Rwandan spy chief Karenzi Karake arrested in London

Rwandan spy chief Karenzi Karake arrested in London

Ndiyo baadhi ya idara za Usalama wa Taifa za bara la Afrika zilivyo hawafanyi uchambuzi wa taarifa mbalimbali kwa kina ziwe ama za kimataifa au kitaifa. Jambo kubwa wanalolizingatia maofisa wa Usalama ni kuwakwaza wapinzani wa mabosi wao wa kisiasa kwa kila mbinu za rafu mbaya.

Maana ikiwa Rais wa zamani wa Chile aliwahi kukamatwa jijini London mwaka 1998 ''General Augusto Pinochet, the former Chilean dictator who presided over a 17-year reign of terror and ordered foreign assassinations, was arrested at a London hospital on Friday night by police acting on a request from Spain'' Pinochet arrested in London | World news | The Guardian

Sasa huyu General Emmanuel Karenzi Kareka atakwepa vipi kutiwa ndani kwa tuhuma kwani ni mmoja wa watu wasio na uweledi wa dhana ya Usalama : Karake was appointed deputy commander of the African Union peacekeeping force in Darfur, Sudan in August 2007, and in January 2008 became deputy of the UN mission in Darfur. He left this command in April 2009.[SUP][2][/SUP] In February 2008 a Spanish judge indicted Karake, alleging that when he was Rwanda's intelligence chief between 1994 and 1997 he was responsible for a series of political assassinations and massacres. Human Rights Watch claimed that forces under his command had killed civilians in 2000 while fighting Ugandan troops in the Congolese town of Kisangani.[SUP][3][/SUP] The United Nations was embarrassed by the allegations of earlier human rights abuses, and agreed to extend Karake's tenure beyond its expiry in October 2008 only after pressure from the United States and the United Kingdom, and when Rwandan President Paul Kagame threatened to withdraw all Rwandan troops from Darfur if Karake was fired.[SUP][2][/SUP] General Karake leaving Darfur mission https://en.wikipedia.org/wiki/Emmanuel_Karenzi_Karake
.
 
Show za kina Jmali hizi na European ------ wasioelewa kitu...atatoka soon.
 
Huyu karake alijisahau vipi hata cjaelewa jasusi unakamatwa ki-ndezi hivo.
 
Eti kuwanyima haki waathirika wa mauaji ya mwaka 1994.halafu wakishawanyima haki watanufaika na nini hao nchi za europe? Waziri kiazi kweli huyu. Unataka kufananisha ulaya na rwanda. Tofauti yake ni sawa na usiku na mchana mama.
Ndugu unategemea huyo atatoa kauli tofauti! Rwanda hakuna waziri mwenye uwezo wakusema tofauti na matakwa ya PK, hapo nimoja ya taarifa kuwa ikajakutokea Rwanda ikatawaliwa na jamiitofauti na pk watakamatwa wengi CC: mchambawima1
 
Last edited by a moderator:
kagame is turning red in anger now! i think his days are numbered and he is loosing the support from his friends in europe....he should know western government do not have permanent friends!!!
WORDS Mkuu..........you have said it all.
 
Huyu jamaa alikuwa anatafutwa muda mrefu hata sijui alipoteaje stepu akaingia nchi za EU. Maana wenzake wote walio kwenye list ya watuhumiwa ambao bado wana serve kwenye serikali ya Kagame hata hawaingii huko EU wala US.

Ndio maana hata Kagame mwenyewe anang'ang'ania madarakani anajua akiachia ngazi na kuwa raia wa kawaida (private citizen) basi na yeye jinamizi linamyemelea kwenda kujibu mashitaka. Kwani ana kesi kule Hispania na kesi nyingine ile ambayo imewekwa pembeni kwa sasa kule France.
 
Kuna huyo bwana anayeitwa PHILIP GOUREVITCH eti anasema The arrest of Gen Karake was equivalent of the heads of the UK's MI6 and US' s CIA being arrested.

Hivi kweli boss wa CIA au MI6 anaweza kukamatwa sawa na Boss wa nchi zetu hizi za ulimwengu wa Tatu. Au uingereza inaweza kumkamata Spy chief wa Russia au China hata kama atakuwa amefanya kosa nakukanyaga London.

Tunazugana tu
 
Mimi n'lidhani kaua mwaka 1994...kumbe ni baada ya mauaji ya kimbari....kumbe ni huu uuaji olela unaoendelea..
Ndiyo baadhi ya idara za Usalama wa Taifa za bara la Afrika zilivyo hawafanyi uchambuzi wa taarifa mbalimbali kwa kina ziwe ama za kimataifa au kitaifa. Jambo kubwa wanalolizingatia maofisa wa Usalama ni kuwakwaza wapinzani wa mabosi wao wa kisiasa kwa kila mbinu za rafu mbaya.

Maana ikiwa Rais wa zamani wa Chile aliwahi kukamatwa jijini London mwaka 1998 ''General Augusto Pinochet, the former Chilean dictator who presided over a 17-year reign of terror and ordered foreign assassinations, was arrested at a London hospital on Friday night by police acting on a request from Spain'' Pinochet arrested in London | World news | The Guardian

Sasa huyu General Emmanuel Karenzi Kareka atakwepa vipi kutiwa ndani kwa tuhuma kwani ni mmoja wa watu wasio na uweledi wa dhana ya Usalama : Karake was appointed deputy commander of the African Union peacekeeping force in Darfur, Sudan in August 2007, and in January 2008 became deputy of the UN mission in Darfur. He left this command in April 2009.[SUP][2][/SUP] In February 2008 a Spanish judge indicted Karake, alleging that when he was Rwanda's intelligence chief between 1994 and 1997 he was responsible for a series of political assassinations and massacres. Human Rights Watch claimed that forces under his command had killed civilians in 2000 while fighting Ugandan troops in the Congolese town of Kisangani.[SUP][3][/SUP] The United Nations was embarrassed by the allegations of earlier human rights abuses, and agreed to extend Karake's tenure beyond its expiry in October 2008 only after pressure from the United States and the United Kingdom, and when Rwandan President Paul Kagame threatened to withdraw all Rwandan troops from Darfur if Karake was fired.[SUP][2][/SUP] General Karake leaving Darfur mission https://en.wikipedia.org/wiki/Emmanuel_Karenzi_Karake
.
 
Baada ya mauaji ya kimbari Rwanda tunayoyafaham (yanayojulikana zaid) kuna mengine yalikuwepo? Hii hatari
 
Nadhani haki inaanza kutendeka sasa, na tunawaomba jumuia za kimataifa zimkamate Paulo kagame kwa kuwa ndie aliyeamuru ndege iliyowabeba rais habyalimana na rais ntadyamila kutunguliwa.Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa mauaji ya kimbali. Kagame ameua wahutu wengi sana na hâta leo bado anawaua na kuwasaka popote pale walipo. Jumuia ya kimataifa ama kwa kufahamu au kwa kuhadaiwa na watutsi imeshindwa kumshughulikia kagame ilhali ndio muhusika mkuu wa mauaji ya kimbali.
 
images
 
Baada ya mauaji ya kimbari Rwanda tunayoyafaham (yanayojulikana zaid) kuna mengine yalikuwepo? Hii hatari

Summary: Mauaji yalianza toka mwaka 1990 ambapo kina kagame walikuwa wanavamia vijiji vya Rwanda na kutarget wahutu, mwaka 1994 wahutu wakalipiza, kagame alipoingia akaendelea tena na mauaji mpaka DRC...na hadi sasa anaendelea kutarget wanyarwanda nchi za nje.
 
Alalaa yaani spy chief ndani ya wavu?? alalaaaa

Mkuu wazungu wajanja sana, walitaka jamaa hawa wajisahau ili waanze kutamba na kuembela nchi za magharibi bila hofu - sasa kwa kuwa wamefanikiwa kumtia mbaroni muhusika mkuu basi huyo ataiwa kibano mpaka aseme kila kitu, sina shaka na mtu aliye piga kombola ndege ya Habyarimana na kuua ma raisi wawili kwa mpigo atajulikana, western Countries have given PK regime enough rope 2 hang ......, I don't think Rwandan Adm. saw it coming!
 
Wishful thinking.
 
Sipendi wazungu wanavyotuburuza sisi waafrika na wala sijapendezwa na ukamataji wa kiongozi wa juu wa nchi ya afrika kama vile kuku. Lakini lazima niwe mkweli nimefurahi huyo spy chief wao kukamatwa, ili nione comments za wanywarwanda wakitoa vitisho na majigambo jinsi walivyo great nation na blah blah nyingine.Na hii ni baada ya wao kujifanya wajuaji/kutujibu vibaya pale tulipowambia waongee na wenzao wahutu.
 
Angekuwa amekamatwa spy chief wa CIA au M16...
Wangeshamchukua mtu wao...
 
Hv tuache unafiki.hao hispania wao ndio nani? Walikuwa wapi wakati wa vita rwanda? Walifanya nini kuzuia massacre rwanda??
Kumkamata huyo kiongozi kuna sema ndio kutatua matatizo yetu?
Je na sisi waafrica tunaweza kuingilia au kumkamata kiongozi mzungu kwa makosa ya uhali wa kivita au uhali wa aina yeyote.
This is non sense. Namshauri kagame asirudi nyuma kwenye hili and he needs to retaliate on this stupid act.
Hata africa tuna heshima na hadhi yetu.
 
Back
Top Bottom