Mimi naona walitakiwa kuwa mapacha. Uumbaji wa pacha wa pili ukawa slow hiyo process ikaishiwa nguvu. Jamani kwa nini madaktari wasimfanyie huyo mtoto operation wakaondoa huyo pacha asiyekamilika?
...Dah! kabisa. Dogo alikuwa na wakati mgumu sana kubeba huo mzigo kwa muda wote huo ni mateso ya ajabu kabisa. Bravooo to those doctors who operated him................