Rwanda ya Amavubi Yazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo

Rwanda ya Amavubi Yazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
Mambo 10 usiyo yajua Kuhusu Paul Kagame na serikali yake Rwanda




  1. Kila alhamisi ya Mwisho wa Mwezi Rais husimamia kufanya usafi Nchi Nzima na Rais huonyeshwa Live akifanya Usafi .Hii ni sheria shughuli zote maduka yote hufungwa kwa zoezi la usafi hata Kama ni mgeni mpaka saa NNE
  2. Barabara zote hupigwa deki kila mwisho wa week na wanajeshi
  3. Kila Mwanafunzi anaye fika kidato cha kwanza anapewa Laptop
  4. Msafara wa Rais hauzidi Magari ma Tatu
  5. Ukigundulika umetoa au umepokea rushwa unatiwa ndani kwenye Mahakama Maalumu ya Rushwa Uchunguzi unafanyika ukiwa Ndani hilo halina Waziri au katibu mkuu au mfagizi
  6. Paul Kagame amethubutu na ameweza kuzifuta Nyumba za Nyasi Nchi Nzima hamna nyumba za nyasi
  7. 90% ya watu wake woote wana huduma ya umeme majumbani mwao
  8. 90% ya barabara zake zooote zimejengwa kwa kiwango cha Lami Madhubuti
  9. 90% ya budget yake inajitegemea yenyewe bila kutegemea wahisani na ni mapato ya makusanyo ya ndani..Hana simile katika kodi hicho ndicho kwanza , mwekezaji ukitaka uondolewe nchini Siku hiyo hiyo kwepa kulipa kodi
  10. Waziri wake woote wana ripoti kwa Raisi kila mwiso wa mwezi kueleza na kuonyesha usimamiaji wa shughuli walizo pewa na serikali
 
...hivi Rwanda ni sawa na mkoa gani Tanzania?!
 
Magufuli jifunze kwa huyu regendry
 
ningependa useme barabara km ngapi,umeme nyumba ngapi, wanao kwenda 4m 1 wangapi,bajeti ya nchi sh.ngapi turinganishe
 
Mzee Kagame keshaweka kipimio, standard yake hamna aliyeifikia Afrika yote. Hata nchi ndogo kama Burundi ambazo pia size ya mkoa wapo mbali tu.
 
...hivi Rwanda ni sawa na mkoa gani Tanzania?!

Acha akili za kitoto. Fungua akili yako basi. Rwanda wanarasilimali watu. Tanzania kuna rasilimali watu pia.
 
Amavubi,indeed Mr. Kagame has done a lot to improve the welfare of the Rwandese, granted.
But dont u think u guys are exaggerating his achievements a little too much?
It cant be true that up to 90% of the Rwandese are connected to electricity nor that upto 90% of the roads tarmacked.

My research indicates that only about 23% of Rwandan homes are connected to power, while there's an ambitious plan by the govt currently to connect upto 70% of homes to electricity by 2017.

I am not sure though about the total eradication of thatched houses in Rwanda (does that include thatched pubs and resorts as well? They are quite common even here in Nairobi, they are really classy.), in a country where an estimated 60% of the residents are living below poverty line.
Does the govt help purchase the alternative roofing materials which obviously their cost are beyond the reach of this pipo.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada Rwanda sio Kigali tu kuna mini mingine mingi tu uliyosema karibia yote yanafanyika Kigali tu na sio miji mingini.
 
Hivi TZ ni sawa na mkoa gani wa china?

Swali nzuri sana hilo kwa wanaojificha nyuma ya ukubwa wa nchi, ifahamike China ni mara kumi ya Tanzania kwa ukubwa wa ardhi. Tafakari....
China is approximately 9,596,960 sq km, while Tanzania is approximately 947,300 sq km
 
Back
Top Bottom