Rwanda ya Amavubi Yazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo

Rwanda ya Amavubi Yazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo

thank you sir
Amavubi,indeed Mr. Kagame has done a lot to improve the welfare of the Rwandese, granted.
But dont u think u guys are exaggerating his achievements a little too much?
It cant be true that up to 90% of the Rwandese are connected to electricity nor that upto 90% of the roads tarmacked.

My research indicates that only about 23% of Rwandan homes are connected to power, while there's an ambitious plan by the govt currently to connect upto 70% of homes to electricity by 2017.

I am not sure though about the total eradication of thatched houses in Rwanda (does that include thatched pubs and resorts as well? They are quite common even here in Nairobi, they are really classy.), in a country where an estimated 60% of the residents are living below poverty line.
Does the govt help purchase the alternative roofing materials which obviously their cost are beyond the reach of this pipo.
 
Mzee Kagame keshaweka kipimio, standard yake hamna aliyeifikia Afrika yote. Hata nchi ndogo kama Burundi ambazo pia size ya mkoa wapo mbali tu.
nakukubalia kabisa
 
Kagame has the right people on his team ,Team nyingi zinazo undwa na viongoz wetu zime jaa walaf mafisad ni ngumu kufikia malengo
 
ndo umeandika nin?!!

wakati China wanajenga magorofa kwenda juu (vertically), tanzania tunazidi kujenga nyumba za chini kuelekea makabe maramba mawili kigamboni, kisarawe ndio maana ya mawanda (horizontally)
 
wakati china wanajenga magorofa kwenda juu (vertically), tanzania tunazidi kujenga nyumba za chini kuelekea makabe maramba mawili kigamboni, kisarawe ndio maana ya mawanda (horizontally)

:d:d:d:d
 
Hivi Tanzania inahusikaje na hii post, mmekosa point ya kuchangia? Rwanda ibaki kuwa Rwanda na Tanzania ibaki kuwa Tanzania. Huwezi kulinganisha Simba na Mbwa!
 
Mambo 10 usiyo yajua Kuhusu Paul Kagame na serikali yake Rwanda




  1. Kila alhamisi ya Mwisho wa Mwezi Rais husimamia kufanya usafi Nchi Nzima na Rais huonyeshwa Live akifanya Usafi .Hii ni sheria shughuli zote maduka yote hufungwa kwa zoezi la usafi hata Kama ni mgeni mpaka saa NNE
  2. Barabara zote hupigwa deki kila mwisho wa week na wanajeshi
  3. Kila Mwanafunzi anaye fika kidato cha kwanza anapewa Laptop
  4. Msafara wa Rais hauzidi Magari ma Tatu
  5. Ukigundulika umetoa au umepokea rushwa unatiwa ndani kwenye Mahakama Maalumu ya Rushwa Uchunguzi unafanyika ukiwa Ndani hilo halina Waziri au katibu mkuu au mfagizi
  6. Paul Kagame amethubutu na ameweza kuzifuta Nyumba za Nyasi Nchi Nzima hamna nyumba za nyasi
  7. 90% ya watu wake woote wana huduma ya umeme majumbani mwao
  8. 90% ya barabara zake zooote zimejengwa kwa kiwango cha Lami Madhubuti
  9. 90% ya budget yake inajitegemea yenyewe bila kutegemea wahisani na ni mapato ya makusanyo ya ndani..Hana simile katika kodi hicho ndicho kwanza , mwekezaji ukitaka uondolewe nchini Siku hiyo hiyo kwepa kulipa kodi
  10. Waziri wake woote wana ripoti kwa Raisi kila mwiso wa mwezi kueleza na kuonyesha usimamiaji wa shughuli walizo pewa na serikali

Sijafika Rwanda lkn siamini kama hayo uliyoyaandika ni kweli namba 7,8,na 9!
 
Hivi Tanzania inahusikaje na hii post, mmekosa point ya kuchangia? Rwanda ibaki kuwa Rwanda na Tanzania ibaki kuwa Tanzania. Huwezi kulinganisha Simba na Mbwa!
hata sisi TUTAFIKA
 
wakati China wanajenga magorofa kwenda juu (vertically), tanzania tunazidi kujenga nyumba za chini kuelekea makabe maramba mawili kigamboni, kisarawe ndio maana ya mawanda (horizontally)

kujenga gorofa ni umasikin wa ardhi na si ufahari..pia haiifanyi tanzania kuwa sawa na mkoa wa china,lakin rwanda ni ndogo kwa mkoa wa tabora
 
kujenga gorofa ni umasikin wa ardhi na si ufahari..pia haiifanyi tanzania kuwa sawa na mkoa wa china,lakin rwanda ni ndogo kwa mkoa wa tabora

Mkoa wa Tabora ni mkubwa kuliko nchi za rwanda na burundi. Sasa wewe sijui ulifikiria nini hadi ukaulinganisha mkoa huo na rwanda?
 
Back
Top Bottom