murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Yes. Thank you mwalimu. Ila msg imefika.umeshaanza kuongea in codes ambazo unazielewa mwenyewe. Either fafanua au kaa kimya. btw i believe you wanted to write disciple. hahaha
Yes. Thank you mwalimu. Ila msg imefika.umeshaanza kuongea in codes ambazo unazielewa mwenyewe. Either fafanua au kaa kimya. btw i believe you wanted to write disciple. hahaha
enhe, huo sasa ndio uinterahamwe wenyewe! hatima yake nikuuwana! get it right, mwafrika makini hawezi kuwa na roho ya kwanini dhidi ya nchi yake.... balaa tupuKwahiyo unafurahia? Waafrika bana
mjadala unahusu Rwanda lakini pia kuwa nchi zote za hovyo (LDC) zitakuwa zimebaki Afrika tu ifikapo 2025. Kuhusu Rwanda sina uhakika sana chifu kama itakuwa huo uchumi wa kati mpaka 2025. Ila nnachojua ni kuwa wanapiga hatua sana kimaendeleo haswa uimarishaji wa mifumo ya kiserikali na yote kwa ujumla. Hivi unajua kwann Volkswagen wameenda kufungua kiwanda cha magari (assembly plant) Rwanda na sio hapa kwetu? pamoja na ukweli kwamba hawa warwanda hawana bahari itabidi vifaa vije mpaka mombasa(au Dar?) kabla ya kusafirishwa kwenda kwenye assembly Rwanda..Embu iwazie hiyo kiumakini kidogo utaelewa nazungumzia nnLakini tunaongelea Rwanda, wacha hizo zingine je unaamini kuwa Rwanda itakuwa kwenye uchumi wa kati ndani ya miaka mitatu ijayo? Huo ndio mjadala.
jMali nataka kujua mtazamo wako kwa sababu nagundua kuwa wewe una mengi ambayo yanaweza kuisaidia Rwanda katika jitihada zake za kufikia lengo la kuwa katika nchi yenye uchumi wa kati.Taarifa ya UNCTAD kama ulivyoiweka hapo juu nimeielewa lakini katika bandiko langu hakuna mahali nimesema kuwa wamedanganya nadhani huo ni mtazamo wao ambao unatakiwa uzingatiwe katika kupima maendeleo yamepatikana kwa kiasi gani. Kwa jinsi nilivyoona katika ziara zangu nchini Rwanda kama mgeni, nathubutu kusema kuwa Rwanda iko kwenye nafasi nzuri ya kufikia malengo hasa nikilinganisha hali ya sasa na jinsi ilivyokuwa miaka kumi na mbili iliyopita.Nadhani uzoefu wako unaweza kuwa moja ya chachu ya kuharakisha maendeleo ya Rwanda ambayo inaelekea kwenye mafanikio.1. Sijaelewa kwa nini unataka mtazamo wangu badala ya wewe kutoa mtazamo wako.
2. Mafanikio yanayoonekana Rwanda ni yepi hayo? Maana sababu ya kuleta bandiko kama hizi ni kuwaumbua "watani" zangu fulani ambao hawaishi kuipamba Rwanda kwa 'fake news' ambazo hupotosha baadhi ya watanzania na dunia nzima kwa ujumla juu ya 'maendeleo' ya Rwanda. Hebu tusaidie ni wapi ambapo UNCTAD wamedanganya kwenye hio ripoti yao kinyume na hali halisi unavyoijua wewe.
Watu wengi mnachojua kuhusu Rwanda ni kile mnachosikia kupitia media.mjadala unahusu Rwanda lakini pia kuwa nchi zote za hovyo (LDC) zitakuwa zimebaki Afrika tu ifikapo 2025. Kuhusu Rwanda sina uhakika sana chifu kama itakuwa huo uchumi wa kati mpaka 2025. Ila nnachojua ni kuwa wanapiga hatua sana kimaendeleo haswa uimarishaji wa mifumo ya kiserikali na yote kwa ujumla. Hivi unajua kwann Volkswagen wameenda kufungua kiwanda cha magari (assembly plant) Rwanda na sio hapa kwetu? pamoja na ukweli kwamba hawa warwanda hawana bahari itabidi vifaa vije mpaka mombasa(au Dar?) kabla ya kusafirishwa kwenda kwenye assembly Rwanda..Embu iwazie hiyo kiumakini kidogo utaelewa nazungumzia nn
Tanzania, Rwanda na nchi zingine zote za kiafrika zinatakiwa kwanza kuwa na demokrasia ya kweli ili kupata maendeleo, udikteta uchwara unapelekea kutoa takwimu ambazo ni serikali tu inaziamini matokeo yake wakija watu independent kama UNCTAD inakuwa aibu.jMali nataka kujua mtazamo wako kwa sababu nagundua kuwa wewe una mengi ambayo yanaweza kuisaidia Rwanda katika jitihada zake za kufikia lengo la kuwa katika nchi yenye uchumi wa kati.Taarifa ya UNCTAD kama ulivyoiweka hapo juu nimeielewa lakini katika bandiko langu hakuna mahali nimesema kuwa wamedanganya nadhani huo ni mtazamo wao ambao unatakiwa uzingatiwe katika kupima maendeleo yamepatikana kwa kiasi gani. Kwa jinsi nilivyoona katika ziara zangu nchini Rwanda kama mgeni, nathubutu kusema kuwa Rwanda iko kwenye nafasi nzuri ya kufikia malengo hasa nikilinganisha hali ya sasa na jinsi ilivyokuwa miaka kumi na mbili iliyopita.Nadhani uzoefu wako unaweza kuwa moja ya chachu ya kuharakisha maendeleo ya Rwanda ambayo inaelekea kwenye mafanikio.
jMali bandiko lako lenye hitimisho la utafiti uliofanywa na UNCTAD linahusu Rwanda kwa hakika,Nadhani tubakie kwenye mada hiyo bila kuingia kwenye hayo uliyoyataja hapo juu kuhusu nchi za kiafrika na hasa Tanzania ambayo hata mifano umetoa kwa umahiri mkubwa tu. Suala ambalo nashindwa kuelewa ni wewe kuukubali utafiti huru uliofanywa na UNCTAD kwa lengo la kupata taarifa ambayo umeiamini na kuikubali lakini,ushuhuda wa watu binafsi na huru kama mimi na wengine ambao wamewahi kufika Rwanda katika siku za karibuni kwa nia ya kutembea na kujifunza, bila kushikwa mkono na serikali ya Rwanda kama ulivyoiweka hapo juu,Nadhani taarifa hii inachanganya. Labda nikubaliane nawe kuwa umeiweka ili kuwaumbua "watani zako" na kwa hilo siwezi kabisa kuingilia huo ubishi ila ningependa tu kukuuliza ulikuwa Rwanda lini mara ya mwisho?.Tanzania, Rwanda na nchi zingine zote za kiafrika zinatakiwa kwanza kuwa na demokrasia ya kweli ili kupata maendeleo, udikteta uchwara unapelekea kutoa takwimu ambazo ni serikali tu inaziamini matokeo yake wakija watu independent kama UNCTAD inakuwa aibu.
Rwanda haiko huru kwa hiyo wageni wote kama wewe mnaofanya 'ziara' mnaona kile ambacho serikali inataka muone. Hata bongo tayari sasa nanihii anatishia magazeti, anafunga mitandao, anaweka ndani waandishi etc, bila shaka anageza kwa rafiki yake jinsi ya kuleta "maendeleo". Bila media huru hata bongo nayo itakuwa kama Rwanda ambapo hakuna mtu wa nje anayefanya 'ziara' atakubali kuwa bongo kuna njaa, kuwa wanafunzi wamekosa mikopo, kuwa watu hawana ajira, etc. Watakachosikia ni sifa za mzee wetu kama vile za kagame kuwa amedhibiti rushwa, kaleta maendeleo ya ndege etc, ...
Serikali ya bongo inasema uchumi wetu ni mzuri kulingana na takwimu zake, mapato yameongezeka maradufu...sasa nenda mtaani jaribu kusema hivyo uone jinsi gani utakavyoonekana wa ajabu!
The fact kwamba VW wanazungumzia kujenga kiwanda huko huoni kuwa ni imani waliyonayo huko? And yes najua kuwa VW wana kiwanda thika kenya na South Afrika. Kuhusu uhuru wa vyombo vya habari sijui unahusiana vipi na ukuaji wa uchumi (angalia uchina.. Urusi.. Kote huku hakuna uhuru huo wa vyombo vya habari unavyozungumzia lakini chumi zake imara sana), point yangu inabaki kuwa si kweli kuwa ifikapo 2025, LDC zitabaki Afrika tu. Kuhusu Rwanda kuwa middle income ifikapo 2025 nimekujibu post ya awali kuwa sina uhakika na hilo.. Nini hakieleweki hapo?Watu wengi mnachojua kuhusu Rwanda ni kile mnachosikia kupitia media.
1. Rwanda hakuna uhuru wa habari, media zote ziko controlled na serikali directly or indirectly.
2. Serikali ya Rwanda inatumia PR agencies kusambaza propaganda pieces katika media za nje as well. Hakuna media ya nje inayofanya kazi Rwanda independently, zile zinazojaribu kufanya hivyo kama BBC hufungiwa na waandishi huwa deported.
Kwa hiyo an average non-resident (Rwanda) kama wewe almost all you know about Rwanda is false. Ni kama vile hapa bongo tukataze habari kuhusu kutokuwa na dawa hospitalini, ukosefu wa ajira, ukosefu wa pesa, njaa etc, halafu tubaki na habari za midege ya Bombadia, ujenzi wa flyover za masaki etc. Mtu wa nje angejua Bongo kama ulaya kumbe watu wamepigika wanaisoma namba mitaani, wanafunzi wamekosa mikopo yani vululu vululu! habari kama hizi Rwanda HAKUNA. Sio kwa sababu hazipo ni kwa sababu zimebanwa. Na hizo unazozipata huwa zina CHUMVI kupita bahari ya hindi.
Mfano hiyo habari yako ya VW tayari imeshaumbuliwa kuwa ni mojawapo ya FAKE NEWS kutoka Rwanda. Kiwanda kipo Kenya kwa kina MK254 , link hii hapa Rwanda wamesaini MOU tu tena utafiti wa soko wenyewe utaanza mwaka kesho mwezi mei! Lakini gazeti la serikali kichwa cha habari kilichokuingiza mkenge "VW kujenga kiwanda Rwanda"! Tunaokaa Kigali tunashangaa huo umeme wa viwanda utatoka wapi wakati kukatika umeme wa majumbani tu ni kawaida!
Watu kama UNCTAD wanapofanya ripoti zao ndipo hapo ukweli unakuwa ukweli na uongo wote wa serikali unawekwa kando. Kutokana na takwimu za propaganda by the gov, Rwanda ilikuwa iwe uchumi wa kati kama Kenya 3 years from now, UNCTAD wameumbua kuwa hilo haliwezekani. Ndio maana kuna ndugu zangu hapa wana hasira na mimi badala ya ripoti! Kwa sababu wanajua hawawezi kubishana na facts.
Tunaongelea uongo toka serikali kandamizi. Huwezi ukatenga eneo porini kwa ajili ya ujenzi wa space center, halafu ukaanza kutangazia dunia kuwa unakaribia kupeleka watanzania sayari ya mars! Suala la VW utafiti tu utaanza mwaka kesho, lakini leo gazeti la Rwanda linasema VW watajenga viwanda as if suala limeshakamilika.The fact kwamba VW wanazungumzia kujenga kiwanda huko huoni kuwa ni imani waliyonayo huko? And yes najua kuwa VW wana kiwanda thika kenya na South Afrika. Kuhusu uhuru wa vyombo vya habari sijui unahusiana vipi na ukuaji wa uchumi (angalia uchina.. Urusi.. Kote huku hakuna uhuru huo wa vyombo vya habari unavyozungumzia lakini chumi zake imara sana), point yangu inabaki kuwa si kweli kuwa ifikapo 2025, LDC zitabaki Afrika tu. Kuhusu Rwanda kuwa middle income ifikapo 2025 nimekujibu post ya awali kuwa sina uhakika na hilo.. Nini hakieleweki hapo?
1. Uliuliza rwanda ifanyaje ili ipate maendeleo ndio nikajibu hilo la demokrasia. challenges za Rwanda hazina tofauti sana na challenges za mataifa mengine ya kiafrika.jMali bandiko lako lenye hitimisho la utafiti uliofanywa na UNCTAD linahusu Rwanda kwa hakika,Nadhani tubakie kwenye mada hiyo bila kuingia kwenye hayo uliyoyataja hapo juu kuhusu nchi za kiafrika na hasa Tanzania ambayo hata mifano umetoa kwa umahiri mkubwa tu. Suala ambalo nashindwa kuelewa ni wewe kuukubali utafiti huru uliofanywa na UNCTAD kwa lengo la kupata taarifa ambayo umeiamini na kuikubali lakini,ushuhuda wa watu binafsi na huru kama mimi na wengine ambao wamewahi kufika Rwanda katika siku za karibuni kwa nia ya kutembea na kujifunza, bila kushikwa mkono na serikali ya Rwanda kama ulivyoiweka hapo juu,Nadhani taarifa hii inachanganya. Labda nikubaliane nawe kuwa umeiweka ili kuwaumbua "watani zako" na kwa hilo siwezi kabisa kuingilia huo ubishi ila ningependa tu kukuuliza ulikuwa Rwanda lini mara ya mwisho?.
Mzima namshukuru Mungu, nasubiri wadau waje humu mada ijadiliwe kweli kweli.Mkuu tumepoteana kweli, mzima wewe?
facts gani? hauna lolote! BBC na wengineo wote watatimuliwa tu pindi watakapo anza kuloga jamii, kama hautaki wakaribishe huko ulipo ukimbizini!Watu wengi mnachojua kuhusu Rwanda ni kile mnachosikia kupitia media.
1. Rwanda hakuna uhuru wa habari, media zote ziko controlled na serikali directly or indirectly.
2. Serikali ya Rwanda inatumia PR agencies kusambaza propaganda pieces katika media za nje as well. Hakuna media ya nje inayofanya kazi Rwanda independently, zile zinazojaribu kufanya hivyo kama BBC hufungiwa na waandishi huwa deported.
Kwa hiyo an average non-resident (Rwanda) kama wewe almost all you know about Rwanda is false. Ni kama vile hapa bongo tukataze habari kuhusu kutokuwa na dawa hospitalini, ukosefu wa ajira, ukosefu wa pesa, njaa etc, halafu tubaki na habari za midege ya Bombadia, ujenzi wa flyover za masaki etc. Mtu wa nje angejua Bongo kama ulaya kumbe watu wamepigika wanaisoma namba mitaani, wanafunzi wamekosa mikopo yani vululu vululu! habari kama hizi Rwanda HAKUNA. Sio kwa sababu hazipo ni kwa sababu zimebanwa. Na hizo unazozipata huwa zina CHUMVI kupita bahari ya hindi.
Mfano hiyo habari yako ya VW tayari imeshaumbuliwa kuwa ni mojawapo ya FAKE NEWS kutoka Rwanda. Kiwanda kipo Kenya kwa kina MK254 , link hii hapa Rwanda wamesaini MOU tu tena utafiti wa soko wenyewe utaanza mwaka kesho mwezi mei! Lakini gazeti la serikali kichwa cha habari kilichokuingiza mkenge "VW kujenga kiwanda Rwanda"! Tunaokaa Kigali tunashangaa huo umeme wa viwanda utatoka wapi wakati kukatika umeme wa majumbani tu ni kawaida!
Watu kama UNCTAD wanapofanya ripoti zao ndipo hapo ukweli unakuwa ukweli na uongo wote wa serikali unawekwa kando. Kutokana na takwimu za propaganda by the gov, Rwanda ilikuwa iwe uchumi wa kati kama Kenya 3 years from now, UNCTAD wameumbua kuwa hilo haliwezekani. Ndio maana kuna ndugu zangu hapa wana hasira na mimi badala ya ripoti! Kwa sababu wanajua hawawezi kubishana na facts.
yaleyalee! naona umeamuwa kukinukisha hata ugenini, jali ya kwenu kwanza! hivi serikali ya Rwanda ni wafanya mazingaombwe kiasi cha kufanya watu waone mambo ambayo hayapo? demokrasia gani unayo itaka jMali ? zaidi ya hii ya kutupatia amani na kutuwezesha kupata milo mitatu kwa siku? au unataka ile ya mapanga? hamia Marekani basi wajumbe maalum wakakuchagulie, tabu tupu...Tanzania, Rwanda na nchi zingine zote za kiafrika zinatakiwa kwanza kuwa na demokrasia ya kweli ili kupata maendeleo, udikteta uchwara unapelekea kutoa takwimu ambazo ni serikali tu inaziamini matokeo yake wakija watu independent kama UNCTAD inakuwa aibu.
Rwanda haiko huru kwa hiyo wageni wote kama wewe mnaofanya 'ziara' mnaona kile ambacho serikali inataka muone. Hata bongo tayari sasa nanihii anatishia magazeti, anafunga mitandao, anaweka ndani waandishi etc, bila shaka anageza kwa rafiki yake jinsi ya kuleta "maendeleo". Bila media huru hata bongo nayo itakuwa kama Rwanda ambapo hakuna mtu wa nje anayefanya 'ziara' atakubali kuwa bongo kuna njaa, kuwa wanafunzi wamekosa mikopo, kuwa watu hawana ajira, etc. Watakachosikia ni sifa za mzee wetu kama vile za kagame kuwa amedhibiti rushwa, kaleta maendeleo ya ndege etc, ...
Serikali ya bongo inasema uchumi wetu ni mzuri kulingana na takwimu zake, mapato yameongezeka maradufu...sasa nenda mtaani jaribu kusema hivyo uone jinsi gani utakavyoonekana wa ajabu!
WAZUNGU NI WATU WABAYA SANA. ..TUWE WAANGALIFU KU DEAL NAO. .Wapuuzi tu hawa wazungu.. Ni wa kuwapuuza hali halisi Rwanda inaonyesha kinyume na huo upuuzi wanaoruhubiria
Naona huyo ana matatizo ya kusahau. ..TUJIFUNZE KWA LIBYA. ..yaleyalee! naona umeamuwa kukinukisha hata ugenini, jali ya kwenu kwanza! hivi serikali ya Rwanda ni wafanya mazingaombwe kiasi cha kufanya watu waone mambo ambayo hayapo? demokrasia gani unayo itaka jMali ? zaidi ya hii ya kutupatia amani na kutuwezesha kupata milo mitatu kwa siku? au unataka ile ya mapanga? hamia Marekani basi wajumbe maalum wakakuchagulie, tabu tupu...
Keep lying ,nobody believes you anyway....nobody believes interahamwesWatu wengi mnachojua kuhusu Rwanda ni kile mnachosikia kupitia media.