Sa hii manake nini?

Sa hii manake nini?

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,955
d51178de505768d85b2a03e611a982b1.jpg
 
Halafu wewe naona unam follow sana nyampua...
 
The Boss Majibu yako ,kutoka kwa mama baada ya kuanzisha Uzi wako Jana kuhusu Prof Tibaijuka Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT niliwasaidia wanawake hao kuunda ushirika wao.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
 
Thread ilikuwa ni swali
ina maana kama alichojibu ndo ukweli basi mamlaka zimepata jibu
kama si kweli tutajua
 
Back
Top Bottom