Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

Nyie wakati wa kuelekea Kigali mlikuwa mnakula mayai, shukrani kwa Bill Clinton an Tony Blair
unatia huruma sana wewe na idea zako za stone age,hizo fantasy zako wont happen na utaishia pabaya.
 
Lakini wewe si umesema kuwa ni universal law, mtu akizaliwa nchi yeyote ile tayari ni raia wa nchi ile sasa vipi tena unaleta habari za watu kuwa kwenye makambi na kutokuwa kwenye makambi ama wamekuwa registered ama hawajawa registered
Kuwa kwenye makambi ni special case, na wala sikusema walioza.iwa kwenye makambi ya wakimbizi, nimekuuliza, walioambiwa kuondoka ni walioko kwenye makambi ya wakimbizi?
 
Ni kweli unataka kumaanisha kuwa watanzania hatuhitaji uhusiano mzuri na majirani au nimekuelewa vibaya?, Watanzania hawatahitaji kusafiri nje ya Tanzania?.

Umejiuliza ni kwa sababu ya nini hasa?

Mimi kama mtu binafsi itasaidia nini hata nikitaka au kutokutaka uhusiano wa nchi na nchi? nililiotaka kusema ni kwamba unapokuwa mbali na kwenu lazima uwe macho na masikio wazi ukisikia tetesi zihusianazo na taifa lako na huko ugenini, inakubidi kurudi haraka sana kwenu kabla mambo hayajaharibika. Ikiwa yataharibika. lakini tunaomba ziishie tu kuwa kelele bila jambo baya kutokea. Hizo ndizo sara zangu! Wakiendelea kubaki huko wanataka nini?
 
Kuwa kwenye makambi ni special case, na wala sikusema walioza.iwa kwenye makambi ya wakimbizi, nimekuuliza, walioambiwa kuondoka ni walioko kwenye makambi ya wakimbizi?

Kwani makambi ya wakimbizi niliyoyataja yapo mbinguni ama kwenye ardhi ya Tanzania, kwa hiyo unataka kusema kuwa mkimbizi yeyote mfano aliepata access ya kuja mjini na huyupo kwenye makambi siku akizaa mtoto automatic atakuwa Mtanzania simply because hajazaliwa kwenye makambi?
 
Kwani makambi ya wakimbizi niliyoyataja yapo mbinguni ama kwenye ardhi ya Tanzania, kwa hiyo unataka kusema kuwa mkimbizi yeyote mfano aliepata access ya kuja mjini na huyupo kwenye makambi siku akizaa mtoto automatic atakuwa Mtanzania simply because hajazaliwa kwenye makambi?
Ukisema mkimbizi tu, haijalishi yuko kwenye makambi au hayuko kwenye makambi, anasubiri kwao kuwe shwari ili arudi, still a special case.
 
Mokala you are a Congolese , utulie wote tuwasetiri. Tanzania hatubagui , lakini kuanza kuchukua wenye matatizo kama kwako siyo! Si kila mtanzania anachukia wanyarwanda , wawe wahutu au watusi! what happened to them is politics that went wrong , just like the present Arab spring that is still catching fire ... politics has never been easy a game, can you hear that pig head !
l
 
Ukisema mkimbizi tu, haijalishi yuko kwenye makambi au hayuko kwenye makambi, anasubiri kwao kuwe shwari ili arudi, still a special case.

Back to the topic, hao wanyarwanda wanaotimuka Kagera ni wakimbizi ama si wakimbizi na je watoto wao wanatakiwa kuwa raia wa Tanzania automatic kwa vile wamezaliwa Tanzania?
 
ndugu zako bado wanaishi maporini na next generation yao bado wanawalisha hiyo sumu yako unayoileta humu JF,theres still hope though.

Hata na nyie mlienda Kigali mkitokea mapori ya Uganda nao pia wataingia Kigali kutokea mapori ya DRC whatever goes around eventually comes around
 
Hata na nyie mlienda Kigali mkitokea mapori ya Uganda nao pia wataingia Kigali kutokea mapori ya DRC whatever goes around eventually comes around
dream on,wenzako walikuwa wanarudi home kuishi kwa amani sio kurudi kutaka kuua wengine kama ndugu zako wanavyotaka,na kwa ujinga wenu mnafikiri wahutu ndio FDLR na interahamwe.
 
Back to the topic, hao wanyarwanda wanaotimuka Kagera ni wakimbizi ama si wakimbizi na je watoto wao wanatakiwa kuwa raia wa Tanzania automatic kwa vile wamezaliwa Tanzania?

Hapo sasa ndio maana wengine tukaingiwa na wasiwasi kuwa huenda zoezi hilo likawa la unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za binadamu. Naona wanyarwanda wanakimbia tu pasipo kujua ni wakimbizi, sio wakimbizi, ukionekana tu una ka pua kembamba tayari unaishi kwa mashaka, Watendaji wengine wametumia fursa hiyo kuwanyanganya watu hawa mifugo yao na mali.

Kuhusu waliozaliwa Tanzania kama ni raia au sio raia, kutokana na kutokuwepo kwa vitambulisho vya utaifa, mpaka leo hii, vyeti vya kuzaliwa bado vinatumika kama ndio vitambulisho vya uraia.
Kwa mtu mwenye cheti kinachoonyesha kuwa amezaliwa Hospitali ya Karagwe mkoani kagera, utatumia kigezo gani kumuambia kuwa sio raia?
 
Baada ya hawa Wanyarwanda mtakuja kuanza na Wahindi, wakishaondoka mtafuata na wachaga. Ubaguzi kuwa hauna rangi, kwani mmeona Tanga RC kawafukuza Wamang'ati na Wairaki eti warudi kwao utafikiri yeye RC yupo kwao> Hawa hawa wamang'ati na wairaki ardhi yao ili chukuliwa na serikali ili kuanzisha mashamba ya ngano kule Manayara (Mbulu) miaka ya 1969 leo mnawafukuza. Je wewe RC na wewe utarudi lini kwenu?. RC Mara naye katangaza ubaguzi mwingine kule Serengeti....CCM achene ubaguzi

Ndugu, hawa wanyarwanda ni wahamiaji haramu. Na hii siyo ubaguzi au ukabila. Hata wahindi ambao ni wahamiaji haramu nao hutakiwa kuondoka. Wapo wanyarwanda wanaoishi nchini kihalali, hao nao umesikia wameguswa?? Kama kuna wamang'ati na wairaki ambao siyo raia wa Tanzania na ni wahamiaji haramu kutoka nchi nyingine kama Rwanda (kama wapo) nao pia watarudishwa kwao kama wakigundulika. Hayo unayoyasema kama yametokea huo tu ni utaratibu wa ndani ya nchi ya tz wa kupunguza migogoro kati ya wafugaji, wakulima na wawekezaji wengine. Hiyo inaweza ikalazimu baadhi ya watu warelocate kupisha shughuli fulani na hiyo siyo racism kama operation ya kagera isivyo xhenophobic. Thanks
 
Hapo sasa ndio maana wengine tukaingiwa na wasiwasi kuwa huenda zoezi hilo likawa la unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za binadamu. Naona wanyarwanda wanakimbia tu pasipo kujua ni wakimbizi, sio wakimbizi, ukionekana tu una ka pua kembamba tayari unaishi kwa mashaka, Watendaji wengine wametumia fursa hiyo kuwanyanganya watu hawa mifugo yao na mali.

Kuhusu waliozaliwa Tanzania kama ni raia au sio raia, kutokana na kutokuwepo kwa vitambulisho vya utaifa, mpaka leo hii, vyeti vya kuzaliwa bado vinatumika kama ndio vitambulisho vya uraia.
Kwa mtu mwenye cheti kinachoonyesha kuwa amezaliwa Hospitali ya Karagwe mkoani kagera, utatumia kigezo gani kumuambia kuwa sio raia?

Mwisho wa siku sasa nimekuelewa,kwako wewe ni kwamba kama mtu akifanikiwa kuwa na cheti cha kuzaliwa kinachoonyesha amezaliwa Hospital ya let say Mawenzi- Kilimanjaro ama Maweni- Kigoma automatic ni raia wa Tanzania maana tayari ana cheti?
Kwangu mimi kwa mtu mwenye cheti kinachoonyesha kuwa amezaliwa Hospitali ya Karagwe mkoani Kagera, ntatumia uraia wa baba yake na mama yake kumuambia kuwa sio raia wa Tanzania
 
Ila kwa mwendo huu Jumuia ya EAC imeshaingia kwenye dosari kubwa na Tanzania inatakiwa kupitia upya Uamuzi wake.Hata huu uandishi ni mwendelezo wa kuchochea Mgogoro uliopo kati ya JK na Kagame.

Hawa ni Illegal ImigrantsWahamiaji haramu lakini kichwa cha habari kwenye Gazeti imekuwa na Ukakasi
[HAWA Wanyarwanda wawe na shukrani,Tanzania wamekuwa wakarimu kwao kwa miaka mingi sana na sasa wamejisahau na kufikia hatua ya kuukata mkono uliowalelea!!!Wanafikiri Tanzania is a NO-MAN'S LAND!!!HAPANA,INA WENYEWE.Wanapora na kuua watanzania,wanaharibu misitu na mashamba,bado kunakuwa na wapuuzi humu JF wanawatetea!!!SHAME ON YOU!!!!WANYARWANDA WENGINE WALISOMA SHULE ZA SERIKALI YETU bure ENZI ZA MWALIMU NYERERE.Tufikirie mara 2 Watanzania kabla ya kuamua kuwatetea hawa jamaa.Nadhani wengi wanaochangia mada hii ni watoto waliozaliwa miaka hii hii ya 1985 na kuendelea.Wajue watu wanaongezeka ila ARDHI HAIONGEZEKI!!!!Huko Rwanda waliambiwa kufuga mwisho ng'ombe watano ili kutunza Mazingira,huku kwetu hadi 3000 ni sawa tu!!!!WATANZANIA TUMEKUWA WEMA SANA ILA TUTAFAKARI TUACHE USHABIKI WA KIJINGA KWA MANUFAA YETU NA VIZAZI VIJAVYO
 
logo.png


Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

1375994706Rugangazi-.jpg

Benjamin Rugangazi, Rwanda’s High Commissioner to Tanzania

The Ministry of Disaster Management and Refugee Affairs (Midmar), in conjunction with Kirehe District authorities, have begun preparations to resettle Rwandans recently expelled from Tanzania.

According to sources, Tanzanian authorities last month gave Rwandans without what it termed as “valid residential documents” 14 days to leave the country.

The deadline expires today.

Several efforts to get a comment from the Tanzanian embassy in Kigali were futile. Calls to home affairs ministry office in Tanzania also failed to yield results by press time.

But Rwandan families that have been living in Tanzania since 1950s started trickling back in the country through Rusumo border a couple of days ago.

Yesterday, several returnees were still coming in with their families.

After being registered by immigration officials, they were transported to Nyamugari Sector in Kirehe District. By press time, at least 200 had arrived yesterday alone.

It is expected that an estimated 20,000 people may be on their way home. More than 700 have returned so far. Forty-eight families arrived through Rusumo border on Monday, while 33 crossed the border on Tuesday.

Government to accommodate

Jean Claude Rwahama, Midmar officer for refugee affairs, said government was ready to accommodate the returnees.

“We are in Kirehe District to arrange for the Rwandans coming from Tanzania. They need shelter, food, etc, as more arrangements are made for permanent settlement,” he said.

Protais Murayire, the Kirehe District mayor, confirmed that the officials were busy with preparation to receive the returnees.

“Kirehe neighbours Tanzania, so we have to be part of the preparation to receive the Rwandans. We have done it before; Kiyanzi village in Nyamugari and areas of Mahama Sector will accommodate the returnees,” he said.

According to some of the expelled Rwandans, their biggest concern was their cattle that could not be moved fast enough to beat the deadline.

“We believe Rwandan officials will sort it out with their Tanzanian counterparts. Cattle markets in Tanzania were closed and we couldn’t get where to sell the cows, even at give-away prices.”

“We left our animals behind; it is a desperate situation, people can board cars, but cows can’t,” said Joyce Mukamurigo, a mother.

Many Rwandans were given Tanzanian citizenship through naturalisation during founder president Julius Nyerere’s regime.

Many Rwandans were given the citizenship popularly known as ‘Urayiya’ in Kiswahili in 1981 and 1982.

But, according to Mukamurigo, such a citizenship no longer counts.

“It doesn’t really matter whether you have the paper/citizenship or not, authorities will tear it up and expel you,” she said.

‘Legitimate deportation’


However, Rwanda’s High Commissioner to Tanzania Benjamin Rugangazi said most of the Rwandans repatriating might have been illegally living in Tanzania’s Kagera region, where government is conducting a major crackdown on illegal migrants.

Rugangazi said there had been widespread banditry in the region and one of the measures that the Tanzanian government had taken was to send illegal immigrants back to their home countries before the end of this week.

“There are some Rwandans who feel that they are concerned by this decision and have started going back home,” he said on Wednesday.

Rugangazi said the Rwandan High Commission in Tanzania has also encouraged Rwandans who might be illegally living in the country to return home and asked the Tanzanian government to ensure that the operation is conducted in a calm way.

“Local officials here have been given instructions not to brutalise anyone in the process,” he said, adding that embassy officials have no evidence of violence so far.

It is not yet clear how many Rwandans live in the Kagera region, but many of the area’s immigrants are Rwandans, with Ugandans and Burundians taking small numbers.

Additional reporting by Eugene Kwibuka

Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District - The New Times Rwanda

MY TAKE:
A random searching exercise should also be carried out in Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Mwanza and Mara regions that host illegal immigrants that pose a serious threat to our peace and security!









UMOJA WA WANYARWANDA WAKIMBIZI​
​
​
Brazaville Dar es Salaam Cape townLondon​
Tel. +242069728747 +255755047545 +27795382019 +447413549095
E-mail: <hutubanturace@gmail.com>​





​
KWA MAANDALIZI YA KUREJEA KWENYE NCHI YETU​
​
RWANDA, JIBU LA MAZUNGUMZO YA KISIASA​
​






​
​


​
MATATIZO MAKUBWA YA WANYARWANDA NI YA KISIASA NA YANAGUSA KILA MUNYARWANDA. UFUMBUZI WAKE NI MAZUNGUMZO YA KISIASA KATI YA WANYARWANDA AMBAO WAKO KWENYE UONGOZI WA RWANDA LEO, WANANCHI, UPINZANI, NA UMOJA WA WANYARWANDA WAKIMBIZI.​
​

​
​
​
​
​
​
​
KWA MAANDALIZI YA KUREJEA KWENYE NCHI YETU RWANDA: JIBU LA MAZUNGUMZO YA KISIASA.​
​
MAZUNGUMZO KATI YA WANYARWANDA: NJIA PEKEE YA KUONDOKANA NA TATIZO LA KISIASA.​
​
Mazungumzokatiyawanyarwandayanayoandaamazingirayamaelewanokatiyawanyarwanda, ndiyonjiapekeeyakuondokananamatatizoyoteya Rwanda. Viongoziwataifahilo, walitakiwakuzingatianafasihiimuhimunakufikiahatuayakubadilishamutazamowao.
Mdaumefikailiwanyarwandawotetuishipamojakwenyenchiyetu. Rwanda ninchiyetusisiwotenaitajengwatunaumojawawatwa, wahutunawatutsi. Hayomazungumzondiyodhamanayamatokeomazurikwenyemaswalayakisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, nk,katikataifaletu.Wakimbiziwotewakinyarwandawanaotakakurejeakwao, huundiomsimamowao,bilauogawalakubabaisha.
Tangumiaka 19,tukiwanjeyanchiyetu, uongoziwaKagameunajuavizurisanakwambatumeachananafamiliazetu, tumepotezamalizetu; kwambanyumbazetuzimebomolewa au zimechukuliwanawatuwenginenakwambanduguzetuwengiwanasutanakuteswakwenyemagerezabilakesiyoyotebadayakuwatuwamesingiziwa. Hatunaimanitenana Paul Kagame, ndiyomanatunatakiwakuzungumzia kwanza maswalayausalama, namengineyotekablahatujarejea Rwanda.
Paul Kagameanajuavizurisanakwamba, wengimiongonimwawanajeshi wake, au wanachamawa RPF, ambaowamemwagadamuzawanyarwandawengi, wakohurubilahofuyoyote, nahiyohaliinaonyeshajinsiganimahakamazauongoziwa Kigali siyozakuaminika.

MADAI YETU MAKUBWA YANAHUSU VITU VIFUATAVYO:
- Mazungumzokatiyawanyarwanda
- National Reconciliation
- Kutambulikakwavyamavyasiasavyaupinzaniikiwandani au njeya Rwanda bilayakuviingizakwenyekitukinaitwa “forum”
- Kuingizawakimbiziwotewatakaorejeakwaokwenyemaishayakawaida
- Kuachiliahuruwafungwawotewakisiasa
- Mahakamazisizopendeleakwawanyarwandawote
- Kuingizawanajeshiwazamanikwenyejeshi la taifa
- Kuhakikishausalamawawatunamalizao
- Kusomeshawatotowoteambaowazaziwaohawanauwezobilaubaguziwowote
- Uhuruwakujielezanakutoamaoni
- Kuandaamazingiramazuriyauchaguzihuruna transparent kwenyengazitofautitofauti.


NATIONAL RECONCILIATION.

Nationa Reconciliation nikituambachohadileokimeupigachengauongoziwa RPF. Tanguinashikamadarakamwakawa 1994, RPF inaendeleakuenezauongokwamataifakwambainaupakipaombeleumojawakitaifa, wakatimatendoyakeyakisiasanakijeshiyanapelekeakwenyechuki. Viongoziwa RPF hawaachikuonyeshajeurikwambachamahichokimeshindakwamtutuwabundukinakwamanahiyokinatakiwakutawalakimabavu. Ndiyomanawahutuwotewaliyouawana RPF wamesahaulika, wakatiwatutsiwaliyokufawanakumbukwawakatiwote. RPF itadaijekwambakuna reconciliation ikiwawaliyokufawotepandezotehawakumbukwiwote?
Tunasisitizakwamba national reconciliation katiyawanyarwanda, inatakiwakutokananaumojakatiyawanyarwandawote. Ili tufikekwenyeumojahuo, kunavitu 4 muhimuvyakujua:

- Hukumusawakwawatuwapandezotembiliambaowameingizakwenyemachafukotaifa la Rwanda. Aidhakwakuundatuumeyakitaifayakufuatilia, au kwakupanuwa mandate ya ITPR kwaviongoziwaserikaliya Kigali naya RPF waliyohusikakuuawahutundaniya Rwanda nakwenyenchiambazowamekimbilia;
- Hakiyakumbukumbukwawaliyokufawotenasiyotukwaupandemmoja;
- Uchunguziwa kina au utafitikwenyeukwelikuhususababuzamsingikwenyematatizoyanayogonganishawanyarwanda;
- Hudumakwawahangawotebilaubaguzi.
Tunafikiritenatunaaminikabisakwamba “tuumeyakitaifayaukweli, uhuruwamahakamana reconciliation, ambayopekeendiyoyenyeuwezowakurejeshaamanikwenyetaifa la Rwanda, inaitajikasana”. Ndiyomanaumojawawanyarwandawakimbiziunaombaviongoziwa Rwanda kuchangamkiaharakatizakuundahiyotuume.
KUINGIZA ASKARI WA ZAMANI (EX FAR) KWENYE JESHI LA TAIFA
Ili matatizoya Rwanda yafikieukomo wake, tunatakiwakukubarianakwambakunasehemuyawanajeshiwazamani(ex FAR)ambaowanaishiukimbizinitakribanimiaka 19 imepita. Kwaajiliyausalamazaidiwataifa la Rwanda, wanajeshihaoambaoniwakimbizi, hawatakiwikubakimisituni. Wanaitajikurejeakwenyenchiyaokwanjiayamazungumzoitakayoandaamazingirayakuwaingizakwenyejeshijipya la taifa.Nikwanjiayamazungumzotukwenyeambayohawowanajeshiwakimbiziwanawezakurejea Rwanda bilakuwanawasiwasi.
MAANDALIZI YA UCHAGUZI HURU NA TRANSPARENT KWENYE NCHI YA RWANDA
Uchaguzihuruna transparent kwenyetaifa la Rwanda ukombalikwasababu Rwanda inatawaliwakimabavunachamakimojaambachondichokinaruhusiwakutoamgombeauraismmoja.
Kwenyenchiya Rwanda wakatiwauchaguzimkuu, wagombeauraiswavyamavyaupinzaniwanabugudhiwa, wanachukuliwakama negative forces, maranyinginewanakamatwanakutupwandaniiliwaregezwekisiasa, nahatimayekuwafanyawapotezesifazaozote. Mifanohainikama Madame INGABIRE Victoire, mwenyekitiwa FDU, mgombeakwenyeuchaguziwaraismwakawa 2010; Dr MUSHAYIDI Deogratias, mwenyekitiwa PDNnaMr Bernard NTAGANDA, mwenyekitimwanzilishiwa PS imberakuri….Wanyarwandawanakiukubwayakujichaguliaraiswanayemutakabilakulazimishwa.
KUJENGA RWANDA MPYA NI KAZI YA WANYARWANDA WOTE
Kwamtazamohuo, Paul Kagamekamaraisnayeyenimmojawawanaotakiwakujenga Rwanda mpya.
Kuna takribanimiaka 19 wanyarwandawanazururakutokananamachafukoyaliyoikumba Rwanda yakayipelekeakutumbukiakwenyegizanenemwakawa 1994. Lakini, wakatiwotetukiwaukimbizini, serikaliya Kigali haijabadilishasiasazakezaubaguzinaukandamizajiwaupandemmojawawananchi. Hiyosiasainazuiasanawakimbiziwakinyarwandakurejea Rwanda kwahiyariyao.
Ukwerinikwambaserikaliya Kigali, hainampangowalauhiyariwakujengamazingirayamazungumzonakuwekapamojawanyarwandawote.
Kinyumechake, serikalihiyoinaendeleakuchocheamauaji, ambayoyamekuwandiyosirahayake. Ukosekanajiwasiasayakweliyakujengataifaletukwenyemaeneoyote (uchumi, utamaduni, mahusiano, uhuruwakuabudu…), wakimbiziwotewanamashakakwenyemanenoya Paul Kagamekuhusukurejeakwao.
Kutokakwenyegazeti la Le Figaro la tarehe 24 December 2010 “Paul Kagamealijutiahadharanikuwahakuwezakuuawahutuwotewaliokimbilia DRC, naakaahidikwambaatakujakumalizananaobadaye”, wakimbiziwanawezakuwanasababunzurizakujiulizamaswalikwenyehabarihiyoyakurejea.

HITIMISHO
Kwamfanowanchiambazozimepitakwenyemigogoromikubwakama Rwanda, umojawawanyarwandawakimbizi, unaaminikwambaniwakatimwafakawakuandaa mambo yajaobilakusahauyaliyopita. Lakinipia, umojahuohuo, unajuakabisakwambawapowanaumenawanawakeambaowanajuaumuhimuwakusameheyana, umuhimuwakujiunganakupendakuishipamoja. Ndiyomana, umojahuowawakimbiziungependakuhusishwakwenyekujenga Rwandampya, nchiyetu, kwakuunganishawanyarwandawotebilaubaguzi (watwa, wahutunawatutsi) nahatimayekujenganchiyenyeamaninademokrasia.


MSEMAJI WA UMOJA WA WANYARWANDA
DEOGRATIAS KAREGEYA-DENMARK
+4591703492


​
​
​
​
​
​
​
​
​
​
​
COMMUNAUTE DES EXILES RWANDAIS​
​
Brazaville Dar es Salaam Cape town LondonTel.+242069728747 +255755047545 +27795382019 +447413549095
​
​
​
​
​
POUR UN RETOUR DIGNE DES EXILES A LA MERE PATRIE: LE RWANDA​
​
UNE REPONSE A L’OFFRE POLITIQUE DE RETOUR AU RWANDA​
 
[h=1]WITH AN EAGLE'S EYE : Finally, Rwanda is preaching diplomacy[/h]
Eagle%2527s+Eye+-+Mobhare+Matinyi.jpg

IN SUMMARY

  • Anyway, her boss, Kagame, joined in the fracas doing worse than his inexperienced appointee. Again, arrogance was the sickness! YouTube was there to post it for anyone to hear that rubbish!


As we all know, for three months now senior officials of the Rwandan regime have been badmouthing President Jakaya Kikwete as a person and Tanzania as a country simply because he said something they didn’t like.
The row started on May 26 in Addis Ababa in a brainstorming session when Kikwete suggested to the leaders of the African countries faced with rebel fighting – Uganda, Rwanda, and the Democratic Republic of the Congo – to hold talks with their enemies. The UN Secretary General, Ban Ki-Moon, was a witness.
Ugandan President Yoweri Museveni responded respectfully, but without any commitment, while Rwandan President Paul Kagame remained speechless. The DRC leader, President Joseph Kabila, agreed and things moved forward. No one was coerced into endorsing that advice.
Suddenly after the meeting, Rwandan Foreign minister Louise Mushikiwabo launched a tirade, insulting Kikwete and telling him to apologise. She said quite a lot, and clearly demonstrated the lack of diplomatic acumen that a foreign minister is expected to marshal.
Probably, Mushikiwabo wanted to appear tough, but actually (excuse my language) ended up looking stubborn and amateurish. Come on, if a head of state cannot insult another head of state, how can a mere minister dare to do so?
Anyway, her boss, Kagame, joined in the fracas doing worse than his inexperienced appointee. Again, arrogance was the sickness! YouTube was there to post it for anyone to hear that rubbish!
The group that Kikwete was referring to with regards to Rwanda is the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), a claimed ethnic Hutu militia force linked to the 1994 genocide. Rwanda has failed to wipe out this bush group for 19 years now, hence, Kikwete’s advice.
Anyway, fast forward to July 25, Kikwete is now in Kagera, the region that, frankly, is a second home to Rwandans on this earth. President Kikwete, as the Commander-in-Chief, while attending a Heroes Day ceremony, assured Tanzanians that our troops are ready to defend the country in case of any challenge. He did not mention any potential aggressor.
However, the press and Rwandan officials, and Malawians as well, made it a big deal twisting the otherwise very usual statement into a severe warning. Let us be serious, did they want the Commander-in-Chief of one of the most successful militaries in Africa, himself a retired military officer, to say the opposite?
Secondly, Kikwete, after hearing of the plight of Tanzanians living in the northwestern part of Tanzania, ordered all undocumented immigrants to get out of Tanzania within two weeks. Remember, according to our law, being an illegal immigrant is a crime.
Kikwete issued that order because he was tired of hearing that Tanzanians in that area live under the mercy of armed thugs from the neighbouring countries that we have been helping to stabilise for decades. That part of Tanzania is awash with small firearms from Uganda, Rwanda, Burundi, and the DRC and they are spreading everywhere killing innocent Tanzanians.
Kikwete’s order was meant to secure the area and make it easy for security organs to fulfil the mission. He did not aim at any specific populace as Rwandan officials now claim that Tanzania is expelling Rwandans as retaliation.
Retaliation? For what? Kikwete is on the record on July 31 as having said that although Tanzania is shocked with how Rwanda has chosen to behave, the country harbours no ill intent against its neighbour.
As we speak, several thousand Rwandans who were living illegally in Tanzania have already crossed border back to their country of origin. What is wrong with that?
Now, suddenly, the “tough” Mushikiwabo is complaining why Tanzania didn’t consult Rwanda through diplomatic channels. She even added that since the two countries belong to the East African Community (EAC), then this matter should have been handled differently.
Now, abruptly, diplomacy exists? Oh! And even the EAC exists as well! Gosh! We thought the two did not exist that is why Kagame and Mushikiwabo had to say what they said against Tanzania and Kikwete!
It must be known that, Tanzania is not expelling Rwandans; Tanzania is only allowing undocumented immigrants, not only Africans, but everybody to immediately return to their home countries without facing any trial. Nothing more!
Any other suggestion that Tanzania is punishing Rwanda is unfortunate, and so is the thinking that Tanzania was readying itself for military action against one or two smaller countries.
I think Rwandan officials need to swallow their pride and respect Tanzanians for what we have done for them in the last fifty years, a reason why many Rwandans are living in Tanzania today.
We all know why Rwanda is angry at Tanzania, and Kikwete’s advice is not the real reason. But anyway, it is good that Rwandan officials are now preaching diplomacy!



Back to The Citizen: WITH AN EAGLE'S EYE : Finally, Rwanda is preaching diplomacy

WITH AN EAGLE'S EYE : Finally, Rwanda is preaching diplomacy - National - thecitizen.co.tz


 
Good to know,ila brigade ya UN sio interahamwe.


Bro! Huyu Niwemugizi anapotamka hivyo kuhusu kaka yake anajua anacho kisema, kwa taarifa yako anao kaka zake ndani ya wapiganaji wa FDRL, na kwa taarifa yako zaidi katika UN brigade ndani ya TZ Bn kati ya wale JW 1000 arround 100 of them are FDRL soldiers, wamevalishwa magwanda ya JW na ndio wanatumika as guides, as scouts and other activities zinazo hitaji mtu anaye fahamu vizuri terrain. Hii ni stratergy nzuri iriyo tumiwa na TZ iri kuweza kuingia Congo na kuvinjari ndani ya Misiti mizito ya Congo bila kupotea na kupoteana. Bira hii mbinu nakuhakikishia hakuna Kikosi no matter how good or equipped kinaweza kufanya lolote ndani ya Misitu ya Congo. Kwa ufupi ni vikundi viwili tu ndivyo vyenye uzoefu na uwezo wa kuweza ku survive in those jungle (FDRL na M23) hata Jeshi la Congo (serikali) hupoteana na kupigwa kama vipofu. Tanzania ilipewa mbinu hii na Kabila mwenyewe in fact alimtuma Kamanda shupavu sana wa FDRL aitwaye Bigaruka. Huyu jamaa alikuja akawapa TZ kilakitu kuhusiana na terrain, na aliwaonya sana kuwa itakuwa ni vigumu sana kupigana na M23 ndani ya Misitu ya Congo bila kuwa nawatu wanaofahamu eneo hili zivuri. Ndio hapo wakaingia deal ya kuwapatia vijana wa FDRL wapatao 100 for the said reasons. Hizi moves zote wakati zinapangwa na kusukwa kisirisiri, zilikuwa zinamfikia PK baada ya hawa vijana 100 kufika na kupokelewa Bongo, ktk hari ya kutatanisha sana jamaa yule Bigaruka alitoweka ghafla, hekaheka za kumsaka ndani ya TZ ziligonga ukuta, inasemekana PK alikuja kumchukua mwenyewe akamtoa ndani ya safe house moja mjini Dar hadi Kigali. Jamaa kuingia Kigali hakuamini macho yake akajua mambo yote kwisha akamwaga mcele wote, hapo ndipo chuki na uhasama vikaalipuka. JK arikasirika saana, kwa hako ka mchezo PK nae arikasirika saana kutokana na kitendo cha JK kushirikiana hawa jamaa. lakini alie kasirika saana alikuwa mchungaji Mtikira kwani huyu Bwana Bigaruka alikuwa mtu wa karibu sana wa Mtikira kuna tetesi kuwa anaweza kuwa Binamu yake au Shemeji yake, Maranying sana Bigaruka amekuwa akiingia TZ kwa shughuri zake Binafsi akitokea kwenye Misitu ya Congo kila mara alikuwa akifikia kwa Mch.Mtikira, so aliposikia amepotea. Alitukana saana, alitukana mpaka akawa kama kichaa, alitia chumvi na kufoka utadhani amepagawa, alichochea kila aina ya sumu, naamini kama angekuwa Raisi wa TZ angekuwa ameshaivamia Rwanda siku nyingi. Article yake hiyo yenye matusi imo humuhumu ndani sikumbuki ni wapi, anayetaka anaweza kuitafuta
 
Hapo sasa ndio maana wengine tukaingiwa na wasiwasi kuwa huenda zoezi hilo likawa la unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za binadamu. Naona wanyarwanda wanakimbia tu pasipo kujua ni wakimbizi, sio wakimbizi, ukionekana tu una ka pua kembamba tayari unaishi kwa mashaka, Watendaji wengine wametumia fursa hiyo kuwanyanganya watu hawa mifugo yao na mali.

Kuhusu waliozaliwa Tanzania kama ni raia au sio raia, kutokana na kutokuwepo kwa vitambulisho vya utaifa, mpaka leo hii, vyeti vya kuzaliwa bado vinatumika kama ndio vitambulisho vya uraia.
Kwa mtu mwenye cheti kinachoonyesha kuwa amezaliwa Hospitali ya Karagwe mkoani kagera, utatumia kigezo gani kumuambia kuwa sio raia?

Mkuu embu katafute daftari lako la Form one kisha fungua ile topic inayoitwa CITIZENSHIP harafu soma Types za Citizenship. Kila la heri
 
ndugu zako bado wanaishi maporini na next generation yao bado wanawalisha hiyo sumu yako unayoileta humu JF,theres still hope though.

Na ww unahusika na fukuza fukuza hii maana wote watakaofanania lazima waende kwao sio kuleta upuuzi hapa kwenye forum ya watz i mean pure tzs not wakuchovya kama ww!!!kwikwikwiii
 
Back
Top Bottom