Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

yaani unavvoadika tu....wewe nawe ni Mnyarwanda ila sema ua ``smart``...hatujakugundua
Ukatili huu utawagharimu ...sana. Ebu fikiria, unagongewa hodi nyumbani kwako...na kiongozi wa serikali za mtaa kuwa unasiku kumi na nne..kuondoka nchini huku ukimuacha mkeo/mmeo na watoto...au ndo kwanza umemaliza fungate. Ukatili huu wa kisaikolojia ...hauvumiliki...!! BlackBold: huu ni wizi...zinatafutwa ela za uchaguzi 2015 kwa gharama za waafrika wenzetu.
 
Mkuu acha kupotosha umma kwa maslahi binafsi, JK alisema kuwa wahamiaji haramu warudi kwao au wafuate utaratibu husika kupata permitts.
Wewe na familia yako kama unalengo la kuendelea kuishi Tanzania kwanini tangu siku ile tangazo limetolewa hukuamua kuanza kufuatilia permitt kwenye mamlaka husika ambazo kama unasifa stahiki wala haichukui muda kuipata hiyo permitt?
Kwanini uishi bila kufuata utaratibu nchi za watu hadi unafikia hatua ya kuoa ilhali unajua kabisa upo eneo husika kimakosa?

Tukikuhisi kuwa unafanya biashara/shughuli zisizo halali kama ujambazi ndiyo maana unakwepa kuifuatilia permitt ili usigundulike tutakuwa tunakosea?

Katavi wako wengi mno wa mwaka 1950 katika kijiji cha MWESE na wengine wengi mjini Mpanda,wafugaji wengi maeneo ya Kigoma,uvinza na vijiji vingi, vya Mkoa wa Kigoma,wilaya ya Kahama wamejaa na wana majumba hasa hasa maeneo ya Nyasubi na Majengo,geita ,Mwanza -kirumba ni wengi ajabu.Ni zoezi muafaka katika muda muafaka,ebu warudi kwao wakajenge nchi yao,watuachie mafuta yetu na gesi zetu.
 
yaani unavvoadika tu....wewe nawe ni Mnyarwanda ila sema ua ``smart``...hatujakugundua

Ndio hao hao wewe ujashtuka tu, Wapo kwenye kampeni kali kwelikweli ya kujihalalisha wenyewe. Hizi ni propaganda zinazoongozwa na serikali yao. Kwani ujawahi kusoma hapa JF kuwa viongozi wa nchini Rwanda walikuwa wanahusika kutowa pesa za kuwaonga watendaji wetu ili kuwalinda wahamiaji hawa haramu!. Sasa Leo watashindwa nini kutumia watu wao waliopo EA kueneza propaganda kuwa wanaonewa sijui nini.. Sasa hivi wanatumia magazine, Radio, internet nk. Njia zooote hizo ni kutubabaisha sisi na ulimwengu, ili tufanye kosa la kufikilia Kuwahalalisha, Janja nyani hiiiiii !.
Kwa kweli nitashangaa kama serikali itawalegezea kamba. SERIKALI IKITETELEKA NA UWAMUZI WA KUWARUDISHA KWAO BASI KWELI TUNAONGOZWA NA WACHOVU.
 
saa hizi wamebanwa pabaya,we subiri,lazima warudi kwao
Hao Wote ndio hao hao wewe ujashtukatu !, Wapo kwenye kampeni kali kwelikweli ya kujihalalisha wenyewe. Hizi ni propaganda zinazoongozwa na serikali yao. Kwani ujawahi kuoma hapa JF kuwa viongozi wa nchini Rwanda walikuwa wanahusika kutowa pesa za kuwaonga watendaji wetu ili kuwalinda wahamiaji hawa haramu!. Sasa Leo watashindwa nini kutumia watu wao waliopo EA kueneza propaganda kuwa wanaonewa sijui nini...!. Sasa hivi wanatumia magazine, Radio, internet nk... Njia zooote hizo ni kutubabaisha sisi na ulimwengu, ili tufanye kosa la kufikilia Kuwahalalisha,... Janja nyani hiiiiii !!!!. Kwa kweli nitashangaa kama serikali itawalegezea kamba!. SERIKALI IKITETELEKA NA UWAMUZI WA KUWARUDISHA KWAO BASI KWELI BASI KWELI NI TUNAONGOZWA NA WACHOVU.
 
Chuki yako juu ya watutsi inakumaliza brother.

Ni kweli inanimaliza but tunataka at the end no stone will remain unturned.I hate you tutsi and I hate you from my heart.Nimemuambia kaka yangu alieko Goma kwenye brigedi ya UN zawadi kubwa atakayoniletea ni kuwatwanga mpaka msalimu amri
 
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TH="align: left"]Tz evictions: 740 acres of land for livestock farmers[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Rwanda Agriculture Board (Rab) has earmarked more than 300 hectares of grazing land in Nyagatare and Gatsibo districts to livestock farmers being evicted from Tanzania.

At least 2,000 head of cattle have been transferred from Tanzania to Rwanda since Tanzania expelled Rwandans from Kagera region in the north-western swathes of East Africa’s largest nation.

The farmers had expressed worry over grazing land.

However, Celestin Nyambyi, the coordinator of Rab in Eeastern Province said yesterday the cattle would be put in quarantine posts for safety precautions.

“Cows coming in numbers may pose a serious health threat if not properly watched...but we have earmarked areas to handle the cows until further notes...the coming farmers will get all they need to resettle in their country,” he said.

‘Appalling action’

More than 3,500 Rwandans who lived in Biharamuro, Ngara, Karagwe and Mureba districts since 1960s have so far been received after being expelled from Tanzania.

Speaking to The New Times, yesterday, the cattle farmers lamented the treatment they were subjected to by Tanzanian authorities and residents, saying they were driven out of the country with total disregard to basic human rights.

Alex Rurangwa, a farmer whose family had 3,000 head of cattle in Biharamuro

District, said they were harassed and never allowed to move their cows to Rwanda.

He advised other Rwandans still in Tanzania to leave the country before they suffer heavy losses of property and life.

“All Rwandans should be moving out of Tanzania. A situation has been created where farmers will lose a lot. An environment for anybody to grab properties of Rwandans at will has been created,” said Rurangwa.

“They had all the rights to chase us from their country, but it is not in order to shoot at us and steal our cows as they did. I lost 30 cows to an unknown group of people. They ambushed and injured my brother.”

One of the returnees, Ben Celestin, 26, was receiving treatment at Kirehe Hospital yesterday after he was shot in the back with an arrow.

The burden of distance

Rurangwa said the cows they brought were their only source of income, although they wanted to change to other means of production.

“We suffered big losses; we need to change the business we have been involved in for long. We shall have to sell many of them to buy land, houses and resettle. Let other cattle sellers give us room to sell first, as an emergency.”

John Mugisha, a farmer whose cows are still on their way from Karagwe District, expressed uncertainly whether all of them would reach the country.

He said natural barriers such as mountains, rivers and game parks would tamper with movement of the cows.

“We are in problems. The days we were given and the treatment we received is a violation of our rights. Karagwe is very far from Rwanda. Our cows are on the way trying to cross rivers and swamps. So, they won’t make it here in time,” he said.

Families shattered

Roda Mungeriwase, 42, a mother of eight, said living in Tanzania had always been a problem for Rwandans.

“I had to leave the father of my seven children behind so he can take care of our property. My husband is a Tanzanian. My parents moved to Tanzania in 1966. This life of uncertainty has been our undoing,” Mungeriwase said.

“It is a pathetic situation where all of a sudden one finds themselves without property and home, families are completely shattered. I don’t know the plight of my husband or how he will look after our seven children,” she lamented.

Earlier, it was reported that the deadline given to Rwandans to leave Tanzania was August 9. However, according to the returnees, all Rwandans accused of living illegally in Tanzania have until Wednesday to leave the country.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hata wangekuja dunia inaumbwa wacha warudi tu then tutachambua baadae magugu na mpunga maana sasa ilikuwa shida kuyatofautisha maana yote yalimea sehemu moja
 
Huu mfano wako uliotumia wa kusema usicheke na nyani sio mzuri, binadamu wote ni sawa, inaonekana unachukulia adiye mtanzania kana kwamba sio binadamu kabisa, sisi wote ni waafrika, hiyo mipaka iliwekwa na wakoloni tu, fikiria mara mbili.
Usicheke na nyani! swala la kuwaondoa sio la kibaguzi ata baadhi ya nchi za Ulaya zinaanza kudili na raia wasio wazawa kwani wameona madhara yake! Hawa ni wahamiaji tena HARAMU kwanza walibidi washtakiwe na wafungwe jera ata miaka 5 ndo wafukuzwe. leo nenda UK ufanye ukuda huu uone mziki wake..SERIKALI ikimaliza ianze na wazawa wanaowapa makazi na maradhi hawa watu ilo ndo litakua fundisho!
 
yaani unavvoadika tu....wewe nawe ni Mnyarwanda ila sema ua ``smart``...hatujakugundua
Mnyarwanda ni kabila tu kama vile mkurya, msambaa, mmakonde n,k.
Kwa hiyo huna sababu ya kulikasirikia sana, unless otherwise uko interested sana na ukabila.
 
mnazidi kujipambanua...duu JK kawafanya kitu kibaaya,safi sana Pez,kumbe mnaipenda sana Tz eeeh
Mnyarwanda ni kabila tu kama vile mkurya, msambaa, mmakonde n,k. Kwa hiyo huna sababu ya kulikasirikia sana, unless otherwise uko interested sana na ukabila.
 
yaani unavvoadika tu....wewe nawe ni Mnyarwanda ila sema ua ``smart``...hatujakugundua

Kwa taarifa yako ninaweza kukuonyesha mahali kaburi la babu wangu wa kumi lilipo hapa Tanzania. Je. wewe unaweza kutuonyesha mahala kaburi la babu wako wa 5 lilipo?

Acheni kujitoa utu....wale ni waafrika wenzetu...mipaka iliwekwa na wakoloni ,bado hamuelewi...!
 
mnazidi kujipambanua...duu JK kawafanya kitu kibaaya,safi sana Pez,kumbe mnaipenda sana Tz eeeh
Kujipambanua nini, mimi sijali, niwe mhutu,mnyarwanda, mjaluo, mhaya, muwemba, mbarabagi, mnyamwezi n.k, n.k,

Kwangu mimi suala la mhimu ni utu tu, basi. Awe mwarabu, mhindi myahudi, mchina, n.k, kwangu mimi wote ni sawa, siwezi kumbagua mtu yeyote kwa sababu ya rangi, kabila au utaifa. kwanini unafurahia JK kuwatendea vibaya wanyarwanda?, na umejisikiaje baada ya Kagame kutangaza kuwa watanzania walioko Rwanda wasisumbuliwe?
 
Mnyarwanda ni kabila tu kama vile mkurya, msambaa, mmakonde n,k.
Kwa hiyo huna sababu ya kulikasirikia sana, unless otherwise uko interested sana na ukabila.

waambie , naona kuna watu wanatoa mapovu bila kujua history ya nchi za Rwanda,Burundi na Uganda .wanashindwa kujua kuwa wanafanya kama wao kwa kufanya hivyo !
 
kwani hapa umesikia wanaosumbuliwa ni wale waliongia kihalalai,si hata zoezi linawahusu walioingia visicyo,wanapishi huko wameingia kihalali na ndo maana nadai wasisumbuliwe.....nendeni kwenu halafu mmje muingie kihalali uone kama tutawafukuza
Kujipambanua nini, mimi sijali, niwe mhutu,mnyarwanda, mjaluo, mhaya, muwemba, mbarabagi, mnyamwezi n.k, n.k, Kwangu mimi suala la mhimu ni utu tu, basi. Awe mwarabu, mhindi myahudi, mchina, n.k, kwangu mimi wote ni sawa, siwezi kumbagua mtu yeyote kwa sababu ya rangi, kabila au utaifa. kwanini unafurahia JK kuwatendea vibaya wanyarwanda?, na umejisikiaje baada ya Kagame kutangaza kuwa watanzania walioko Rwanda wasisumbuliwe?
 
kwani hapa umesikia wanaosumbuliwa ni wale waliongia kihalalai,si hata zoezi linawahusu walioingia visicyo,wanapishi huko wameingia kihalali na ndo maana nadai wasisumbuliwe.....nendeni kwenu halafu mmje muingie kihalali uone kama tutawafukuza

Hujui exactly ni nini kinachofanyika, unaongea tu kwa sababu una mdomo.
 
Ni kweli inanimaliza but tunataka at the end no stone will remain unturned.I hate you tutsi and I hate you from my heart.Nimemuambia kaka yangu alieko Goma kwenye brigedi ya UN zawadi kubwa atakayoniletea ni kuwatwanga mpaka msalimu amri

utakufa utawaacha , dunia mapito kenge wewe !
 
Hata wangekuja dunia inaumbwa wacha warudi tu then tutachambua baadae magugu na mpunga maana sasa ilikuwa shida kuyatofautisha maana yote yalimea sehemu moja

Ona sasa ulivyompuuzi, hujui kuwa mtu yeyote akizaliwa Tanzania tu hata kama ni mtutsi tayari ni raia wa tanzania.
 
Ukatili huu utawagharimu ...sana. Ebu fikiria, unagongewa hodi nyumbani kwako...na kiongozi wa serikali za mtaa kuwa unasiku kumi na nne..kuondoka nchini huku ukimuacha mkeo/mmeo na watoto...au ndo kwanza umemaliza fungate.

Ukatili huu wa kisaikolojia ...hauvumiliki...!!


BlackBold: huu ni wizi...zinatafutwa ela za uchaguzi 2015 kwa gharama za waafrika wenzetu.



Mpigakelele acha kelele zako. Nyoka hafugiki, ukimfuga lazima umung'oe meno, siku utakayosahau kumung'oa meno atakuuma na kukuachia sumu itakayokuua. Sidhani kama JK na watanzania kwa ujumla tulikuwa na nia mbaya na hawa wahamiaji haramu. Ailimia kubwa ya ujambazi unaofanyika hapa nchini tena ule unaogharimu maisha ya watu either kutakuwepo mgeni au siraha kutoka nchi jirani. Hilo tu ni sababu tosha ya kuwadhibiti wahamiaji haramu. Lakini linguine, threats kutoka kwa viongozi wa nchi jirani. Mtu kama Kagame hakustahili kuwatukana watanzania kiasi chote kile kwa sababu tu eti ameambiwa aongea naa waasi wa FDLR. Hata ukiangalia kilichom-provake Kagame kwa mtu mwenye akili zake sio ule ushauri bali kama alivyosema yeye mwenyewe kwamba atatumaliza MUDA MUAFAKA UKIFIKA. Sasa tueleze muda muafaka ni upi aliomaanisha, na atatekeleza ajenda yake hiyo kwa kutumia raslimal watu zipi? za wale waliopo Rwanda au hawa tulionao hapa nchini??? Kama umeelewa hilo, ni vema kuchukua hatua mapema. Kama unaona wanateseka kimwili na kiakili, je wao watakapotekeleza azma yao ya kututwanga madhara yatakuwa makubwa kiasi gai?? Acha huruma za mshuma unaokuangazia huku wenyewe ukiteketea
 
Back
Top Bottom