Rwanda Wameweza; Tanzania Tumeshindwa Wapi???

Sawa.. ni ukweli tu wataka sio?? ati mbona Rwanda inaendelea mbele wakati nyie mwa marktime tangia mpewe uhuru?? Here are my reasons.
1. you lack creativity
2. You are so rigid (hate/fear change)
3. Fear competition unlike Rwanda (the EAC issue)
4. Waste alot of time hating and concentrating on your neighbours faults instead of checking your own.
5. You are inherently lazy, mostly due to ujamaa.
6. You education system is by default designed to fail.
7. you have a confidence problem as a country, where you play second feedle to everyone.
8. Paranoia should be your second name, this leads to 'safe' investments, which are not economical.

I can go on forever, I know I will be crucified, but the truth hurts and its about time you learn the truth.

Yes,

Do hawa jamaa wa Kenya wanongea utadhani ni 1st world!

1. NTV wanaonyesha mateso ya ajabu yaliyoko Kenya sasa hivi..njaa ya kutisha, Mauaiji, ukabila, n.k. Tz tuko mbali mno..ktk level ingine!

2. Hate ni watu wa aina yako mzee wewe ndo unaongea..sisi hatujazoea. Ni vema sana kutafakari kabla ya kuandika. Sii lazima kuandika pia!

Ndo maana kuungana na mawazo kama haya..NO!

Yaani kazi kweli kweli!

Naomba nisimjibu zaidi!
 
Last edited:
Pamoja na jitihada za kujituma warundi walichota madini mengi sana hapo Kongo wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Wanymlenge walitumika sana. Kagame alikubali kutoa askari wake Kongo baada kujilimbilkizia madini ya kutosha kubadilisha uchumi wa Rwanda.

Naona umechanganya mambo kati ya warundi na wanyarandwa.
Inawezekana Kagame alichota madini huko Kongo kuiendeleza Rwanda; but hiyo ni issue nyengine kwa sasa. Maana kama kuiba madini ya Kongo nchi nyingi sn zimeiba huko.

Tuchukulie wameiba na wameweza kusimamia kidete hicho walichokipata kuendeleza kwao; TANZANIA madini tunayo hapahapa nyumbani tena tuna MIGODI ya kusaza, lakini wanao nufaika ni kina nani??? Wanaonenepeana hadi kuoneakana km vibushuti ni kina nani??? Maendeleo yaliyoletwa kwa mazao ya madini mbona hayaonekani???

Tusipende kutia walakini (ila) ktk maendeleo ya watu wengine, tuangalie sisi kama TZA tumeshindwa au tunashindwa wapi?? Tukianza kusema hatuwezi kuendelea km Marekani eti kwa kuwa wao waliwachukua waafrika wenzetu na kwenda kustawisha viwanda vyao, ndio sawa na kusema hatuwezi kushindana na Rwanda eti kwa kuwa maendeleo yao yametokana na kuiba madini ya Kongo!!!
 
Yes,

Do hawa jamaa wa Kenya wanongea utadhani ni 1st world!

1. NTV wanaonyesha mateso ya ajabu yaliyoko Kenya sasa hivi..njaa ya kutisha, Mauaiji, ukabila, n.k. Tz tuko mbali mno..ktk level ingine!

2. Hate ni watu wa aina yako mzee wewe ndo unaongea..sisi hatujazoea. Ni vema sana kutafakazi kabla ya kuandika. Sii lazima kuandika pia!

Ndo maana kuungana na mawazo kama haya..NO!

Yaani kazi kweli kweli!

Naomba nisimjibu zaidi!

Haujanijibu mie, sijaona chochote hapo, na jua Kenya tuna shida ajabu, we are not in anyway better than you, lakini mwafaa ku angalia mambo yenyu, you concentate too much on non- issues, kama hii hapa. Do you think you are supposed to be better than the rest of EA- Rwanda, Kenya, UG?

Thats why at times I feel like posting on this forum but I degress, its full of this Tanzanian know it all posts that it feels dumb to throw something with a little wit to dissolve the dumbness around.

I have given you 8 points to ponder, and what do you give me numbers and bull.. Its not about Kenya this time, the issue is played out and it bores me to death, lets be true to ourselves instead of burrying our heads like ostriches..

I love Tanzania and Tanzanians but these arguments are getting to your head, think wide, outside the box, move back and see the bigger picture, its not always about you.. let other people get the shine as well instead of hating on every damn post posted by someone outside the borders you embrace so much, accept critisism, and dumb down a little bit Mzalendohalisi.

- OG BAd SEEd-
 
Tanzania ha ha haaaa...Jimmy you are right that is metaphoric ambitious of our Government. Ukienda bungeni yanayosemwa mengine yanayofanyika mengine, kweli sisi tumelala. Aljunior...don't worry Bob Marley said 'time will tell' let us wait...Nyerere pia alisema tunahitaji vitu 3, watu, uongozi bora, siasa safi ukiangalia kwa makini hivi sasa tunaita good governance, which of which is more than that....hii siasa safi ndiyo ngumu maana mwenyewe mzee alikaa madarakani miaka umri wetu, waliokuwa madarakani hawabanduki eti demokrasia ni wao kubadilishana vipindi vya uongozi, hawataki wapinzani waende, that is not demokrasi...then nchi hizi za kiafrika mzee hata hao wanaojihita wapinzani ni walewale tu, hamna jpya enzi zile za mwalimu wangeitwa wasaliti maana wametokea huko huko, nao pia hawabadiriki ni walewale tangu enzi zile, sasa hapa ndipo napata kigugumizi cha macho na fikira...in simple analysis all these can be called ''the same wine but in different bottles''. Time will tell, wacha tulale ili hiki kizazi kipite ili siye ambao hatukuimba TANU ya jenga nchi tuingie, i am sure mambo yatabadirika tu.
Huko Rwanda wazee walifyekana mapanga walibaki watoto ndiyo hao wanaendeleza nchi, checki Angola, asilimia 60 ya watu ni chini ya miaka 20, sasa niambia kizazi hicho kinauchu sana wa maendeleo na niwasomi kama siye hapo bongo, ila sisi hatuna opportunities za kupata kazi to effect sound developement in our country. Ila sisemi tupigane no, hawa wazee waondoke wenyewe tu, so uongozi lazima ubadilike...sasa hapa ndipo pasipoeleweka...tukisema uongozi siyo rais au mawaziri tu, tunamaanisha sekta za maendeleo kuanzia makatibu wakuu hadi wakuu wa idara huko vichocholoni, iweje mtu kashafikisha umri wa kustaafu bado yupo tu au eti anapewa contract kuwa ni mzoefu, sasa sijui uzoefu wa kula mali za umma au kipi u uzoefu wa old technology wa kutumia typewriter? kwa hiyo siyo mabadiriko eti waziri kijana katibu mkuu, mkurugenzi, wakuu wa idara etc ni babu zake...do we think, kutakuwa na mabadiriko ya kweli kwa mtindo huu...leo Aljunior anasemakuhusu technology hivi niambie katika bunge lile/baraza lile, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa hawa...wangapi wanajuwa kutumia kumputa, wangapi kwa siku wanatumia internet siyo kusoma outlook au email, kutumia?...jibu utapata hapo, then hii tecknologia do we think kwa hali hii wataihubiri kweli?...Sasa wamekuja na kitu eti bottom-up approach, eti tuanze sisi wanyonge kujadiri huku chini then maoni yetu yatashughurikiwa...wapi i think ni kutulalisha usinginzi tu ambao mtaalamu Jimmy kasema hapo juu.
Tatizo viongozi wetu hawana vipaumbele wao wanayumba kama bendera kufuata misaada inakopatikana na kuakikisha pesa wamepata ili kutunisha account zao tu...bila kujari dira yake.
The best way to reach the actual development ni kuakikisha tunazingatia viapaumbele vyetu kwenye sera na altitude ya one goal kuahakikisha kila mwaka au muhula wa uongozi, basi kiongozi wetu asema mwaka huu mimi ni maji tu, au barabara tu au teknologia tu, nk hapo tutaweza kumjaji au hata mwenyewe anaweza kufanya evaluation...sasa kila kitu kipaumbele umesikia wapi...impossible kabisa. Hata nyumbani kwako kama hauna focus utashindwa hata kununua kochi, ni lazima ubange mwezi huu au mwaka huu lazima ninunue radio, this is development siyo hapa kwetu tumeendelea sana kwenye ripoti. Kitu kingine hawa viongozi wetu wametokea kwenye shida bora hata sisi, sasa sijui kitugani kinawasahaulisha kwa mfano wanajuwa jinsi mama zao walivyopata shida kuteka maji, leo hii hawakumbuki kuhakikisha maji yanapatikana. Wanahamia Dar tena masaki ah haaaa wanasahau, wanakumbuka wakifulia. Bajeti imepita hamna lolote...wamejitengea pesa tu za kujaza matumbo. Miaka 5 imeisha miye sijui what was the main goal for this five years...kuleta kadhi mkuu, zanzibar nchi kavu au nchi maji, kuleta maji still watu wanakiu, kujenga barabara bado watu wanaugua TB vumbi barabarani, umeme, kuchimba mafuta,kujenga uwanja mpya wa ndege,etc utaona kwa kweli focus ni tege...tunataka kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja, matokeo yake tupo nyuma kwa kila kitu..., si mchezo wa netboli wala bao kote tunashindwa tu. May be tumefanikiwa kumleta Maximo...Tanzania oyeeeeeeeeeee
 
Last edited:
Haujanijibu mie, sijaona chochote hapo, na jua Kenya tuna shida ajabu, we are not in anyway better than you, lakini mwafaa ku angalia mambo yenyu, you concentate too much on non- issues, kama hii hapa. Do you think you are supposed to be better than the rest of EA- Rwanda, Kenya, UG?

Thats why at times I feel like posting on this forum but I degress, its full of this Tanzanian know it all posts that it feels dumb to throw something with a little wit to dissolve the dumbness around.

I have given you 8 points to ponder, and what do you give me numbers and bull.. Its not about Kenya this time, the issue is played out and it bores me to death, lets be true to ourselves instead of burrying our heads like ostriches..

I love Tanzania and Tanzanians but these arguments are getting to your head, think wide, outside the box, move back and see the bigger picture, its not always about you.. let other people get the shine as well instead of hating on every damn post posted by someone outside the borders you embrace so much, accept critisism, and dumb down a little bit Mzalendohalisi.

- OG BAd SEEd-

Kaazi kweli Kweli!!!
 
sasa kaa kimya basi,unaongea dharau halafu mwishoni unajiingiza mwenyewe mtegoni,angalia tusikunyime hifadhi mambo yakichacha kwenu huko maana unatoa maneno machafu halafu mwisho unaomba kipande cha mkate utoe njaa???pole sana utaishia kumezea mate tanzania lakini ukweli unabaki pale pale umezaliwa kenya
 
Mwanafalsa1 , a JF member in one of the posts summarised it all "Watanzania tumepewa kila kitu kasoro viongozi"
 
Sawa.. ni ukweli tu wataka sio?? ati mbona Rwanda inaendelea mbele wakati nyie mwa marktime tangia mpewe uhuru?? Here are my reasons.
1. you lack creativity
2. You are so rigid (hate/fear change)
3. Fear competition unlike Rwanda (the EAC issue)
4. Waste alot of time hating and concentrating on your neighbours faults instead of checking your own.
5. You are inherently lazy, mostly due to ujamaa.
6. You education system is by default designed to fail.
7. you have a confidence problem as a country, where you play second feedle to everyone.
8. Paranoia should be your second name, this leads to 'safe' investments, which are not economical.

I can go on forever, I know I will be crucified, but the truth hurts and its about time you learn the truth.

These blanket condemnatiions will not suffice but will only water the
seeds of hate and arrogance.When you say "You are inherently lazy" who
specifically are you refering to?... coz I have a bunch of examples of hard
working Tanzanians who have gone to great heights to bring development
to the people. Its just like me saying "you Kenyans are tribalists' yet I
know for fact that the contrary is true. Its your leaders who are tribalistic
in their thinking and not the general population.

You claim eti the Tanzanian education system is about to fail?..How
parochial and myopic are your thoughts but lemmie keep that argument
for another day.Comparing the Tanzanian Educatrion system or the
Ugandan Education system to Kenya's will open such a can of worms that
you will not be able to debate issues here.

Your statements are very patronising to say the least and they border on
trying to proclaim your superiority over other countries. Nd'o mliyobaki
nayo hayo.
 
Last edited:
Rwanda ni laana ya vita, kwa visheni na mambo mengine hatuwakuti hata sekunde moja. Kule hata ukisoma CV zao za elimu siyo ngumbalo kama sisi. Huku mtu anapewa uwaziri kwa diploma etc. Tunatakiwa kujifunza kutokana kwenye vi nchi vidogo kama Burundi na Rwanda.

Tuzidi kumuomba Mungu, vita ikitiokea kwetu, usitegemee Rwanda au Burundi watakupokea tha is because tuna mambo ya kibwege mengi.
 
Rwanda ni waka omba omba, hana pesa, ha wana fasi, If the US leaves them, they are going to starve to death. they don't have anything, therefore they have nothing to fear.
 
Rwanda ni waka omba omba, hana pesa, ha wana fasi, If the US leaves them, they are going to starve to death. they don't have anything, therefore they have nothing to fear.

Alafu mwasema eti hamna hate kwa maendeleo ya wenzenu, angalia huyu mtanzania mwenzenu anavyo fikiria.
 
Kaka yangu Jokaa Kuu yupo wapi?

Atakuja hapa atakwambia mikono ya Kagame imejaa damu kwa hiyo hayo maendeleo hayatambui...ohhhh..subiri aje mwenyewe hapa..

Jokes side, nadhani Mwawado kesha summarize kila kitu. Cha muhimu ni uongozi bora, nidhamu na uwajibikaji. Labda kuongezea na Attitude.

Africa we have a long way to go. LAKINI nafurahi kuona watu kama akina Kagame they are not clinging to their past..they have decided to move on. Ni katika viongozi wachache ambao anaweza kutoa speech usisikie anatoa condemnation ya nchi za magharibi ingawa zimechangia sana maafa katika nchi yake. Keshaamua yeye na watu wake kuangalia mbele! Kesho utasikia viongozi wetu wenye maji kichwani wakikwambia hata ukosefu wa umeme ni majaribu ya Mungu!

Juzi nilisoma interview ya Kagame na wazungu..haki ya nani nilitamani kiongozi wangu Kikwete afike hata robo ya huyu jamaa!

Anyway I abhor defeatist mind....l still believe we have a bright future albeit all these challenges. Lets work hard.
 
Alafu mwasema eti hamna hate kwa maendeleo ya wenzenu, angalia huyu mtanzania mwenzenu anavyo fikiria.

Mkuu nadhani unakosea,

Hakuna nchi ya kiafrika inayoweza kupatronize nyingine as you are trying to depict here. We are all in the same boat. Umaskini ulioko Kenya unaweza kuuamini kama ukifika na kuuona. Wewe usione yale maghorofa marefu ya akina Subhash Nairobi ukadhani kwamba hata ndugu zako wa Marsabet au Kwisero wako hivyo. Watu ni maskini sana. Wala huhitaji kwenda Kapsabet kujua hali ya umaskini ulioko katika nchi yako..nenda kwenye jimbo la waziri wako Mkuu..Kibera..ndo ujue unachokiongea. Kenyans are just stinking poor just like any other African country. Only THOSE ON THE FAVOURED LIST ARE DOING ECONOMICALLY FINE. Here I talk of Njonjo`s and co. of this world. Kikubwa cha kujadili hapa ni; what are we doing to rid ourselves with this badge of poverty? na siyo hizi longo longo zako....

Yaani wewe unavyoongea hapa unaonekana kabisa ni kijana wa "mjini" hujui maisha halisi ya Mkenya. And trust me..TZ has loads of problems..lakini there is shade of hope..lakini ukiangalia Kenya nakwambia kabisa..msipowapa WAJALUO kiti cha urais come 2012..Kenya haitatosha...My advise think big! Both Kenya and TZ et al..we have too much problems ambao tunahitaji kuzifanyia kazi..Kenya and TZ we need each other dearly. Ila sasa kwa jeuri na parochial thinking ya wasomi kama nyinyi..ndo mnazidi kusow hatred katika mioyo ya wananchi wa kawaida..We have lots to learn from you, so is you guys!

So, to say the least..wote tuko boat moja. Tunahitaji kuunganisha nguvu tusaidiane. Tunaomsifia Kagame siyo kwamba he represent the best..la hasha..ila he is better compared to what we have..the likes of Kibaki, Mugabe, Kikwete..etc....Otherwise na yeye ni yale yale...

So hold your breath. We need to do something..from Ethiopia to ANGOLA...Gambia to Mogadishu..a common African is suffering terribly..only to be insulted by the likes of World Bank and IMF with their moronic statistics of economic growth. Ambazo watu kama nyinyi kwa sababu mmejaliwa kuliona darasa mnachukulia kama SI Unit ya mafanikio ya waafrika wote.Kumbe si sahihi.

Masanja,
 
ICT kwa kiasi kikubwa imeshikiliwa na watu wenye asili ya kiasia. No mattter hata serikali iwe mipango au miradi mizuri namna gani asilimia kubwa ya h hela za miradi kama ya ICT mzunguko wake utakuwa mdogo sababu muhimili wake umeshikiliwa na wachache sana.

Utakuwa watu wengi wanajiita wataalamu wa ICT. kumbe utaalamu wao uko kwenye management zaidi ya ICT badala kuwa na utaalamu wa ufundi yaani technical. Naamini wataalamu wengi wa ICT waliopo ni wa management au niseme polotiki ya ICT. wanzetu waasia unakuta hana elimu ya kutisha lakini anayachezea marouter.

Kwa tanzania mtu mwenye elimu ya degree au master anaonekana bora zaidi kuliko mtu wenye MSCE au MCP. Lakini ki hali halisi kwa mtu wa frontline kwenye ICT basi vyeti kama hivi na vya CCNA ni muhimu. sisi watanzania tukimaliza degree tunakazania kutafuta matser.

Kwa hiyo kimsingi elimu tunazosoma zinatufanya tuwe watazamaji na waongeaji na sio watekelezaji
 
Im just sick and tired of this issue of poverty in kenya. Yes there alot of poor people in kenya, but guess what, the average kenyan is doing better than the average tanzanian, yes. Just check the HDI stats. With all our inequality kenyans still do better in, even the poor one. GET THAT INTO YOUR HEADS!
 
Re-read what Masanja has said in regards to poverty in both areas. By
claiming the average Kenyan is better off than the average Tanzanian does
not make it better for the hungry suffering masses on both sides of the
border. A poor man living in Magomeni Mapipa has the same tribulations as the
poor man living in Kibera or Mishomoroni...THEY ARE GETTING A RAW DEAL
FROM THE RICH. There is no 'better than' in this case and if anything the
folks of the lesser society should be working to get themselves out of the
rut they are in.

Lets go beyond chest thumping and ego rubbing coz that route spirals us
into an abyss with no resolutions in sight.
 
Mkuu nadhani unakosea,

Hakuna nchi ya kiafrika inayoweza kupatronize nyingine as you are trying to depict here. We are all in the same boat. Umaskini ulioko Kenya unaweza kuuamini kama ukifika na kuuona. Wewe usione yale maghorofa marefu ya akina Subhash Nairobi ukadhani kwamba hata ndugu zako wa Marsabet au Kwisero wako hivyo. Watu ni maskini sana. Wala huhitaji kwenda Kapsabet kujua hali ya umaskini ulioko katika nchi yako..nenda kwenye jimbo la waziri wako Mkuu..Kibera..ndo ujue unachokiongea. Kenyans are just stinking poor just like any other African country. Only THOSE ON THE FAVOURED LIST ARE DOING ECONOMICALLY FINE. Here I talk of Njonjo`s and co. of this world. Kikubwa cha kujadili hapa ni; what are we doing to rid ourselves with this badge of poverty? na siyo hizi longo longo zako....

Yaani wewe unavyoongea hapa unaonekana kabisa ni kijana wa "mjini" hujui maisha halisi ya Mkenya. And trust me..TZ has loads of problems..lakini there is shade of hope..lakini ukiangalia Kenya nakwambia kabisa..msipowapa WAJALUO kiti cha urais come 2012..Kenya haitatosha...My advise think big! Both Kenya and TZ et al..we have too much problems ambao tunahitaji kuzifanyia kazi..Kenya and TZ we need each other dearly. Ila sasa kwa jeuri na parochial thinking ya wasomi kama nyinyi..ndo mnazidi kusow hatred katika mioyo ya wananchi wa kawaida..We have lots to learn from you, so is you guys!

So, to say the least..wote tuko boat moja. Tunahitaji kuunganisha nguvu tusaidiane. Tunaomsifia Kagame siyo kwamba he represent the best..la hasha..ila he is better compared to what we have..the likes of Kibaki, Mugabe, Kikwete..etc....Otherwise na yeye ni yale yale...

So hold your breath. We need to do something..from Ethiopia to ANGOLA...Gambia to Mogadishu..a common African is suffering terribly..only to be insulted by the likes of World Bank and IMF with their moronic statistics of economic growth. Ambazo watu kama nyinyi kwa sababu mmejaliwa kuliona darasa mnachukulia kama SI Unit ya mafanikio ya waafrika wote.Kumbe si sahihi.

Masanja,

Masanja,

umemaliza mchezo na kamata tano ya nguvu.
Naona unavijua vijiji vya Kenya mpaka mikoani...wewe mkali!
 
Well Ab titchaz, why dont u educate your fellow country men who tend to think your country is a little heaven with no problems at all. Teach them about HDI and show them the fact that despite having poverty on both sides of the border, the average kenyan DOES BETTER than the average tanzanian.!
 
Rwandan consulting company named Microsoft Rookie of 2009Rock Global Consulting (RGC) a wholly Rwandan company based in Kigali with offices in Bujumbura has been named the Microsoft Rookie Partner of the Year – 2009 for the East and Southern Africa region which covers 16 countries.
The Rookie of the Year award is given to the Microsoft partner who has demonstrated business growth and expansion potential coupled with remarkable financial results in its first year of partnership.
This prestigious award was presented to Rock Global Consulting Business Architect Director Johnny Kayihura at the annual Microsoft Partnership Dinner held on July 7 recently at the Mt Kenya Safari club in Nanyuki- Kenya.
In a statement issued by Rock Global Consulting Kayihura is quoted saying, “the award is a humbling experience especially in the presence of our peers and partner Patrick Kabagema.”
Winning the Microsoft 2009 Rookie is a tribute to the commitment and passion for success that the whole team at Rock Global Consulting puts into their work and it is a tremendous confidence statement on ICT development in Rwanda,” he added.
Deputy Director Rwanda Development Board (RDB) in charge of ICT Engineer Nkubito Bakuramutsa in a congratulatory message said, “We are quite happy to see that Rwandan companies are now competitive on the regional market.
I want to congratulate RGC and encourage more Rwandan companies to follow the same path. This is a first but certainly not a last award for RGC and our private sector.”
The Chief Executive Officer of Private Sector Federation Rwanda Mr Emmanuel Hategeka said, “We would like to congratulate RGC for scooping a heavily contested Microsoft partner award among peers.
This is testimony of Rwanda’s growing ICT sector competitiveness in the region and the confidence of Microsoft in RGC. We look forward to many more awards for RGC as well as other SME’s in the sector.”
Ends
 
Back
Top Bottom