Rwandan boys

huyo jamaa wa pili na wanne ni mmoja.mwanamuziki wa injili alikua best friend na rais wake,mara akatoa wimbo wa kusikitika watu wanauliwa sijui nini kulalamikia uongozi kwao huko,kaundiwa zengwe mpaka leo ananyea debe.
 
Wanawake wa bongo wanaweza kuolewa na wanaume wa bongo au vikongwe wazungu...

Sidhani kama kuna mwanaume mwingine anaweza kuvumilia mapuuza yao
 
Vituko vya wadada wa kitanzania ni wanaume wa tanzania pekee wanaoweza kuvimudu.

Na hata fujo zetu wanaume wa kitanzania ni wadada wa kitanzania tu wanaweza kuzimudu.

They ain't going nowhere! We are a match made in heaven.

Mi nawaelewa kinoma dada zangu wa kibongo!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Mbona hao hawajanizidi kitu sema tuu ni ukosefu wa hela
So kuvaa modal ndio hela mkuu kama vp njoo jeans junction kariakoo ukiwa na real Id yako hii tukupe ofa juu mpaka chini pia tukupige picha uwakilishe tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…