Saa classic zinapatikana maduka gani

Ubezea

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
1,232
629
Wakuu maduka gani hapa Dar naweza nikapata saa classic na quality kama vile swiss, rado, IWC ambazo ni classic na quality.
 
Nenda bablas kama sijakosea jina kuliandika vyema pale kwenye mzunguko wa askari utapata saa unayo iihitaji bila shaka
 
Niwaelly House of Watches, duka lao lipo makumbusho...

Wana saa nzuri n affordable price
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom