Saa nyingine wanaume mnajichoresha

Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
kama hayajakukuta unajuaje ni vibaya wewe ukienda kwa mwanaume wako unalipia shida yako moja ni umasikini kama una shida ya pesà mwambie badala ya kuvizia.
 
Hapo unalipia papuchi mkuu?au lodging?ukinkaribisha usinunue chochote nitanunua vitafunwa,maziwa,sukari,na majani ya chai, wine ntanunua mimi maana ntakutoa jioni tukale nje, bado natkiwa nilipie?
 
Akija akakaa siku moja tu sio mbaya kumgaramia, anakua kama mgeni. Sasa utakuta mwingine anahamia ata wiki alafu hajivuti ata kidole kukusaidia kununua kitunguu..... Wanaume wa hivyo wanaboa saana! Kama wanataka kulelewa si wakatafute mashuga mamy!!!
 
Mwanamke hata ukimlipia vyote ...mfanyie wema wote.....jitoe kadili ya uwezo wako....poteza mdaa & Mali kwa ajiri yake km hujamuoa ukamuweka dani ni kazi bure hawana maana HAWA watu aise ,
Hata akiwa na kwake wengi hawataki kila ukitaka kufanya kitu utaambiwa kipo acha tu ...sasa cku anune hapo utaimb a ule wimbo.....acha waisome no ...kosa lenyewe sasa halina hata natiki ya kuchukia ..ni wangumu sana wa kusameheeeee ...women hapana aise"Ishinao kwa akiri na upendo"
na c kwa *upendo na akiri".never trust women till I die.
 
Ishu mbn cmpo tu ww ukiendaga kwake na kuandaliwa vitu km ivo huwa unamlipa? Mapenz two ways traffic
 
Sio kulalamika elewa kilicho hongelewa jua wewe mwanaume umeubwa umtunze mke sio mke akutunze wewe. Basi kama haujifunzi kafanye ukichokwa ukabalaswa utayakumbuka maneno yangu.
Wapi imeandikwa lazima nimtuze mwanamke;;;;;;; tukitaka hivyo Bac msifanye kazi mbaki ndani km chombo cha starehe na kuzaa
 
Pole kwa yaliyokusibu, ila hakuna sababu ya kumng'ang'ania mwanaume wa hivyo labda kama umefika Menopause otherwise piga chini hilo ni janga la Marioo litakutafuna mpaka ubaki mifupa!
 
Sasa unataka alipie nini hapo?,hiyo wine,chakula na taulo ulillompa,wewe ukienda kwake ukapewa vitu kama hivyo hua unalipishwa?,hivi beijing mlikwenda kulilia nini?,si usawa?,acha uisome number,huu ndio usawa wa beijin
Wachoyo na wabahili mnajulikana tu, soln nakupiga chini hapo hapo hakuna haja ya kukurudia
 
Sasa wewe ulivyomkaribisha kuja kulala ulitegemea asile chakula,asubuhi asioge? Au ulimuandalia huo msosi mzuri na wine na ukambembeleza alale sio kuwa unampenda bali ulitegemea returns.
 
Naunga mkono hoja.huu ujinga nilishawai kunikuta,sema miye nilikuwa naudumia kila kitu mpaka mwanaye namlipia na ada kwa single momy,duh yaliyonkuta ni siri yangu,nilisepa mwenyewe.
Pole sana na hongera kwa kujitambua hakuna sababu ya kufuga maradhi kama hayo
 
Na mwanamke naye akienda kwa mwanaume agharamie? Tatizo vijana wa aina yako mnaendeshwa na mapenzi ya kihisia baada ya kutazama bongo mavi. Hivi ukienda kwa rafiki yako huwa unaombwa kuchangia gharama ya chakula na umeme unaowasha televisheni ukiangalia?
 
Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Punguza jazba dada, Basi siku nyingine ukimualika tutamtonya akuandikie "LPO" kabisa ili usilalamike tena.
 
Na mwanamke naye akienda kwa mwanaume agharamie? Tatizo vijana wa aina yako mnaendeshwa na mapenzi ya kihisia baada ya kutazama bongo mavi. Hivi ukienda kwa rafiki yako huwa unaombwa kuchangia gharama ya chakula na umeme unaowasha televisheni ukiangalia?
Tatizo sio kuchangia Mkuu! Muwe mnasema tu ila mwanaume anayejitambua na kuijua thamani ya kupewa tunu ya koromeo hawezi Ku act like a woman mode of receiving
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom