Rwandan media propaganda about "illegal immigrant" sacked from Tz!

Rwandan media propaganda about "illegal immigrant" sacked from Tz!

Hao watu wamezoea kuwa wakimbizi-kimbizi tu,
Hata ukiwambia warudi kwao wanaona kama unawaonea.
 
I was so shocked with JK decision.

Ukweli nadhani JK hakujua kama viongozi waandamizi wa serikali kuu mpaka vijiji na wala rushwa, najua wengi watakuwa wameteseka sana tena sana
 
Wakitaka wapeleke hata CNN, ALJAZIRA, BBC na kwingineko wanakokujua sisi tunataka warudi kwao watuachie Tanzania yetu.propaganda za Rwanda tunazijua tokea 1994 wameua wahutu kwa wingi sana then wakakusanya mafuvu ya vichwa wakayaweka kwenye jumba la makumbusho na kualika dunia eti ije iangalie mafuvu ya vichwa vya watusi laki nane.
Of all the people Kagame namshangaa sana anafanya siasa za majitaka lakini hajui kama dunia ya sasa imebadilika sana

Usitumie makalio kufikiri kwani hayana ubongo
 
Umeambiwa Usifanye hiki,
Ukaamua kukaidi, utapigwa tu...
Hamna namna nyingine, Maana
WOTE TUKUBALIANE KWAMBA NCHI
HII TUNAIENDESHA KWA MISINGI
YA KISHERIA.Sasa kama wewe
umekaidi, Hutaki unaona kwamba
ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri
zaidi watakupiga tu.... Mimi
nasema muwapige tu, Kwa sababu
hakuna namna nyingine... Maana
tumechoka.
kama naisikia audio vile,ulirekodi nini?
 
Hivi mtu ana ngombe 200 ana nyumba na shamba . Hivi huyu mtu tutamuita masikini kweli? Hawezi kulipia hati ya ukaazi. Mbona sisi watanzania tukiwa nchi za watu tunalipa visa na vibali vya kuishi. Na tusipokuwa na vibali au vikiisha muda tunajificha . Kwani sisi ni wajinga.
 
Kagame and his cabinet should never cross red lines! Any of them either Kagame himself,his family or his high ranking officials when cross to TZ border should be hit on their heads....these are not human beings let them spread wrong info to the international media but our stand should be the same! After cracking down to illegal immigrants lets hunt legal immigrant till we finish all canibals from Rwanda! we'll wait them in the appropriate place and we'll hit them!
 
kazi nzuri mkuu.

msisahau kusogea na mikoa ya jirani rukwa, tabora , kahama , geita , shinyanga ,mwanza, mara nako huko kuna wanywarwanda wengi sana wamejipenyeza sana.

vilevile mkuu fanyeni mpango huu uwe endelevu
.

asante kwa uzalendo wako.


Mimi ni mmoja wa wanaosimamia zoezi hili...hayo wanayosema hawa Wanyarwanda ni uongo mtupu...mpaka sasa serikali haijaanza kuwatimua wahamiaji haramu, ni woga wao tu huo ndio maana wameanza kuuza ng'ombe maana kwa Kagame hakuna kumiliki ng'ombe zaid ya 10.

Wanatafuta huruma ya kimataifa kuendelea kufaidi rasilimali za Tanzania na kunufaisha nchi yao...ng'ombe waliopo mkoa wa Kagera wanakadiriwa kuwa zaidi ya laki 5, je mkoa mbona hauna hata ghala la ngozi? Ngozi za ng'ombe zinakwenda wapi?

Wananchi katika wilaya za Missenyi na KARAGWE wamekuwa wakinyanyaswa sana na wafugaji hawa, wanaharibu mazao ya wakulima na kuwahonga viongozi wa vijiji ili kupotezea malalamiko ya wakulima masikini wa kitanzania...sasa kibao kimewageukia wanatoa visingizio....hao wanaodai kuwa wana documents halali ni uongo...mtu anamiliki ng'ombe mia mbili alipe permit ya peasant ya alfu 10 hii haikubaliki...waliowapa kwa kudanganya ndio hao wanaowanyang'anya permits hizo...

Mwisho, Wanyarwanda ni ndugu zetu, tunawapenda ila tunawaomba wakija Tanzania wafuate sheria za nchi yetu, hatukatai wageni, tunakataa wageni wezi waporaji wanyonyaji na wababe dhidi ya wenyeji....asanteni
 
Tatizo jingine ni kuwa kwa ujanja wao wengi wameozesha mabinti zao kwa maafisa uhamiaji,nenda mikoa ya mipakani kujua ukweli huu,kuna ofisi moja katika mikoa yenye wanyarwanda wengi wa miaka ya 1950,maofisa uhamiaji wote wake zao ni Wanyarwanda na hata wanao ajiriwa na kuripoti ofisi hiyo wanakirimiwa kwa kutafutiwa mke wa kitusi,sasa hii operation inayokuja itafanikiwa kweli?
 
ASANTE KWA KUTUJUZA UHALISIA:Ina maana cattle product zote zinaenda rwanda tz ni malisho are we nutty?
 
Wahamiaji haramu ni tatizo. Lakini pia humu nahisi kuna watu wapo too extreme!!, hawa si watanzania na naomba wasitumie jamiiforums ku-propagate hate.

Tanzanians are better than that, hawa wanaowatukana watusi in general nadhani either ni mapandikizi au ni wapinzani wa Kagame na wanatumia mwanya huu kuendeleza maovu yao.

Tanzania hatu-support Interahamwe! .. matter of fact I hate Interahamwe. Hatu-support M23 and other proxy forces supported by the Rwandan regime either.

Kwa hiyo kuna watu itabidi waache ujinga wa hate mongering na wawaheshimu wahamiaji haramu kama binadamu. It's a very unfotunate situation but we need to protect our country. It's unfortunate for tutsis not because they're tutsis, but their lifestyle is ecologically not viable na incoherent with the local population. This makes it looks like they are targeted based on their ethnicity, but thats not true at all!! ... and we know some people on both sides will try to divert the truth for their own interest, shame on you!

Njooni legally. And respect us.
 
big up My president.what is east Africa protocol?to allow illegal immigrant in our country?No,lets wake up Tanzanian,when they were discussing about east Africa community,they were targeting our land
 
Asante kwa kutujuza, mpaka sasa wamefika wangapi hao Wanyarwanda ambao inabidi warudi kwao?

ZAIDI YA RAIA 8000 wa uganda, rwanda na burundi washasepa...mpaka sasa serikali haijaingia kuwatimua, ni woga wao kwa kuwa wanajijua kuwa waliishi kiharamu ndio maana wanakimbia. taarifa zinasema kwamba, raia wa Rwanda ndio wanaolalamika zaidi kwani rwanda hakuruhusiwi kumiliki ng,ombe zaidi ya 10 kwa familia moja hivyo wengine wameanza kuelekea uganda.

pia kuna taarifa kuwa wengine wameanza kusogea katikati ya nchi mikoa ya tabora na mbeya, wanachofanya ni kuwapa watanzania mifugo waiswage kama vile ni ya kwao wao wanapanda magari na kusogea mbele...walioko tabora na mbeya mkae mkao wa kuwapokea wafugaji wa kinyarwanda. KAGERA BILA WAHAMIAJI HARAMU INAWEZEKANA
 
How can you say that? Are you sure hakuna Wahaya na Wanyambo kule kwao? Ebu jaribu kuvaa viatu vyao kabla hujaanza kutoa pongezi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kama kna wa tz wapo rwanda kinyume cha sherianao watimuliwe warud kwao hku wajenge taifa
 
The very tiresome thread, the nonsense one lucking supotive evidence. There is no reality in this.
 
nimegundua sisi watanzania ni wabaguzi sana ila ni waoga.
pia hii jumuiya ya afrika mashariki ni jina tu itavunjika tu. kutakuwa na K3

Uoga uko wapi hapo? Ubaguzi uko wapi hapo? We wajifanya mtanzania wakati muhamíaji halamu. Hata watz walioko nje kinyume cha sheria "wapigwe tu"
 
Wapuuzi kweli juzijuzi tu walikuwa wanatutukana na kumvua nguo Rais wetu hadharani, ila leo ndio wamekumbuka kuwa sisi ni majirani na ndugu. All Rwandans tupa kule

When you look at the way people are treated sometimes you wonder whether it’s being done by our fellow Africans, let alone East Africans. My neighbour with whom we have been sharing everything is the one who stormed my home at night with other locals, destroyed my house, took away my cattle and threatened to kill us if we remained in the area,” Nshimiyimana said.
watanzania hawako hivyo!! I can't imagine Mnyarwanda sharing everything with other people ambao sio wanyarwanda. kama walipiga nyumba yako mawe basi walikuchoka!!
 
Back
Top Bottom