James Kabarege na team ya Rwanda wako Zanzibar siku 5 kabla ya Mapinduzi day

kibarango

Senior Member
Sep 6, 2014
146
308
Leo nimemuona Rais wa Rwanda akiwasili Mapinduzi Day Zanzibar. Siku tano nyuma kwenye match ya football niliona Waziri na Mkuu wa majeshi msitafu wa Rwanda Bw James akiwa uwanjani Amani Stadium akifuatilia Match ya APR Vs Mlandege na ile ya Simba Vs Singida BS.

Kunusa nusa nikabaini Rwanda tofauti na Maazimisho ya Mapinduzi walikua na diplomatic mission fulani Tanzania.

Nikahusanisha na Tamko kali la Rais wa Burundi la Mwaka mpya dhidi ya Rwanda. Nikahusanisha tena na tamko kali la Rais Tchisekedi wa DRC kuwa ataivamia Rwanda. Aidha jana Burundi imefunga mipaka yake yote ya ardhini na Rwanda.

Nahisi Kagame anampika Mama Samia Suluhu amsaidie kupoza joto maana ni kama Tchisekedi na Ndaishimiye wamemkalia kubaya.

Nikifuatilia issue za DRC naona jama wamenunua vinu vya kijeshi vya hatari na nikama wanajiandaa na kuipiga Kigali.

Odd bado ni ngumu sana.
I. Kwanini Burundi na DRC hazikutuma high level representative kwenye Mapinduzi.

II. JWTZ ni kati ya majeshi matatu ya SADC (South Africa, Tanzania na Malawi) aliozimiwa kuwatwanga waasi wa M23 ambao ni mkono wa Kagame huko DRC.

III. Wakati SANDF jeshi la South Africa tayari wamefika sijaona chochote kwa JWT na MDF.

Okay

Good night wazee.
Kibarongo
Toka Dododma
12.01.2024

MapinduI Matukufu yadumu.
 
Anatapa tapa kama digi digi
 
Kuhusu kutuma maspy watume tu hata laki mbili ila tambua Rwanda kwetu mnyonge tu na wala hatumuwazii,, na hata wao wenyewe wanalitambua hilo, watawakoroga hao hao akina Congo na mwenzie Burundi ila sio bongo....
 
Back
Top Bottom