Rwandan media propaganda about "illegal immigrant" sacked from Tz!

Rwandan media propaganda about "illegal immigrant" sacked from Tz!

They came here illegally, they should go to their home. Ok now more than 3000 people moved,how many still living ilegal? Different social evials in kagera associated with people from our neighbour countries living illegally in tanzania.therefore more assesment should be done to explore those still living illigaly and they have to move also.
 
Wahamiaji haramu ni tatizo. Lakini pia humu nahisi kuna watu wapo too extreme!!, hawa si watanzania na naomba wasitumie jamiiforums ku-propagate hate.

Tanzanians are better than that, hawa wanaowatukana watusi in general nadhani either ni mapandikizi au ni wapinzani wa Kagame na wanatumia mwanya huu kuendeleza maovu yao.

Tanzania hatu-support Interahamwe! .. matter of fact I hate Interahamwe. Hatu-support M23 and other proxy forces supported by the Rwandan regime either.

Kwa hiyo kuna watu itabidi waache ujinga wa hate mongering na wawaheshimu wahamiaji haramu kama binadamu. It's a very unfotunate situation but we need to protect our country. It's unfortunate for tutsis not because they're tutsis, but their lifestyle is ecologically not viable na incoherent with the local population. This makes it looks like they are targeted based on their ethnicity, but thats not true at all!! ... and we know some people on both sides will try to divert the truth for their own interest, shame on you!

Njooni legally. And respect us.

wewe ni mmojawapo nini?
mbona unatokwa na povu jingi...warudi kwao hatuwataki watuachie TZ yetu ya amani.
 
umenifurahisha sana jinsi ulivousema ukweli kwa hisia zote hakika wewe ni mzalendo! tofauti na Dr slaa aliyeunga na wauaji wa kinyarwanda na kutusaliti watanzania.
Kijana naona umewakalia kooni hawa wahamiaji haramu wa kitutsi, wamekaribishwa kiungwana kabisa sasa wanataka kugeuza hapa kwao.
 
Back
Top Bottom