AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
RITA website said:Rwanda is on a fast track development program aimed at making the economy dynamic ICT based by the year 2020.
A vision plan has been drawn up in collaboration with vastly experienced consultants and advisers. Many projects are due to come online over the next few years, ranging from the establishment of the government owner fiber backbone to putting computers into school classrooms. However, there is one project which is of utmost importance and urgency for the country; that is the introduction of a National ID Card.
Implementation of a National ID, driving license and Smart Card System Project calls for the introduction of an electronic, durable National ID Card which is mandatory for all citizens above the age of 16.
In the first phase of this project the citizens were introduced to a simple but robust and durable bar-coded ID card which contained verified elementary data such as name, address and photograph.
The purpose of this phase was to provide every citizen with a Smartcard based on a national ID. The smart card will include additional information that is useful to various entities in Rwanda such as health, traffic, Social Security fund and other like information.
The National ID Card is going to be used for identification and used as a banking document. The project is championed by the Ministry of Local Government (MINALOC) and will be sponsored by the government of Rwanda.
In the East African community (EAC), Rwanda has been the first country to introduce on electronic ID with Finger Printing System.
Currently the National ID cards are produced and distributed to the 16-year old and above citizens.
Nchi ya Rwanda ambao walikuwa ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka kadhaa, lakini sasa wanakuja kwa kasi ya hali ya juu ktk uwanja wa Sayansi na teknolojia.
Sehemu kubwa ya mafanikio yao yametokana na nia na ari ya kuijenga upya nchi yao baada ya vita.
Sehemu kubwa ya wafanyakazi wa Rwanda kuanzia viwandani hadi serikalini ni vijana watupu, ambao baadhi yao wamesomea nchini mwao na sehemu kubwa nje ya nchi, sasa wamerudi kuiendeleza nchi yao.
Mfano mdogo wa ambao umewezeshwa na Wanyarwanda wenyewe ni MRADI wa VITAMBULISHO VYA TAIFA (National ID) ambao umesimamiwa na wao wenyewe kupitia RITA (Rwanda Information Technology Authority)
Mfano mwengine wa pili ni kwamba wiki hii inayoisha leo; Rwanda kupitia wizara yake ya sayansi, Teknolojia na Utafiti wa kisayansi wamezindua mradi mafuta ya mitambo ya viwandani yatokanayo na matunda kama maparachichi na mimea mingine.
Wadau tunaweza kuchangia na kuelimishana zaidi vipi 2naweza kujikwamua.
Thanx
toa CCM madarakani,
We aLJUNIOR,
Achana na sisi bana,
Tuache kulala usingizi tushughulike na SIJUI manininini....sijui Mauvumbuzi?
Acha kwanza tusinzie bana... kwanza mbona nje kuna baridi na ukungu, tunakimbilia wapi!
Kwasasa tunachofanya ni kuzindua ma`mashine au sijui madispensa ya kondom huko mtaani!
Tukimaliza hiyo, tunashughulikia kuunda ma`tume mbalimbali yachunguze jinsi wenzetu wanavyokula pesa.
Halafu mchana wa leo tutajadili kama Zenji ni nchi ama si nchi, saa kumi tunaangalia ufisadi bungeni.
Tukimaliza hayo mambo ,tayari ni wakati wa uchaguzi mpya, 2010 HIYO HAPO,tuko bize na kampeni!
Usituchoshe na mauvumbuzi ya madudu yako hayo ,sijui maparachichi, mapesheni, mambilimbi, utayajua mwenyewe bana.
Ha ha haaa...!! OOhh my motherland Tanzania.
May THE GOD open your EYES!
jitihada ya kufanya mambo mazuri wanayo hilo hatukatai na sisi watz tumelala sana aisee hii spidi ya hawa jamaa ni balaa,tatizo kubwa walilonalo hata wafanyeje ubaguzi ndio unawamaliza,hao vijana unaongelea wamerudi kujenga nchi ni watusi lakini wahutu thubutu watarudi wapi?akirudi muhutu anaishia kuwekwa ndani na kuambiwa muuaji,hapo ndipo kagame anapokosea angeijenga nchi vizuri sana kama angeshirikiana na wahutu,hawa jamaa hawana kauli rwanda,wanaona kama nchi yao imeporwa na ndio kitu kinazusha vita miaka yote,sasa pamoja na jitihada hizo wanazofanya kumbuka hawa jamaa ambao ndio wanajiita wenye nchi wakikurupuka tena ni mapanga kwa kwenda mbele na safari hii sijui kama watabakisha mtu katika hii jamii ingineRwanda wanaweza kwa sababu wananchi wake na viongozi na haswa kiongozi mkuu wanayo attitude ya kuipenda na kuijenga nchi yao. Baada ya RPF kuingia madarakani vijana wengi waliokuwa sehemu mbalimbali duniani walirejea kuijenga nchi yao. Na inaonekana wanayo visheni na hawaendeshi mambo yao kwa staili ya zimamoto.
Nakuunga mkono asilia mia moja. kwa sababu ndo wamepewa rasilimali zote toka kigoma hadi pemba na toka kilimanjaro hadi mtwara wazisimamie na kuzivuna. Ili kutuongoza na kutuelekeza mbinu za kupata maisha bora. Lakini miaka 45 hakuna. Je si wao wenye matatizo?toa CCM madarakani,
hawa jamaa wanaboooooa kichizi yaniGood thing rwanda is on our side, alot of rwandese come to study in kenya and alot of kenyans work there. Alot of kenyan companies have also opened shop there. All major construction is being done by kenyans. Karibu rwanda to EAC, tusaidiane.
hawa jamaa wanaboooooa kichizi yani