Kufungua assembly plant ya gari Ni swala la kuwaharika tuu njooni, ila pia nataka kujua wanaasseble magari mangapi kea mwaka, japo nafikili hata 50 hayafikimjadala unahusu Rwanda lakini pia kuwa nchi zote za hovyo (LDC) zitakuwa zimebaki Afrika tu ifikapo 2025. Kuhusu Rwanda sina uhakika sana chifu kama itakuwa huo uchumi wa kati mpaka 2025. Ila nnachojua ni kuwa wanapiga hatua sana kimaendeleo haswa uimarishaji wa mifumo ya kiserikali na yote kwa ujumla. Hivi unajua kwann Volkswagen wameenda kufungua kiwanda cha magari (assembly plant) Rwanda na sio hapa kwetu? pamoja na ukweli kwamba hawa warwanda hawana bahari itabidi vifaa vije mpaka mombasa(au Dar?) kabla ya kusafirishwa kwenda kwenye assembly Rwanda..Embu iwazie hiyo kiumakini kidogo utaelewa nazungumzia nn
-Mmmmmh mkuu kwa Africa mzima mpaka Sasa nchi iliyopiga maendeleo makubwa na Ni SA tuu, zingine zote hovyo, hata SA East Africa zote Ni hovyo tuuWapuuzi tu hawa wazungu.. Ni wa kuwapuuza hali halisi Rwanda inaonyesha kinyume na huo upuuzi wanaoruhubiria
Kwan we njia ya kwenda congo haujui tuku saidie?Sasa hivi wataingia DRC kuiba madini ili ku-boost uchumi wao!
Kwan we njia ya kwenda congo haujui tuku saidie?Sasa hivi wataingia DRC kuiba madini ili ku-boost uchumi wao!
Sasa hivi wataingia DRC kuiba madini ili ku-boost uchumi wao!
Njia ya kwenda congo hujui tukusaidie?Sasa hivi wataingia DRC kuiba madini ili ku-boost uchumi wao!