Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

Unajua m23 agenda yao haina maana hata kidogo.
Kwa kawaida kwanza serikali uwezi kufanya maongezi na waasi wanaosaportiwa na nchi jirani. Maana ndani ya m23 kuwa RDF wengi sana , wachache sana ni wacongo. Wanavaa uniform za RDF, helmet za RDF pamoja na Vest za RDF. Kuna kipindi vilikamwatwa mpaka viatu vya jeshi vimeandikwa RDF.
Sasa kwa kawaida serikali uwezi ukafanya maongezi na watu kama hao.

Afu pia wao wanadai makubaliano yawe kuwe na vikosi viwili nchi mzima ya Kongo. Kimoja kiwe cha kwao cha watusti na kingine cha wakongo. Tena wanataka wao ndio washike east drc eti kuwarinda watusti. Ni madai ya kijinga.
Uko sahihi kabisa
 
Tishekedi aruhusu Jeshi la Rwanda limsaidie kuwasafisha Waasi wa FLDR halafu akae mezani na M23 ili waingizwe kwenye Jeshi la DRC lakini kukimbilia kuomba Msaada wa SADC bila ku deal na MZIZI WA FITINA ni kupoteza muda tu.
Kwanini waasi wa FLDR wasikae mezani na Kagame, ili waingizwe ndani ya Jeshi la Rwanda?. Halafu Tishekedi akaendelea kuwasafisha M23?, Kwa kupata msaada kutoka Tz?.
 
Kwanini waasi wa FLDR wasikae mezani na Kagame, ili waingizwe ndani ya Jeshi la Rwanda?. Halafu Tishekedi akaendelea kuwasafisha M23?, Kwa kupata msaada kutoka Tz?.
FLDR wanafalsafa moja tu ambayo ni kuwamaliza Watutsi Rwanda rejea 1994 wanataka KUMALIZA KAZI waliyoianza mwaka 1994 na bado wanatembea na vile vitabu vya HUTU COMMANDMENTS.

Kwa upande mwingine M23 wanataka Serikali ya DRC irudi kwenye Meza ya mazungumzo kuliko kukodi Majeshi na kulalamika na kulalamika tena na tena na kuendelea kulalamika.
 
FLDR wanafalsafa moja tu ambayo ni kuwamaliza Watutsi Rwanda rejea 1994 wanataka KUMALIZA KAZI waliyoianza mwaka 1994 na bado wanatembea na vile vitabu vya HUTU COMMANDMENTS.
Wapi wamesema hayo?. Nyie watusi mnashida Sana, Iko siku mtataka muichukue na Ngara iende huko kwenu. Ningekua na Mamlaka ningewafadhir wahutu nikawaongezea nguvu JKT wajiunge nao ili wamsumbue Kagame, ndio angewatoa hao M23 huko Congo ili waje wamsaidie kuilinda Rwanda. Tena wangewekwa tu Kagera &Manyovu huko.
 
Sadc wana historia ya ukombozi kusini mwa Africa. Hao ndio wakombozi halisi wa bara la Africa na wana uchungu na bara hili. Kagame akae kwa kutulia, "when men at work"🤔
Wamemkomboa nani wakati wao wenyewe wamekombolewa Hahaha Angola ilikombolewa na Cuba Msumbiji nao tuliwakomboa Malawi ndio hohehahe kabisa nani mwingine Zimbabwe tulimsaidia Zambia ndio hovyo kabisa.

Na Afrika Kusini Jeshi limekuwa la Kisela wanaenda Kongo bila Air Cover Kwi kwi kwi.

SADC hawawezi kusimama na EAC hata kidogo na sasa hivi tuna Somalia ndani 😆
 
FLDR wanafalsafa moja tu ambayo ni kuwamaliza Watutsi Rwanda rejea 1994 wanataka KUMALIZA KAZI waliyoianza mwaka 1994 na bado wanatembea na vile vitabu vya HUTU COMMANDMENTS.

Kwa upande mwingine M23 wanataka Serikali ya DRC irudi kwenye Meza ya mazungumzo kuliko kukodi Majeshi na kulalamika na kulalamika tena na tena na kuendelea kulalamika.
Acha kupotosha mada, hakuna ugomvi kati ya FLDR na m23 bali ni vita kati ya m23 na jeshi la Congo. FLDR inaingiaje hapo?

Hata hivyo hivyo vitabu vya wahutu vya 1994 haviwezi wahusu m23 maana ni wakongo hizo hutu commandments nahisi zilikuwa dhidi ya jeshi la sasa la Rwanda. Kwa maana hiyo ungekuwa sahihi kama vita hii ingekuwa kati ya Rwanda na kikunfi hicho cha FLDR.
 
Nilikuwa namjibu yule Basha wa Misri RUSTEM PASHA
 
Kwanza tuelewe mpaka nchi jirani ianze kuwasaidia waasi maana yake ni kwamba Congo imeshindwa kulinda mipaka yake. Ni aibu kulalamika rwanda na Uganda wanasaidia m23 ndani ya mipaka ya Congo na vile vile msaada siyo lazima uwe material lakini bali hata moral support kinachofanywa na Rwanda kinasaidia kumbuka hao m23 hawana serikali na hawatambuliki hata na UN ila ni wananchi wa Congo wanaozungumza kinyarwanda.

..Frelimo, Mpla, Zanu, Swapo, Rpf, Spla, wote walifanikiwa kwasababu waliwezeshwa na kuhifadhiwa, na nchi majirani na kule walikotokea.

..Bila msaada wa nchi majirani makundi hayo ya wapiganaji yasingeweza kufikia malengo yake.

..Sasa angazia kinachotokea kwa m23 na mahusiano yake na serikali na jeshi la Rwanda utaelewa kwanini wanaleta taabu kwa Drc.
 
Hao m23 walikwishaitwa mara nyingi huko nyuma na Rais huyu kipindi anaingia madarakani hawakwenda wakidai yeye atekeleze makubaliano ya march 23 ambayo mengi kwa sasa hayatekelezeki.

Na jeuri ya PK ndiyo iliyowaongezea kibri.
M23 wamekaa hotelini Kinshasa miezi minne kuitikia with wa serikali ya Congo kufanya majadiliano hakuna kiongozi aliyefika hata kuwasalimia ikabidi wajiondokee na madeni ya hotelini wakalipa wenyewe.
 
..Frelimo, Mpla, Zanu, Swapo, Rpf, Spla, wote walifanikiwa kwasababu walikuwa waliwezeshwa na kuhifadhiwa, na nchi majirani na kule walikotokea.

..Bila msaada wa nchi majirani makundi hayo ya wapiganaji yasingeweza kufikia malengo yake.

..Sasa angazia kinachotokea kwa m23 na mahusiano yake na serikali na jeshi la Rwanda utaelewa kwanini wanaleta taabu kwa Drc.
Solution ni moja Congo iwakubali m23 kama raia wa Congo full stop.
 
Back
Top Bottom