Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,667
- 698,561
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke
Saa za mwisho za Magufuli zilikuwa ngumu zilizojaa mashaka maumivu na sintofahamu kubwa.
Imejulikana sasa alianza kuumwa akiwa nyumbani/ ofisini ikulu ya Magogoni. Hali ilipokuwa mbaya alihamishiwa hospital ya Mzena iliyoko Makumbusho Kijitonyama Dar.
Hospital maalum ya serikali kwa ajili ya viongozi wakubwa serikalini kipindi hicho watendaji wakuu serikalini hawakuwepo Dar.
Makamu wa rais alikuwa ziarani Tanga Waziri mkuu alikuwa pia ziarani (location haikusemwa)
Spika wa bunge?
Hakuzungumziwa alikuwa wapi.
Kwa maelezo ya Gen. Mabeyo yeye ndiyo alikuwa sterling wa mchezo zile saa za mwisho za mpendwa wetu hayati Magufuli.
Aliyokutana nayo katika zile saa 72 kamwe hataweza kuyasimulia yote. Lakini ni wazi zilikuwa nyakati ngumu sana kwake maishani. Tusubiri kama atakuja kuandika kitabu. I hope atafanya hivyo.
Haiba ya mwendazake ilikuwa kulazimisha mambo kwamba hata lisilowezekana kulingana na taratibu na kanuni alilazimisha liwezekane. Always kwenye kitanda cha mauti pale Mzena Hospital aliiona hatima yake. Na hakutaka kulala mautini akiwa pale hospital Mzena.. Alikuwa na sababu zake kamili..!!! Za kiroho na za kimwili
Ni wazi alipoliona hilo akawataka madaktari wamrudishe nyumbani lakini wakamkatalia (pengine kuna siku Prof. Janabi naye atafunguka kwenye hili)
Akamtaka Gen. Mabeyo kwa cheo chake awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini naye akagoma.. Kwenye hili Magufuli alimshangaa sana .. Lakini yeye pamoja na haina yake ya kulazimisha mambo alikuwa ni Mgonjwa asiyejiweza..!
Kama Gen. Mabeyo angemkubalia kisha yakatokea yaliyotokea angekuwa na lawama za milele! Alitumia hekima kubwa mno anastahili pongezi za milele.
End of part one
Sehemu ya pili
Hari za kifo
Ni wazi usiku wa mwisho wa hayati Magufuli ulikuwa mgumu wa maumivu na uliojaa maumivu mengi sana.. Kwa kifupi hakulala na ndio maana Kulipopambazuka tu akataka arudishwe akafie nyumbani.. Alishaiona hatima yake na hakutaka tena jitihada za watabibu.. Kuna roho hutuonesha mwisho wetu
Hari za kifo ni situation moja ngumu sana. Roho huwa ngumu sana kuachana na mwili na mhusika hujafa na mahamaniko na mahangaiko. Wanasema inauma kama pakanga.
Mapema asubuhi alishaona hataliona giza la siku hiyo ndio maana hakutaka kabisa kubaki hospital bali arudishwe nyumbani.Nyumbani ndio sehemu inayoaminika zaidi kwenye wapendwa wako mke na watoto.. Ndio penye moyo wako hapo. Ndipo mahali unapoweza kutoka amri yoyote na ikatekelezwa
Cha kushangaza ni kwanini kwenye kuugua kwake kote familia ama mke hakuwepo karibu yake? Hili tuliweke kiporo limekaa kiudaku zaidi
Baada ya Gen. Mabeyo kumkatalia kumrudisha nyumbani akaomba basi aitiwe paroko wake. Hii ni kwa ajili ya kufanya kitubio cha madhambi yake yote ili aondoke kwa amani.. Alikuwa mkatoliki na hizi ni taratibu za kikatoliki.. Cha kushangaza hapa alitaka pia aitiwe Askofu mkuu jambo ambalo lilifanyika.. Swali je alimwambia nini Askofu mkuu? Hili kuna siku litasemwa
Alifanya kitubio asubuhi akafariki jioni ya saa kumi na mbili ni wastani wa masaa nane hadi tisa ya maumivu ya hari za kifo
Ni kipindi kirefu mno ambacho unapitishwa kwenye nyayo zako kwa njia ya video ukioneshwa yote uliyoyafanya mazuri na mabaya.. Ni kipindi cha kutisha sana
Kuna baadhi hupata neema ya kufa haraka.. Lakini kuna baadhi kuchukua muda mwingi kufa kutokana na haiba. Magufuli alijiita jiwe hilo jina likaakisi kiroho mpaka kifo
Wengine wanaochukua muda mwingi kufa ni Wachawi waliotesa sana watu
Waliochanjiwa muku
Waliochanjiwa madawa ya kinga nknk
Masaa ya mwisho ya mpendwa Magufuli yana simulizi nyingi za kuandikwa na nyingine zimejaa utata usiri sintofahamu na hata uzushi
Kuna mengi hayajasimuliwa kuna siku yatasemwa.. Binadamu hawezi kukaa na kitu rohoni muda mrefu