Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Good kwa ajili ya kuepuka sampuli za kiboko ya wachawi na watu kutegea miujiza badala ya kaziSerikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Usikute TEC ya kule imetoa WARAKA na PK hakuupendaSafi sana serikali ya Kagame government!!
Kagame msabato. Wasabato na wakatoliki ni maji na mafuta
Wakati walokole wanafungiwa sisi waumini wa "cult" tulipiga vigelegele, kumbe sisi ndio wachafu kuliko hao walokole, sema tu jamaa alikuwa anatuvutia kasi.Aisee
Roman CatholicHv Kagame huwa ni dini gani? Au ni atheist yule.
Naungamkono ...mimi natamani serikali zipige marufuku madhehebu ya dini zote tubaki na ukristo na uislamu usio wa madhebebu hivyo kuwe na nyumba chache za ibada zilizo hulia ambazo zitajengwa na serikali moja kila wilaya basi pia ipige marufuku shule za elimu dunia kuwa za kidini yaani kama mkristo akifungua shule hiyo shule iweshule tu siyo kwa mlengo wa dini ya mmiliki au dini ya dhehebu felani na kwa waislamu hivyo hivyo kwa sasa hadi fremason watafungua shule zao ya primary na secondary na kuzidi kuligawa taifa vibaya kupitia roho za watoto toka wadogo ....kumbukeni maandiko yanayo sema ufalme uliofarakana hauta simama .. serikali ipige marufuku vipindi na masomo ya dini kwenye shule zote za serikali na binafsi watoto wasomeshwe dini kwenye shule zisizo toa elimu.lasmi ya duniaSerikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Paulo - inaonesha kama sio mkristo kwa sasa, basi alilelewa au alipitia huko!Hv Kagame huwa ni dini gani? Au ni atheist yule.
sio atheist ila dini kwa sasa zinatumika sana na watu kuendeleza ushetani waoHv Kagame huwa ni dini gani? Au ni atheist yule.