Saa nyingine wanaume mnajichoresha

Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Kama ni hivo mbona POVU linakutoka?
Nyie mkikaa kutwa "ooo ela ya wanaume tamu," ss tulza ball. Au ndio ukiona manyoya. . .
 
Akija akakaa siku moja tu sio mbaya kumgaramia, anakua kama mgeni. Sasa utakuta mwingine anahamia ata wiki alafu hajivuti ata kidole kukusaidia kununua kitunguu..... Wanaume wa hivyo wanaboa saana! Kama wanataka kulelewa si wakatafute mashuga mamy!!!
Inategemea kama hana kazi..ndio anafatilia mchongo je??
 
Viumbe hawa wanapenda usawa lakini hawauwezi. Lakini vijana acheni kupanda kitonga buana isipokuwa pale utakapo mpata mchunaji na wewe mchune tu hakuna namna.
 
Tatizo sio kuchangia Mkuu! Muwe mnasema tu ila mwanaume anayejitambua na kuijua thamani ya kupewa tunu ya koromeo hawezi Ku act like a woman mode of receiving
Hata kaka yako ni mwanaume, naye akija kwako unataka anunue chakula na kulipia bili ya maji, au kaka yako ni mwanaume asiyejitambua kama unaowasema wewe?
 
Hata kaka yako ni mwanaume, naye akija kwako unataka anunue chakula na kulipia bili ya maji, au kaka yako ni mwanaume asiyejitambua kama unaowasema wewe?
Kabla hujaandika vutia picha dadako akija nyumbani kwako anafanya kama kile ambacho mpenzi wako anafanya including hiyo kula na kulipia bili, akifika dadako unamuingizaga chumbani na kuanza kumkwichi kwichi nyonga yake!! ikiwa sio basi jifunze kutofautisha watu wa kuwafananisha
 
Unakuta mwanaume anaenda kwa mwanamke anakaribiswa wine, msosi analala na kukoroma. Asubuhi anahitaji chai, anafunga taulo anaoga anaondoka.

Kweli unategemea huyo mwanamke atakuwazia nini? Jisimamie kama mwanaume. Umempenda mwanamke gharamia, acha kutaka kulelewa. Je, siku ukisombewa vinguo vyako nje utalaumu?

Poleni sana wanaume mnaobebwa.
Kweni yeye mwanamke anafanya biashara ya ngono?
 
Unakuta mwanaume anaenda kwa mwanamke anakaribiswa wine, msosi analala na kukoroma. Asubuhi anahitaji chai, anafunga taulo anaoga anaondoka.

Kweli unategemea huyo mwanamke atakuwazia nini? Jisimamie kama mwanaume. Umempenda mwanamke gharamia, acha kutaka kulelewa. Je, siku ukisombewa vinguo vyako nje utalaumu?

Poleni sana wanaume mnaobebwa.
Ni kawaida yake au ndo siku hiyo tu?
 
Katika utamaduni mgeni anagharamiwa coz haya mwanamke akienda kwa mume anahudumiwa na mwenyeji hiyo ndo dhana ya 50 kwa hamsini
 
Asaah mnataka tufanyaje acheni kitonga!! Nyinyi tuwafukuzie tuwapeleke guest msosi upige unywe mipira ninunue mimi nikuandae Dk km 45 hv nikukunje kila pigo afu na nauli nikupe mbaya zaid unaenda kunisema na ki.bamia nyinyi kidogo hivyooo basi mpk Umoja wa mataifa uwasikie
 
Wanawake wengi wa siku hizi tofauti yao na marehemu Matonya ni ndogo sana wanaamini wa haki ya kupewa tu ila kutoa lazima walie wanasahau siku hizi wote tuko mtaani tunasaka sarafu ili wazazi na watoto wapishane chooni.
 
Sikuizi hakuna wanaume vijana. Wanaume waliopo ni wale vijana wa zamani walokuwa wanayajua majukumu yao lkn mbaya tu wameshindwa kuwafundisha watoto waocwa kiume kuwa wanaume. Ndomana wasichana wanaotoka na hao wanaowaita masugardady hawanaga stress za kijinga kama izi za wanaume suruali maana wanaume wanaojitambua jinsia zao washazeeka zimebaki copy za wanaume ndo izo tunaziita wanaume suruali
 
Unakuta mwanaume anaenda kwa mwanamke anakaribiswa wine, msosi analala na kukoroma. Asubuhi anahitaji chai, anafunga taulo anaoga anaondoka.

Kweli unategemea huyo mwanamke atakuwazia nini? Jisimamie kama mwanaume. Umempenda mwanamke gharamia, acha kutaka kulelewa. Je, siku ukisombewa vinguo vyako nje utalaumu?

Poleni sana wanaume mnaobebwa.
Mkiambiwa mnajiuza mnaanza kulalamika na kusema mnadhalilishwa.
 
Sijakuelewa mtoa mada ulitaka kumaanisha nini.
Ila huyo ni kama mgeni hivo ni wajibu wako kumhudumia au wageni wakikutembelea huwa wanalipishwa asubuhi?
Angekuwa kakutoa out sawa ila mtu kaja kukutembelea hata kama ni mpenzio umemhudumia unataka asubuhi alipie that's too much kwakweli.
Hata kama nikupenda pesa ila huko nikujichoresha mwenyewe.
Ni mtazamo tu
Labda kama kahamia hapo ila ugeni wa siku moja au mbili sio issue aisee.
 
Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
sema yashakukuta we ulitaka akufanyie nini labda akujengee nyumba au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom