Rwanda will still be least developed by 2025, says Unctad

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,401
4,965
Rwanda will still be categorised as a least developed country by 2025 according to new projections by the United Nations Conference on Trade and Development (Unctad).

This assertion is at variance with Rwanda’s Vision 2020 which set a per capita income target of $1,240 by 2020, which government officials say is still achievable.

In a report titled, The Least Developed Countries Report 2016, Unctad states that by 2025, Least Developed Countries (LDCs) will only be found in Africa.

“Almost all of the Asian and Island LDCs are projected to graduate by 2024, implying that 32 countries comprising the LDC group in 2025 would only include one Small Island Developing State (SID) and two other countries outside Africa. The majority of the LDCs will remain in Africa,” said the report.

But even with this grim picture, Rwanda and a few other countries including Uganda and Ethiopia are reported to have made considerable progress in export diversification which is a step in the right direction.

Rwanda’s finance minister was recently quoted by local media saying the targets under Vision 2020 could still be delivered on schedule because of past investment in enabling infrastructure which was expected to stimulate growth.

Challenges affecting LDCs

The report describes three major challenges affecting LDCs and hampering their progress towards graduation, the biggest of which is poverty.

“Many LDCs suffer from a poverty trap, with low income and limited economic growth, giving rise to high levels of poverty, which in turn acts as a brake to economic growth,” states the report.

Half of the total population living in these countries is said to be living in extreme poverty.

The commodity trap is described as the second challenge, where LDCs are said to be dependent on commodity production and trade for employment, income, savings and foreign exchange.

“Commodity dependence increases vulnerability to external shocks such as diverse terms of trade movements as well as climate change impacts,” the report says.

Weak productive bases and limited export diversification in LDCs is also listed as a challenge facing the countries and forcing them to have high import content and chronic current account deficits.

According to the acting director of the Uneca, Eastern Africa sub-regional office, Andrew Mold, intra-regional trade is a stepping stone for East African countries to graduate from LDCs to middle income countries.

“Integration and intra-regional trade is the way forward for EAC countries and other African countries as well. These countries cannot quite compete with giant economies, but intra-regional trade is where the EAC countries best achieve their diversification excellence and reduce their dependence on single export commodities,” said Mr Mold.
source: TheEastAfrican
 
Wapuuzi tu hawa wazungu.. Ni wa kuwapuuza hali halisi Rwanda inaonyesha kinyume na huo upuuzi wanaoruhubiria

Upuuzi wao ndo uliowapa uwezo na akili ya kuja kututawala, wakachuma, na bado wanaendelea kuchuma kutoka kwa wenye akili Africa
 
labda hukunielewa sana..nilikuwa namaanisha wanataka kutukatisha tamaa tu kwa maslah yao binafasi.angalia hii sentensi " In a report titled, The Least Developed Countries Report 2016, Unctad states that by 2025, Least Developed Countries (LDCs) will only be found in Africa" Wewe unaamini kuwa nchi kama Afghanistan ama Laos za huko bara Asia mpaka 2025 zitakuwa zimekimbia hili kundi la LDC?naweza kuendelea kukupa mifano ya mabara mengine..mathalani HAITI iliyoko marekani ya kati waijua?2025 wawe wamechomoka kwenye hili kundi?angalia hizi nchi uniambie ndani ya miaka tisa ngapi zitakuwa zimechomoka (Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, Cambodia, Lao PDR, Maldives,Nepal,Timor-Leste,Yemen, Haiti). Hao jamaa weupe chochote wanachosema kuhusu sisi rudia mara mbili mbili kwanza kabla hujaconclude
 
vision 2020 ni projections sio guarantee, na hawa UNCTAD vile vile wametoa projections sio guarantee. Cha muhimu ni kuchambua nani kasimamia hoja yake vizuri.
 
vision 2020 ni projections sio guarantee, na hawa UNCTAD vile vile wametoa projections sio guarantee. Cha muhimu ni kuchambua nani kasimamia hoja yake vizuri.
Nadhani projections huwaga zinajikita kwenye uhalisia. Swali lilikuwa kwa projections hizo unazosema Afghanistan na hizo nchi nyingine zitakuwa zimekimbia hilo kundi? Mathalani Afghanistan wamekuwa kwenye vita zaidi ya miaka kumi sasa, so kwa miaka tisa ijayo vita itakuwa imeisha reconstruction imefanyika miundombinu imejengwa na vitu kama hivyo? Waelewa?
 
jMali.
kwa kuchapisha bandiko hili unataka kutuelewesha kuwa wewe unakubaliana au la, na tamko la UNCTAD kuwa Rwanda pamoja na juhudi zote za makusudi inatwanga maji kwenye kinu licha ya mafanikio yanayoonekana kuja kwa kasi,yakiongozwa na ari na kiu ya maendeleo ya wanyarwanda wenyewe?. Binafsi ningependa kujifunza kutoka kwako na hasa maoni na mtazamo wako katika hili.
 
Hiyo. Report ya uongo kuna Nchi ni masikini sana hata leo hii uwezi fananisha na Rwanda zipo nyingi tuu...Malawi yenyewe huwezi kuifananisha na Rwanda,Malawi wamechoka sana
 
jMali.
kwa kuchapisha bandiko hili unataka kutuelewesha kuwa wewe unakubaliana au la, na tamko la UNCTAD kuwa Rwanda pamoja na juhudi zote za makusudi inatwanga maji kwenye kinu licha ya mafanikio yanayoonekana kuja kwa kasi,yakiongozwa na ari na kiu ya maendeleo ya wanyarwanda wenyewe?. Binafsi ningependa kujifunza kutoka kwako na hasa maoni na mtazamo wako katika hili.
1. Sijaelewa kwa nini unataka mtazamo wangu badala ya wewe kutoa mtazamo wako.
2. Mafanikio yanayoonekana Rwanda ni yepi hayo? Maana sababu ya kuleta bandiko kama hizi ni kuwaumbua "watani" zangu fulani ambao hawaishi kuipamba Rwanda kwa 'fake news' ambazo hupotosha baadhi ya watanzania na dunia nzima kwa ujumla juu ya 'maendeleo' ya Rwanda. Hebu tusaidie ni wapi ambapo UNCTAD wamedanganya kwenye hio ripoti yao kinyume na hali halisi unavyoijua wewe.
 
Naona unaanza kuwa desciple wa yule fala. Umeishiwa wewe.
 
Nadhani projections huwaga zinajikita kwenye uhalisia. Swali lilikuwa kwa projections hizo unazosema Afghanistan na hizo nchi nyingine zitakuwa zimekimbia hilo kundi? Mathalani Afghanistan wamekuwa kwenye vita zaidi ya miaka kumi sasa, so kwa miaka tisa ijayo vita itakuwa imeisha reconstruction imefanyika miundombinu imejengwa na vitu kama hivyo? Waelewa?
Lakini tunaongelea Rwanda, wacha hizo zingine je unaamini kuwa Rwanda itakuwa kwenye uchumi wa kati ndani ya miaka mitatu ijayo? Huo ndio mjadala.
 
Naona unaanza kuwa desciple wa yule fala. Umeishiwa wewe.
umeshaanza kuongea in codes ambazo unazielewa mwenyewe. Either fafanua au kaa kimya. btw i believe you wanted to write disciple. hahaha
 
Back
Top Bottom