Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,846
- 26,350
KK amekuwa akifuatiliwa nyendo zake muda mrefu sana na wazungu wanafahamu A - Z yake yaani hoteli gani huwa anafikia kulala, marafiki gani anakutana nao akiwa jijini London na kwa ujumla mizunguko yake yote yaani hio ni tokea mwaka 2008.
Mimi nimeishi London, ni jiji la hatari sana lakini kama wewe una connections fulani kwenye serikali yoyote ile basi data zako zinahifadhiwa tangu uingine Airport - watu wa uhamiaji si wanaangalia pasi yako bwana!
PK alimteua KK kwa kuwa anafahamu uwezo wa huyu jamaa katika shughuli za kijasusi na dirt tricks zote hasa kuhusishwa kwake na jaribio la kumuua yule jamaa mwingine kule Johanesburg.
KK ni super agent ndani ya inner circle ya PK lakini kwa kuwa amekuwa anaingia London na kutoka, jamaa wa Scotland Yard walikuwa wmejipanga kwa muda mrefu.
Kukamatwa kwake hakukuwa kama anavyokamatwa mwizi wa kuku au mhalifu wa kawaida bali kulikuwa na mazungumzo kwenye simu akini tayari akiwa amezungukwa na alipewa muda wa kuoga na kuvaa uzuri tayari kukaa rumande ambako nako anapatiwa mahitaji yote pamoja na kuwasiliana na maofisa wa ubalozi wa Rwanda.