Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,040
- 16,923
Serikali ya Rwanda imenyooka sana kuhusu hili suala lakini sijui kwanini watu wanashindwa kuelewa.
itakatwa vipande km south sudan na Eritrea na kuitwa Republic of Kivu.Kwahiyo Congo inakiri imeshindwa na raia wake yenyewe? Hii nchi inaweza kujitawala kweli?
Berlin conference in modernity.Yao wanataka kugawa Kongo.
Ila ulikuwa mpango wa USA miaka ya 90. Na hicho ndicho kisababishi cha Second congo war. Baada ya kabila kugoma makubaliano ya kugawa congo. USA walimsupport Pk na kurudi drc kuanzisha vita ya pili , walikamata congo yote , ponea ya wacongo ilikuwa ni Angola chini ya general Joao de Matos.
Walikufa watu zaidi ya 5 million kule.
Tafuta "UN mapping report" ya congo utaona.
Au Kagame awakatie kipande cha Ardhi ya Rwanda fldr.Kwanini waasi wa FLDR wasikae mezani na Kagame, ili waingizwe ndani ya Jeshi la Rwanda?. Halafu Tishekedi akaendelea kuwasafisha M23?, Kwa kupata msaada kutoka Tz?.
Hao wanaotaka kupewa kipande cha Ardhi wadibitiwe kwanza. Jirani anapojengea bikini ndani ya uzio........mimi naziombea pande zinazohasimiana ziweke Solana chini na kuishi kwa AMANI.
Kuna kipindi wakati Kikwete alipokuwa rais alitoa hili wazo. Kagame alimcharukia kidogo aanzishe vita na Tanzania.Kwanini waasi wa FLDR wasikae mezani na Kagame, ili waingizwe ndani ya Jeshi la Rwanda?. Halafu Tishekedi akaendelea kuwasafisha M23?, Kwa kupata msaada kutoka Tz?.
Mambo ya ndani ya Congo Rwanda inamhusu nini wewe libavicha?Kumbuka Mtutsi yeyote akiwa DRC anaitwa Mnyarwanda na hilo nimelishuhudia Lumumbashi.
Rwanda wasikubali kuona tena Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi yatokee tena na sijui hizi chuki dhidi ya Watutsi sijui ni nani anayezisambaza.
Look ni kama Massai tukianza kuwaua Massai wa Tanzania unafikiri Massai wa Kenya watakaa watuangalie? Never!
Mimi nawasapoti sana Watutsi waliidhibiti GENOCIDE wakaijenga Nchi ya Rwanda na sasa hata Mgao wa Umeme hawana.
Kule atakutana na tpdfKagame kayanyoosha Magaidi Msumbiji ndio itakuja hawa Wakongo wanaokesha Bar.
Sasa kwanini unataka waasi wa m23 waingizwe jeshi la congo kwanini kagame asiwachukue awaingize kwenye jeshi lake?FLDR wanafalsafa moja tu ambayo ni kuwamaliza Watutsi Rwanda rejea 1994 wanataka KUMALIZA KAZI waliyoianza mwaka 1994 na bado wanatembea na vile vitabu vya HUTU COMMANDMENTS.
Kwa upande mwingine M23 wanataka Serikali ya DRC irudi kwenye Meza ya mazungumzo kuliko kukodi Majeshi na kulalamika na kulalamika tena na tena na kuendelea kulalamika.
HUWEZ kukaa Kwa amani na mtusi..mimi naziombea pande zinazohasimiana ziweke Solana chini na kuishi kwa AMANI.
Unauhakika kule msumbiji yupo peke yake????? Take it from me. I went there several times. Rdf kule msumbiji eneo la waasi kapewa kufanya majukumu ya kipolisi tuu. Mengine ni kujioosha tuu mitandaoniKagame kayanyoosha Magaidi Msumbiji ndio itakuja hawa Wakongo wanaokesha Bar.
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23.
Kwenye Barua yake Rwanda inasema Jeshi Hilo sio neutral Bali ni Vikosi vya kwenda akusaidoa DRC na Burundi kufanikisha malengo Yao ya Kuivamia Rwanda na pia Kuwafuta Wakonhomani wenye Asili ya Kituwi.
View attachment 2906485
Ikumbukwe wiki za karibuni M23 imeongeza harakati zake za Vita Kwa kutumia silaha Kali.
View attachment 2906496View attachment 2906497
Swali
Nani alimpa Kagame kazi ya kuwalinda Watutsi wa DRC? Je hao ni Raia wa Rwanda au wa DRC?
Pili nini Lengo la Kagame kuwasaidia Watutsi wa DRC?
My Take
Bila kubadili Utawala pale Kigali hakuna amani itapatika huko Eastern DRC.👇👇
View: https://twitter.com/NewTimesRwanda/status/1758477584118026499?t=IXDjigoBEs8ynkhK3utFIw&s=19
Yaani fisi unampa nafasi ya kulinda butcher?Tishekedi aruhusu Jeshi la Rwanda limsaidie kuwasafisha Waasi wa FLDR halafu akae mezani na M23 ili waingizwe kwenye Jeshi la DRC lakini kukimbilia kuomba Msaada wa SADC bila ku deal na MZIZI WA FITINA ni kupoteza muda tu.
Anajua vizuri lakini nae pia ni mtusi kwahio yanayofanywa na watusi wenzie hata kama niyauovu kwake nisawa.Yaani fisi unampa nafasi ya kulinda butcher?
Eti Kagame apewe jukumu la kuwaondoa M23, how?
Hivi wewe hujui M23 ni jeshi la Rwanda?
Hii ilikuwa ni baada ya mivutano ya muda mrefu huki wakigoma kulegeza masharti yasiyotekelezeka.M23 wamekaa hotelini Kinshasa miezi minne kuitikia with wa serikali ya Congo kufanya majadiliano hakuna kiongozi aliyefika hata kuwasalimia ikabidi wajiondokee na madeni ya hotelini wakalipa wenyewe.
Ikatwe tuu maana imekosa viongozi wa kuisimamia.itakatwa vipande km south sudan na Eritrea na kuitwa Republic of Kivu.
Nakushauri fanya utafiti wa kina kuhusu FDLR wanaopigana huko Eastern DRC ujiridhishe wanapigania nini.Hii Propaganda imechokwa. Fdlr waliopigana 1994 na kuishi maporini miaka na miaka ni wazee hawana nguvu za kupigana tena.Hao Fdlr wa sasa ni wahutu vijana waliozaliwa Congo,hawahusiki na yaliyotokea 1994 na ni haki yao kurudi Rwanda.Safari hii watarudi kwa mtutu kwa msaada wa ndugu zetu waha.
Unadhani ni rahisi hivyo Tanzania kutangaza full scale war huko Congo?Ikiwa Congo Dr itamegwa na Kivu ikajitenga basi ushawishi kijeshi na kiuchumi wa Tanzania hapa East Africa utapungua kama sio kuisha kabisa. Natamani kumwona Samia ana declare FULL SCALE war na mamluki wa RDF waliopo Congo DR.
Mkuu unaamini maelezo ya Rwanda! wale hawaaminiki nchi ya Rwanda inajengwa na madini ya Congo . Pia tambua Congo ni nchi iliyoshindwa jitawala ndio maana ni vigumu kuwazuia vikundi vya waasi na vipo vingiSerikali ya Rwanda imenyooka sana kuhusu hili suala lakini sijui kwanini watu wanashindwa kuelewa. View attachment 2908590View attachment 2908591