Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

Ubabe unapingana na Hekima na busara!
Chukua atua
 
tunaomba report hali halisi ikoje huko mahospitalini
 
Faiza Fox kwanza elewa kuwa Pinda alipelekewa mualiko kwa maandishi kikao kitakuwa leo saa 4 asubui na barua ilimfika siku ya ijumaa mchana na alikubali mwaliko wa kikao cha leo, hebu muulize kilichomfanya akaitisha kikao jana ni nn wakati barua alioipokea na akakubali mwaliko ilionyesha kuwa ni leo saa 4 asubui.

Kwa taarifa kile kikao alichokaa jana hakuna madaktari pale wale wote ni mamluki hakuongea na madaktari kama madaktari aliongea na watu anao wajua yeye kwa utaratibu aliojiwekeaa, hivi inakujia akilini unapewa mwaliko unaukubali halafu unakuja kubadilika maana yake nini yaani alichokifanya yule mama nkya na mtoto wa mkulima hawana tofauti, serikali inawadharau sana madaktari kwa sababu wao wakiugua wanakimbilia apollo india sie walalahoi ndo tunaoumia na serikali haitujali, waacha waafukuze hao madaktari tuone mwisho wao ni nini hata wale wabunge leo nao wamegoma kwa tarifa yako kama ulikuwa hujalijua hilo uliza uambiwe kasoro yule mmoja ndi mamliku alikuwa haeleweki tangu mwanzo (sitaki na taka).

hao jwtz wanaosema wanawatumia waacha waatumie tuone kama watatosha nchi nzima wengi wao ni ma-medical assistance hawana madaktari, wamechokoza moto ngoja uwachome, hospitali nyingi sana za binafsi hazina madaktari watakwenda.

jiulize dr. kinasha yuko wapi jiulize tanzania nzima kama ina daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, walishindwa kumtibu marehem prof azizi hadi akauza nyumba yake ili akajitibie ujerumani serikali ilifunga macho sasa hivi nchi nzima hakuna daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, madaktari wengi sana wamekimbilia nchi za nje kwasababu ya kuangalia maslahi yao serikali haiwezi kutujali sisi walalahoi kwasababu umuhimu wetu ni kwenye kampeni tu baada ya hapo hatuna thamani wao wakiumwa wanalazimisha madaktari waandikie wakatibie india sababu wanachukua pesa kwa manufaa yao wenyewe.
 
Unajulikana kwa hoja sisizo na tija hapa JF...KE_GE mkubwa wewe!!

Hii ni dalili ya wewe pia kukosa busara, jibu hoja tu na umuache m2 ajihukumu mwenyewe.... Acha ku-intimidate watu walio na mawazo tofauti na ya kwako cos human are diverse na utashangaa hata ktk madokta kuna ambao huu mgomo wanaona kama vile sio wao kabisa...

Acha uhuru wa kuongea utumike kwani kila m2 ana haki hapa JF na Tanzania
 
Kuna kazi kubwa sana Tanganyika, kwanza madini 3% mrahabas. Halafu hayo mashangingi shajayaona hata huko ufaransa kwa mapededjee. Yapo mengi yakifanyiwa kazi basi maisha bora yanaweza kupatikana. Nina wasi wasi kuna watu wachache wananufaika sana na kutaka kutupotezea amani. Lakini ugonvi hauna macho.
 
Faiza Fox kwanza elewa kuwa Pinda alipelekewa mualiko kwa maandishi kikao kitakuwa leo saa 4 asubui na barua ilimfika siku ya ijumaa mchana na alikubali mwaliko wa kikao cha leo, hebu muulize kilichomfanya akaitisha kikao jana ni nn wakati barua alioipokea na akakubali mwaliko ilionyesha kuwa ni leo saa 4 asubui.

Kwa taarifa kile kikao alichokaa jana hakuna madaktari pale wale wote ni mamluki hakuongea na madaktari kama madaktari aliongea na watu anao wajua yeye kwa utaratibu aliojiwekeaa, hivi inakujia akilini unapewa mwaliko unaukubali halafu unakuja kubadilika maana yake nini yaani alichokifanya yule mama nkya na mtoto wa mkulima hawana tofauti, serikali inawadharau sana madaktari kwa sababu wao wakiugua wanakimbilia apollo india sie walalahoi ndo tunaoumia na serikali haitujali, waacha waafukuze hao madaktari tuone mwisho wao ni nini hata wale wabunge leo nao wamegoma kwa tarifa yako kama ulikuwa hujalijua hilo uliza uambiwe kasoro yule mmoja ndi mamliku alikuwa haeleweki tangu mwanzo (sitaki na taka).

hao jwtz wanaosema wanawatumia waacha waatumie tuone kama watatosha nchi nzima wengi wao ni ma-medical assistance hawana madaktari, wamechokoza moto ngoja uwachome, hospitali nyingi sana za binafsi hazina madaktari watakwenda.

jiulize dr. kinasha yuko wapi jiulize tanzania nzima kama ina daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, walishindwa kumtibu marehem prof azizi hadi akauza nyumba yake ili akajitibie ujerumani serikali ilifunga macho sasa hivi nchi nzima hakuna daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, madaktari wengi sana wamekimbilia nchi za nje kwasababu ya kuangalia maslahi yao serikali haiwezi kutujali sisi walalahoi kwasababu umuhimu wetu ni kwenye kampeni tu baada ya hapo hatuna thamani wao wakiumwa wanalazimisha madaktari waandikie wakatibie india sababu wanachukua pesa kwa manufaa yao wenyewe.
Mkuu makuwadi wa majambazi wa magamba kama Fox Faiza, Ritz na wengineo hawaeleweki hata ukivunja huo ubongo unanuka ujambazi wa magamba. linapokuja suala la kutetea mtanzania wa kawaida. Account zao ziko kwa RA,etc.
 
Acha siasa mtoa mada, hayo ni sawa na maneno wanayoyasema Wagunge kuwa wanapiga vita Ufisadi kumbe wenyewe ndio mafisadi. Sasa unataka Madaktari wafungue Account watanzania wawachangie wakati hawataki kuwahudumia na wanakufa, Wachangiwe kwa lipi hasa. Hivi umekurupuka au umefikiria? Hivi unaweza kumchangia mtu ambaye hakutimizii matakwa yako? ningekusifia sana laiti ungesesma Madaktari warudi kazini kisha ukaitisha mwito kama huu kwa Watanzania kuwa tuwachangia madaktari na wauguzi ili kuwaongezea kipato. Kuliko unaposema wagome alafu tuwachangie.

pumba squaire.
 
Huko nyuma nilisha wahi kusema, siku ambayo watanzania walalahoi watakapoamua kuingia barabarani, sijui watawala hawa watakimbilia wapi kujificha. Sasa wakati umefika, na wakati wenyewe ni leo Jumatatu tarehe 30/1/2012. Siku ambayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi wake wenyewe, imewageuka na kuamua kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwanyima huduma muhimu ya afya.

Nafahamu, Madaktari leo hawawezi kurudi kazini, na nafahamu Manesi na wahudumu wengine wa afya kuanzia kesho watoa matamko yanayofanana na hili la Madaktari, Madaktari Bingwa nao, muda si mrefu watatoa tamko linalofanana na hili la madaktari, na kitakachofuata hapo ni kilio na kusaga meno. Kwa sababu watakao athirika ni watanzania wote wa kawaida bila kujali itikadi zao au kazi zao, tutasikia na chama cha waongoza ndege nao wanagoma, Dawasco nao watagoma, Tanesco nao watagoma, kwasababu hakuna atakayepona kwa hili.

Kwa vile Madaktari wameonyesha njia, tuwaunge mkono watanzania wote wenye mapenzi na nchi hii, na kupigana na serikali dharimu. Hatuna silaha, kama wao walivyo na majeshi, lakini umoja wetu ni silaha tosha. Napendekeza kwa kupitia kamati maalum ya madaktari, wafungue account huru, ambayo sisi wapenda mabadiliko tutawachangia na pesa hizo zitawasaidia kujikimu ktk kipindi hiki kigumu. Tunafahamu hawa wenzetu wana familia na ndugu wanaowahusu na kuwategemea. na kwavile vita hii si ya kwao peke yao, hatuna budi kusaidia kwa hali na mali kuendeleza mapambano. Nina uhakika watu wengi watajitoa kuchangia account hiyo ya Madaktari, na wao wakipata pesa hizo watajua namna ya kuzigawanya. Shime MaDoctor wa ukweli, Shime JF na Watanzani wapenda mabadiliko, muda wa kulalamika umeisha, tufanye kwa vitendo. Dr. Ulimboka, tuwekee hiyo account details leo hii hii, au kama kuna njia nyingine ya mbadala tujuze. Tupo pamoja.

Si tayari wametoa amri kwa polisi kuwashughulikia doctors mahala popote watakapo kutana hata ikiwa ukumbi wa nyumbani kwa mtu mie naona watakwenda kujifichia kule HAGUE - Netherlands maana mabosi wao wanaoenda kuwapitishia bakuli wanaona yote. Mwenzao JK atawaruka kuwa hakuhusika kwa namna yeyote kwani alikuwa Davos, Uswisi.
Beneficiaries wa JK&Co wafikishe ujumbe kwa Pinda kuwa mwenzie Gbagbo alikuwa na kiburi hivyo hivyo...sasa hivi kapumzika Hague. Kule atapata haki zote huku akiwa jela.
 
GO ON DOCTORS, kama waziri angekuwa na busara angewaomba mrudi kazini with statement matatizo yenu yanashughulikiwa na wamechukua hatua hii ni hii sio kuleta siasa na ubabe kwenye taaluma za watu......
 
nadhan idea ya kuanzisha akaunti hata ya m pesa itakua poa wajikimu ili watoe fundisho, cha kushangaza wakat ma rais wa nchi nyingine wakiwa na issue nyumbani kwao hata kama wako ziarani nje ya nchi hukatisha na kurud ku solve iyo issue sasa kwa mkuu wetu wa kaya ye ndo kwanza hasikii wala haoni anakula kuku tu kwa mrija!
 
Acha uongo wewe, katafute ukweli ndiyo uje useme hapa.

Wewe lazima ni mmoja wa wapapmbe wa hawa mafisadi wetu kwa jinsi unavyowabeba!! Mimi hapa nipo MOI Muhimbili nilipokuja kupata matibabu na ukweli wana janvi ni kuwa hakuna kitu chochote cha maana kinachoendelea, mgomo bado unaendelea!!
 
Kwa maoni yangu serikali ingewaomba madaktari kurejea kazini mara moja na kuunda kamati ya kusughulikia matatizo yao. Huu ubabe wa Pinda utamuweka pabaya yeye na serikali nzima. Nimesikia kuwa madaktari wengi wapo tayari kufukuzwa kazi kuliko kurejea kazini katika mazingira ya sasa ya kazi.
 
Mi naunga wazo,na ninamuomba Mungu Madaktari waendelee kugoma nchi nzima na watanzania wengine tuwaunge mkono katika kudai haki na utu wao,mana wao CCM wao wana Pesa na polisi,wakati sisi watanzania tuna Mungu anayeturinda katika maisha yetu! Kwa pamoja tutaweza kuindoa serikali hi legelege madarakani.
 
Faiza Fox kwanza elewa kuwa Pinda alipelekewa mualiko kwa maandishi kikao kitakuwa leo saa 4 asubui na barua ilimfika siku ya ijumaa mchana na alikubali mwaliko wa kikao cha leo, hebu muulize kilichomfanya akaitisha kikao jana ni nn wakati barua alioipokea na akakubali mwaliko ilionyesha kuwa ni leo saa 4 asubui.

Kwa taarifa kile kikao alichokaa jana hakuna madaktari pale wale wote ni mamluki hakuongea na madaktari kama madaktari aliongea na watu anao wajua yeye kwa utaratibu aliojiwekeaa, hivi inakujia akilini unapewa mwaliko unaukubali halafu unakuja kubadilika maana yake nini yaani alichokifanya yule mama nkya na mtoto wa mkulima hawana tofauti, serikali inawadharau sana madaktari kwa sababu wao wakiugua wanakimbilia apollo india sie walalahoi ndo tunaoumia na serikali haitujali, waacha waafukuze hao madaktari tuone mwisho wao ni nini hata wale wabunge leo nao wamegoma kwa tarifa yako kama ulikuwa hujalijua hilo uliza uambiwe kasoro yule mmoja ndi mamliku alikuwa haeleweki tangu mwanzo (sitaki na taka).

hao jwtz wanaosema wanawatumia waacha waatumie tuone kama watatosha nchi nzima wengi wao ni ma-medical assistance hawana madaktari, wamechokoza moto ngoja uwachome, hospitali nyingi sana za binafsi hazina madaktari watakwenda.

jiulize dr. kinasha yuko wapi jiulize tanzania nzima kama ina daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, walishindwa kumtibu marehem prof azizi hadi akauza nyumba yake ili akajitibie ujerumani serikali ilifunga macho sasa hivi nchi nzima hakuna daktari bingwa wa mfumo wa utumbo, madaktari wengi sana wamekimbilia nchi za nje kwasababu ya kuangalia maslahi yao serikali haiwezi kutujali sisi walalahoi kwasababu umuhimu wetu ni kwenye kampeni tu baada ya hapo hatuna thamani wao wakiumwa wanalazimisha madaktari waandikie wakatibie india sababu wanachukua pesa kwa manufaa yao wenyewe.
ikiliza

hivi ndugu yangu nchi issue ni madaktari tu ? pinda nimemsikiliza jana kwamba kuna vikao vya bunge.issue za madaktari zinafahamika kama wangeenda kukutana naye na madai yao yanafahamika tatizo lingekuwa nini ?
 
Kwa wewe unayeona kuwa Waziri Mkuu katoa vitisho subiri uone kama hao watakaoendelea na mgomo hawatajifukuzisha kazi.
Pole wewe magamba ambaye unawaza kuwa huwezi kuisihi bila kuajiriwa na serikali dhalimu ya magamba. Hivi Watanzania tutaamka lini? Mtu akitishwa tu kufukuzwa kazi ndio hata anasahau haki zake!! Waziri mkuu is just a political figure na wala uwaziri mkuu hausomewi na wala hauna cheti cha taaluma. Hata wewe kilaza na vyeti vyako vya kuchakachua unaweza kuwa waziri katika serikali bogus kama hii. Kwa hiyo PM kuwatishia nyau watu wenye taaluma zao kama madaktari ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Kweli wa kunyonga nchi hii wako wengi ila tu hatuna wanyongaji!!
 
Huyu FF kichefuchefu humu jamvini kwann asishughulikiwe maan post zake kila siku za ajabu sana. Tatizo FF unafikiri kwa Masaburi daily. Badilika bwana coz hata kazi uliyotumwa huijui:hat:
:shock::shock:
 
Huko nyuma nilisha wahi kusema, siku ambayo watanzania walalahoi watakapoamua kuingia barabarani, sijui watawala hawa watakimbilia wapi kujificha. Sasa wakati umefika, na wakati wenyewe ni leo Jumatatu tarehe 30/1/2012. Siku ambayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi wake wenyewe, imewageuka na kuamua kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwanyima huduma muhimu ya afya.

Nafahamu, Madaktari leo hawawezi kurudi kazini, na nafahamu Manesi na wahudumu wengine wa afya kuanzia kesho watoa matamko yanayofanana na hili la Madaktari, Madaktari Bingwa nao, muda si mrefu watatoa tamko linalofanana na hili la madaktari, na kitakachofuata hapo ni kilio na kusaga meno. Kwa sababu watakao athirika ni watanzania wote wa kawaida bila kujali itikadi zao au kazi zao, tutasikia na chama cha waongoza ndege nao wanagoma, Dawasco nao watagoma, Tanesco nao watagoma, kwasababu hakuna atakayepona kwa hili.

Kwa vile Madaktari wameonyesha njia, tuwaunge mkono watanzania wote wenye mapenzi na nchi hii, na kupigana na serikali dharimu. Hatuna silaha, kama wao walivyo na majeshi, lakini umoja wetu ni silaha tosha. Napendekeza kwa kupitia kamati maalum ya madaktari, wafungue account huru, ambayo sisi wapenda mabadiliko tutawachangia na pesa hizo zitawasaidia kujikimu ktk kipindi hiki kigumu. Tunafahamu hawa wenzetu wana familia na ndugu wanaowahusu na kuwategemea. na kwavile vita hii si ya kwao peke yao, hatuna budi kusaidia kwa hali na mali kuendeleza mapambano. Nina uhakika watu wengi watajitoa kuchangia account hiyo ya Madaktari, na wao wakipata pesa hizo watajua namna ya kuzigawanya. Shime MaDoctor wa ukweli, Shime JF na Watanzani wapenda mabadiliko, muda wa kulalamika umeisha, tufanye kwa vitendo. Dr. Ulimboka, tuwekee hiyo account details leo hii hii, au kama kuna njia nyingine ya mbadala tujuze. Tupo pamoja.

Mkuu,
Haraka sana tafuta Tabibu ambae hashiriki Mgomo akuangalie Kichwa chako, bila shaka dalili za kuharibikiwa zimepiga hodi.
Kwa hoja hizo POTOFU sidhani na wala usifikirie kuwa utawasalitisha WATANZANIA agaist each other, unahitaji zaidi ya kuwa na matatizo ya kichwa.
Madaktari wanaogoma ni WASALITI na WANAFIKI fulstop. Na anaewaunga mkono halkadhalika.
Mnajua kuna Wabongo wanaohangaika kupata Mlo wa kutwa moja??? Na hao wana haki zote za Kikatiba kama Viumbe ninyi??
Lakini hawana PRIVILAGE/TUNU kama mliotunukiwa ninyi kwa hiyo wacheni UZEMBE. Waliowapa Tunu hiyo wakikasirika (Walala hoi) watawaweka pabaya.
Kama ni hoja imeshasikika rudini kazini, kila jambo lina mstari wake, mkiuvuka mtaingia MAJARIBUNI!!
 
Back
Top Bottom