamu na huduma yake ni ibada mbele ya Mungu ni mission. sasa mapimbi weru wa sikuizi dunianiii..

Mwisho napenda kuwaambia wadau wote kuwa, Dunia ilivyo kwa sasa hatuna madaktari, siyo tanzania wala marekani wala uropa, ni fani ya kishamba wanaosoma watu wasioweza kusurvive dunia ya kweli..na nitakapoumwa, nitajitibu, ikishindikana, nitaexpire kwenda ulimwengu mpya...wengine ongezeni list
**nimekumbuka, sababu bonus, siwapendi kwasababu hawapendani. kumbuka yule mwenzao anang'olewa kucha wao wanapiga kazi!!how stupid, yani majinga hata strategies hayana alafu kuna mijitu inawasifia wanaufahamu! Upi? Ata wao kwa wao hawapendani. Hawana misimamo, hawana lolote. Tupa kule

Hivi JF ina watu wa namna hii siku hizi!! Wewe inaonekana namna gani ambavyo una chuki, choyo, roho mbaya na uovu ulivyokujaa moyoni mwako. Huna lolote zaidi hizo sifa nilizozitaja ndo zakusumbua. Halafu inaonekana elimu yako ni ndogo sana na siku zote wenye elimu za kujua kusoma na kuandika tu ndo walivyo na hao waliokuunga mkono. wewe na hao waliokuunga mkono mmezaliwa Hospitali na waliosaidia mamako kukuzaa ni madaktari na wauguzi lkn leo hii unawaona hawana maana kwako. Mbona hujatwambia wewe ni fani gani???
SHETANI MKUBWA WEWE. Mod watu wa namna hii piga ban kabisa
 
  • Mkuu kumbe nawe mzima katika vina na mistari. Nimeipenda hii

Huyu muimba taarabu tu. Hii ni mipasho ya kike kbs, chuki za kike zisizo na maana. Hao watoto wao wamemfanya nini mleta mada. Yaani JF imekosa mwelekeo siku hizi. Inakumbatia mada za kipuuzi kama hizi?!!!! Hivi kweli huyu ni Great thinker!! au mdaku tu na frustration zake za maisha.
 
New JF no longer a Home of Great Thinkers!
Siku hizi hata kupita pita huku inabidi kupungue maana hata kama ni uhuru wa kutoa maoni kwa kila mtu, this is too much jamani why can't you think before posting?
Umepita mahospitalini ukaona kinachofanyika?
Umewahi kujiuliza ni watanzania au binadamu wangapi maisha yao yananusuriwa na utashi wa madaktari?
Mkuu tembelea hospitali yoyote uliyokaribu nayo ukapite wodini, theatre na ICU hivyo tu vitengo vichache ndipo utajua daktari ni nani.

Mkuu Access Deniel nakuunga mkono 100%. This is no longer home of Great Thinkers. It is now polluted
 
wewe ndio maana huyo mtoa mada kakuchemsha....kama maDR wenyewe ndio wewe mtoa mada hajakosea...hata huna skill za kuongea na watu narrow minded...sasa si unakutana na wagonjwa aina zote....wewe sio DR otherwise ungejua mgonjwa mliempasua kichwa badala ya mguu...i hv a friend yuko crippled kwasababu ya incompetence yenu....kwa taarifa yako nina rafiki DRs kibao na ni wazuri sana ila wabovu mpo
....tupo kweli madr bomu....lakini tupo pia madaktari wengine ambao haturuhusu mtu kuasume kwamba anaweza kwenda hospitali au popote pale(jf) kumuita dr pimbi...----...------ au chochote kile....mimi nimefanya kazi hospitali za manispaa hapa jijini..nimekutana na watu kama hao...lakini nlikua siruhusu na HATA sasa SIRUHUSU...sijui rafiki zako...lakni mimi niliosoma nao as human being we have both sides bad side and good side(humble) we normaly use both...kama kuna ulazima.. ila kama unarafi zako wanatumia one side its okay wape hongera....kuhusu performacy ni kazi kuwa conclusion ya moja kwa moja mana kuna factor nyingi sana....kitu ambacho sitakataa sekta ya afya ..upande wa madaktari kuna chanagamoto kubwa na kuna mapungufu mengi...ni lazima kujitahidi kuyabadilisha......lakini pia ukae ukijua sio kila mtu aliyevaa white coat ni daktari....!!!!!
 
New JF no longer a Home of Great Thinkers!
Siku hizi hata kupita pita huku inabidi kupungue maana hata kama ni uhuru wa kutoa maoni kwa kila mtu, this is too much jamani why can't you think before posting?
Umepita mahospitalini ukaona kinachofanyika?
Umewahi kujiuliza ni watanzania au binadamu wangapi maisha yao yananusuriwa na utashi wa madaktari?
Mkuu tembelea hospitali yoyote uliyokaribu nayo ukapite wodini, theatre na ICU hivyo tu vitengo vichache ndipo utajua daktari ni nani.
MUNGU tu ndiyo anayonusuru maisha yako, daktari ni nyani tuu...icu kitu gani, wanakufa wangapi bana? In charge Ni Almighty tu, hao kazi yao kukusindukiza ufe au upone safari yako isiwe na kashkash nyingi. Alafu inaonesha jinsi gani uwezo wako kichwani mdogo, soma vizuri..nimeandika neno personally? Hujanotice alafu unataka kujifanya great thinker? Piga kimya hii league huiwezi
 
hata ww kama binadamu wa kawaida una mapungufu,tusizungumze tu kwa kuwa hatujalala kitandani hoi bin taabani,usizungumze kwa sababu una mdomo hawa ndo wanatupa dawa kwa ajili ya maisha na kiukwel umeongeaa ili mradi
 
To be honest I felt very bad to see the way people think about us, it's like a double edged sword passed through my heart! Any way I think that is one many who have been mistreated by medical personnel.

its good for us to be evaluated as well it give us an insight of our mwenendo. I urge all medical people to re evaluate ourselves and abide to medical ethics.

the community has a role to play as well, they should know that in this era every one is responsible for his/ her own Heath. Medical personnel are human being like other human being with same needs etc .
 
MUNGU tu ndiyo anayonusuru maisha yako, daktari ni nyani tuu...icu kitu gani, wanakufa wangapi bana? In charge Ni Almighty tu, hao kazi yao kukusindukiza ufe au upone safari yako isiwe na kashkash nyingi. Alafu inaonesha jinsi gani uwezo wako kichwani mdogo, soma vizuri..nimeandika neno personally? Hujanotice alafu unataka kujifanya great thinker? Piga kimya hii league huiwezi

Duh, mkuu hiyo imezidi..bila aibu unadiliki kuwaita nyani?? hujui kwamba huyo huyo almighty anadhihilisha uponyaji wake kupitia wao. Hakika sku moja mungu atakuonyesha umuhimu wao na utajuta kuropoka upuuzi.
 
To be honest I felt very bad to see the way people think about us, it's like a double edged sword passed through my heart! Any way I think that is one many who have been mistreated by medical personnel.

its good for us to be evaluated as well it give us an insight of our mwenendo. I urge all medical people to re evaluate ourselves and abide to medical ethics.

the community has a role to play as well, they should know that in this era every one is responsible for his/ her own Heath. Medical personnel are human being like other human being with same needs etc .

My friend, no matter how good you'll be to people, however nice you treat them, there's no way you can please every one. The person who posted this topic, is real example to such ------ and stupid ones who do not appreciate any valuable services they are provided. So, don get desperate.
 
....tupo kweli madr bomu....lakini tupo pia madaktari wengine ambao haturuhusu mtu kuasume kwamba anaweza kwenda hospitali au popote pale(jf) kumuita dr pimbi...----...------ au chochote kile....mimi nimefanya kazi hospitali za manispaa hapa jijini..nimekutana na watu kama hao...lakini nlikua siruhusu na HATA sasa SIRUHUSU...sijui rafiki zako...lakni mimi niliosoma nao as human being we have both sides bad side and good side(humble) we normaly use both...kama kuna ulazima.. ila kama unarafi zako wanatumia one side its okay wape hongera....kuhusu performacy ni kazi kuwa conclusion ya moja kwa moja mana kuna factor nyingi sana....kitu ambacho sitakataa sekta ya afya ..upande wa madaktari kuna chanagamoto kubwa na kuna mapungufu mengi...ni lazima kujitahidi kuyabadilisha......lakini pia ukae ukijua sio kila mtu aliyevaa white coat ni daktari....!!!!!

SAWA DR....samahani kama nimeku-offend.....
 
unajua wakati mwingine....unatakiwa kuonesha your bad side...wakati mwingine tunazifanya hizo....maana sisi wabongo...unaweza ukamwacha na kumueshimu mtu..ukawa unakosea na unamtengenezea mazoea mabaya..akienda kila mahali yeye ni kusumbua watu bila sababu za msingi..so wakati mwingine hasa sisis tuliopo hizi hospitali za serekari....tunabadilika tunaonesha bad side(namaanisha uchizi kidogo)...ili muweze kwenda sawa....mimi mwenyewe i normaly change...la sivyo wakati mwingine mamabo hayaendi sawa.....sometimes it pays UNAKUTA mnaheshimiana....na mnaenda sawa......Mind u lazima tuhakikishe kazi tunafanya kwa bidiii na uwezo wetu wote...na kufuata all ethics...

understood....
 
madaktari wengi ni wa ovyo sana...ni wachache sana ambao wako smart. kuna daktari aliniandikia dawa sumu bila kunipa maelekezxo yoyote kidogo aniue. nisingekuwa makini kujielekeza mwenyewe, leo hii ningekuwa sipo duniani.
 
Back
Top Bottom