Saba Saba ni kama imepwaya!

Saba Saba ni kama imepwaya!

Mkuu inalolisema ni kweli.baada ya kulipia kule nje nikajisogeza kwenye banda la maliasili kujionea kinachoendelea nilipoona lango la kuelekea banda la wanyama walio hai nikaambiwa lazima nilipie tena mweeee nikaishia kwenye nyumba za wagogo kisha huyooo kwa mrisho mpoto.
kama mimi mkuu nimeishia pale kwa nyumba ya wagogo
 
Mi nakumbuka zamani sabasaba watu wazima wanaenda usiku
bar zote za ndani mule hushindana kuuza..
leo sabasaba saa mbili usiku nje kumepooza kama hakuna maonesho
sad
Unaongea sabasaba ya enzi hizo hakuna mall yoyote nchini, mall yetu watz ilikuwa sabasaba na nane nane, hivi Kuna mlimani city, quality center, pugu mall etc, niende sabasaba kufuata kipi kipya
 
"...Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja"

Kweli mkuu hali ya uchumi mbaya...ila hapo kwenye MENU watu lazima wale
 
Huyu chizi kumbe
watu wakisema Magufuli kaharibu uchumi humu anawarukia kwa matusi
sasa yeye mwenyewe leo anakubali hali ni mbaya huko mtaani
sabasaba ni kielelezo tu kimojawapo
Mkuu pengine hunifahamu vilivyo, I call a spade a spade na sijipendekezi.
Gari likiwa na pancha ni pancha na si upepo umepungua.

Ila mimi damu damu na kyama tawala.
Ukitutukana umenunua mechi.
 
Kiukweli imepwaya nimeshudia mabanda yakiwa wazi haina msisimko wowote.
 
"...Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja"

Kweli mkuu hali ya uchumi mbaya...ila hapo kwenye MENU watu lazima wale
Ktk Dhambi Kuu CCM mnafanya na inaimaliza nchi hii miaka nenda rudi ni unafiki!! Mnapenda kusifu yote yafanywayo na waliopo madarakani na huyageuka pale tu wenye mamlaka wakikaa pembeni!

CCM mnashindwa mwambia Magufuli ukweli kuwa hali ya uchumi wa nchi inakwenda kubaya!
 
Huyu chizi kumbe
watu wakisema Magufuli kaharibu uchumi humu anawarukia kwa matusi
sasa yeye mwenyewe leo anakubali hali ni mbaya huko mtaani
sabasaba ni kielelezo tu kimojawapo
Hali mbaya ndio maana hata Magufuli analeta hasira kwa kina Manji! Very soon wage bill itamshinda ndipo hizi porojo zitakapokosa soko!
 
View attachment 537409
Nimepita Saba Saba jana ili kujionea maendeleo ya viwanda na biashara.

Kwa maoni yangu imepwaya kuliko mwaka jana au juzi.
Katika jengo moja mabanda yalikuwa tupu.

Hata waonyeshaji wa kimataifa wamepungua sana.

Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja.
Vita ya madawa ya kulevya, haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Ktk Dhambi Kuu CCM mnafanya na inaimaliza nchi hii miaka nenda rudi ni unafiki!! Mnapenda kusifu yote yafanywayo na waliopo madarakani na huyageuka pale tu wenye mamlaka wakikaa pembeni!

CCM mnashindwa mwambia Magufuli ukweli kuwa hali ya uchumi wa nchi inakwenda kubaya!
aseeh
 
Back
Top Bottom