Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,667
Angalia usije ukapitiliza.Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana.
Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55.
Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea.
Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu yetu na umbea ni fani na kipaji Chetu.
Hahaha. Siwez pitiliza mtu wangu. Alarm clock yangu inapiga hadi yowe. Nimeiunganisha na JBL.Angalia usije ukapitiliza.
Kuja kuamka unakuta nchi imeshakombolewa!!!
Atakua kakumbatiabinti kiziwi utakuwepo kwenye umbea saa 3.
Inasikitisha sana nchi kuwa na mzee kama wewe.Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana.
Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55.
Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea.
Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu yetu na umbea ni fani na kipaji Chetu.
Hahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti Sana. Dah hiyo picha inatia Simanzi Sana. Hapo kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu akimuaga kwa kumkumbatia binti yake kipenzi Sakinah kwa mara ya mwisho kabla ya umauti. Alimpenda Sana Sakina. Hapo Chini picha nyingine.
Dogo temana na mimiInasikitisha sana nchi kuwa na mzee kama wewe.
Nimechelewa aiseee nilikuwa bizeeeee!binti kiziwi utakuwepo kwenye umbea saa 3?
Dah nimecheka sana, Maghayo acha bangi!Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu yetu na umbea ni fani na kipaji Chetu.