Saa ya Dunia (Earth Hour), Ilivyofana Serena Hotel 2016

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Earth Hour ni harakati zinazofanyika kila mwaka duniani kote zikiwa na lengo mahususi la kutunza mazingira na nishati, katika hafla hiyo ambayo ufanyika kila Jumamosi ya mwisho ya mwezi machi taa uzimwa kwa muda wa saa moja kuanznia saa 2:30 usiku hadi saa 3:300.

Hapo kwenye picha ni kampuni ya Nipefagio wakiwa wamevaa tishet za kijani wakionesha namna wanavyotunza mazingira na washiriki wao waliokuwa katika siku hiyo.

Apdx_zmpG60OTb86J3H4fcIi0SVMr-4owvo3wRvYwrGS.jpg

AlJ3zqNSzyYmfHt6n2U0NqwH5zBrAX2g5rd5BUzG74pc.jpg

Katika picha ni wafanyakazi wa kampuni ya SEPON na baadhi ya washiriki wakionesha taa zinazotumia nishati ndogo, Serena hotel Dar es salaam.
AnaaLwsdefKQ1P6JjGbvvSE2x998kX9jBaJtZGZse6GL.jpg

Katika picha ni bidhaa za kampuni ya Greensteps.
AgDFzMbmWLsTQXjaA2q1LgostDdrsa7aTj_T4SISy1TG.jpg
AlC6G0maQa5Ppvi8H32xhBHYYZGDPjRkrX0RpOL95mCA.jpg

Katika picha ni bidhaa za kampuni ya Africraft, bidhaa zilizotengenezwa kutokana na ndala zilizoisha, chupa zilizovunjika, condom zilizoisha muda wake, vifuniko vya chupa, makasha na Vifuu ya nazi. Katika hali ya kutunza mazingira, kile unachokiona takataka, wenzeo wanakitumia kwa njia nyingine.
Ar29po3amqNfK5uVa6YeBRlvqmRRjSnGn4s_c_7JVizi.jpg

AicsDYScPzIMTQiKnxyATKwG1dXRg3TT9NwF6vO1Fg2v.jpg

Wafanyakazi wa Serena Hotel, wakifurahia, baada ya kuadhimisha Saa ya Dunia (Earth Hour) jijini Dar es Salaam. Earth Hour ni harakati zinazofanyika kila mwaka duniani kote zikiwa na lengo mahususi la kutunza mazingira na nishati , katika hafla hiyo ambayo ufanyika kila Jumamosi ya mwisho ya mwezi machi taa huzimwa kwa muda wa saa moja kuanzia saa 2:30 usiku hadi saa 3:30 usiku.

Kwa habari zaidi, bonyeza HAPA.
 
Back
Top Bottom