Saalaaaleeehh

Saalaaaleeehh

Amen mpendwa. nafiiri umequote 1Thesalonians 5:18 na siyo hiyo Philipians.

have good day. Glory to God


kapotea mwana kapotea,
Njoo kwetu jamani kuogelea,
Ni wewe Judi Nakusemea,
Leo sasa tuko mafia,

Wangu mbona kimya namna hiyo kumbe na huku upo?
 
Ni mipango ya Mungu msiende mbali kwani mwaweza kuleta shirki..
 
ndo hapo utashangaa wengine wanamchokoa mungu kwa kwenda kubadili maumbo yao wakati mungu alichagua kuwaumba bila ulemavu wala kasoro yeyote wakati wapo binadamu kama hawa dream yao ni kuwa na afya njema.
Mungu ni mwema na asiye na hasira tena mwingi wa huruma.
 
:amen:Jina La Bwana Libarikiwe! Kazi yake haina makosa:amen:

Wewe unaona alichofanya hapo si makosa? Kama ni "kuchapia" basi basi hapo alichapia haswaa, ndy maana amefanyiwa marekebisho ili afanane na wanadamu wengine!
 
Baba yetu uliye Mbinguni

Uwazidishie wote waliomsaidia mpaka akapata matibabu.

Uwabariki wengine walioonesha moyo wa huruma na upendo kwake.

Uwasamehe wale waliomdhihaki na kumcheka kwa kuwa hawajui walitendalo.

Amen.
 
Nadhani huyu mtoto alishafanyiwa upasuaji na amekwisha pona kabisa. Sina picha zake baada ya upasuaji lakini nimewahi soma habari zake mahala! Hizi ni wakati akiwa bado na hilo tatizo!
 
Nadhani huyu mtoto alishafanyiwa upasuaji na amekwisha pona kabisa. Sina picha zake baada ya upasuaji lakini nimewahi soma habari zake mahala! Hizi ni wakati akiwa bado na hilo tatizo!
<br />
<br />

Kuna mtu kapost link hapa
 
Back
Top Bottom