RwandaAir kupigwa bei

RwandaAir kupigwa bei

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,313
Serikali ya Rwanda inajadiliana na Qatar Airways kuwauzia hisa 60% ikiwemo kuwauzia na uwanja wa ndege.

Hii imekuwa faida kwa Qatar kwani Kuna njia hawaruhusiwi kupita Ila RwandaAir wanaenda hivyo kusaidia kupanua soko la Qatar.
 
tupe chanzo cha hiyo taarifa ulipoitoa tusome zaidi.
 
Baada ya kuona biashara ya ndege ngumu, Air Rwanda imefanya maamuzi magumu. Air Tanzania itaendelea kuuunguza pesa za walipa kodi hewani.
 
Si tuliambiwa wana operate kwa faida kubwa?
Serikali ya Rwanda inajadiliana na Qatar Airways kuwauzia hisa 60% ikiwemo kuwauzia na uwanja wa ndege.

Hii imekuwa faida kwa Qatar kwani Kuna njia hawaruhusiwi kupita Ila RwandaAir wanaenda hivyo kusaidia kupanua soko la Qatar.

Jr[emoji769]
 
ni kwamba qatar watanunua 49% shares kwenye Rwandair

Na watanunua 60% ownership ya uwanja wa ndege

Img-1581061001044.jpg
 
Serikali ya Rwanda inajadiliana na Qatar Airways kuwauzia hisa 60% ikiwemo kuwauzia na uwanja wa ndege.

Hii imekuwa faida kwa Qatar kwani Kuna njia hawaruhusiwi kupita Ila RwandaAir wanaenda hivyo kusaidia kupanua soko la Qatar.
Jamani hao si majirani zetu? Wangeongea tu na ATCL, wangeweza nunua hilo shirika.
 
Serikali ya Rwanda inajadiliana na Qatar Airways kuwauzia hisa 60% ikiwemo kuwauzia na uwanja wa ndege.

Hii imekuwa faida kwa Qatar kwani Kuna njia hawaruhusiwi kupita Ila RwandaAir wanaenda hivyo kusaidia kupanua soko la Qatar.
Na sisi utasikia tumeiga na tunauza atcl
 
Ushaambiwa kagame ndio mshauri wa Jiwe.Anakushauri kufufua atcl halaf yy anauza ya kwake kwa mabeberu waendeshe ila ww ukomae mwenyewe
Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!! Atajifanya kupika data, lakini siku itafika tu yatamshinda!!
 
Back
Top Bottom