Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
"Rwanda ni marafiki zetu kweri-kweri"
Unazidi kuthibitisha kwamba wewe ni popoma kutoka chuo cha kata SAUT hahahahahah
Acha kudharau taasisi zilizowapa watu elimu, heshimu mkuu.Unazidi kuthibitisha kwamba wewe ni popoma kutoka chuo cha kata SAUT hahahahahah
wanamtumiajumuiya ya kimataifa hua inampa 'free pass' huyo jamaa hata sijui kwanini, anaua sana wapinzani wake huku mabeberu wakimchekea tu.
Mnyamulenge ktk ubora wako,Wakati ukikimbilia kuwashwawashwa na mambo ya ndani ya Rwanda tunaomba pia utuhakikishie kama hata nchi yako ya Tanzania nayo haipiki data zake katika mambo yake mbalimbali ya Kimaendeleo. Ukiachia mbali hao Wazungu ambao hawajaanza Chuki zao na Rais Kagame leo ila kwa wenye Akili tunatambua kuwa Rwanda ya sasa chini ya Kagame imepiga hatua nyingi ukilinganisha na ilivyokuwa japo nakiri kuwa bado kuna Changamoto kadhaa za Kidemokrasia na Kisiasa ila Rais Kagame amejitahidi na yapo Maendeleo kadhaa utayakuta nchini Rwanda ambayo ilichafuka Kimapigano ( Mauaji ya Halaiki ) zaidi ya mara mbili katika Historia ambayo huwezi kuyakuta nchini Tanzania ambako wanajinasibu kuwa ni Baba wa Amani Afrika kama siyo duniani. Halafu ni Upumbavu uliopitiliza kila mara Kuhusisha Mapungufu ya Rais JPM Kiuongozi na Kisiasa na Urafiki wake na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Kuna Watu mnajiita Wasomi lakini arguments zenu haziakisi hivyo na si ajabu ndiyo maana hata Elimu ya nchini mwenu ina Changamoto Kubwa kama siyo nyingi.
Siamini kama kiusalama hiyo shithole country inaweza kutuingilia kiasi hicho hizo ni fikra zetu tu ambazo haziwezi kua harisi yaani m23 kuingilia mfumo wetu wa kiusalamqanaiga vitu vingi sana kutoka kwa huyo jamaa, sijui hata usalama wetu ukoje kwa sababu kipindi cha JK ambapo tulikua tunawabana kiasi lakini bado kuna majasusi wa kinyarwanda walikua wanapenya hadi sehemu nyeti kabisa za nchi tena kwa muda mrefu, sasa hivi leo inawezekana hata hawajifichi wanarandaranda tu kwenye korido za jumba jeupe.
Labda yanamwongoza mamako kwa sababu babako kashindwa.Uko sahihi kabisa kwamba mawazo ya Kagame ndiyo yanayoongoza hata nchi yetu.
Wapotoshaji kama nyie hasa katika maswala ya usalama wa taifa letu mwafaa mpigwe mpaka mautianaiga vitu vingi sana kutoka kwa huyo jamaa, sijui hata usalama wetu ukoje kwa sababu kipindi cha JK ambapo tulikua tunawabana kiasi lakini bado kuna majasusi wa kinyarwanda walikua wanapenya hadi sehemu nyeti kabisa za nchi tena kwa muda mrefu, sasa hivi leo inawezekana hata hawajifichi wanarandaranda tu kwenye korido za jumba jeupe.
Wewe ndo mpumbavu unayejaribu kupotosha kisa uchademawewe sio mtanzania, hatuna wapumbavu kama wewe
anaiga vitu vingi sana kutoka kwa huyo jamaa, sijui hata usalama wetu ukoje kwa sababu kipindi cha JK ambapo tulikua tunawabana kiasi lakini bado kuna majasusi wa kinyarwanda walikua wanapenya hadi sehemu nyeti kabisa za nchi tena kwa muda mrefu, sasa hivi leo inawezekana hata hawajifichi wanarandaranda tu kwenye korido za jumba jeupe.
Watu wanaachaje kumhusisha na Kagame wakati kila anachofanya kinafanana? Kumbuka ziara yake ya kwanza alipoingia madarakani alienda wapi? Watanzania siyo wajinga, hatukuwahi kuwa na mambo ya kishenzi ya kutekana, kuua wapinzani, kunyamazisha vyombo vya habari mpaka alipoingia huyu mhutu.