Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ndiyo mliyoletewa kutoka China?View attachment 1703014
Hii ndo chanjo inayoaminika kwa sasa.
Hii inatoka kwa mother Russia, haina sumu sumu za kupunguza population hii.Ndiyo mliyoletewa kutoka China?
Na ile ya Madagascar ilikua na sumu gani?Hii inatoka kwa mother Russia,,haina sumu sumu za kupunguza population hii
Ile bado iko maabara kwa uchunguzi.Na ile ya Madagascar ilikua na sumu gani?
Uchunguzi ukikamilika Egypt pia watakua wametoa chanjo yao.Ile bado iko maabara kwa uchunguzi.
Russia ni noma sana.Halafu wanaongoza kwenye kila kitu.Kwenye technologia yao ya vita ni balaa tupu!View attachment 1703014
Hii ndo chanjo inayoaminika kwa sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ile ya Madagascar ilikua na sumu gani?
Hakuna cha kuimba wala Mama yake kuimba,nasikia ebola nayo inakuja kwa kasi kuja kumuumbua mtu!Na tuliimba
Wengine hawawezi kuvaa barakoa huko Ulaya wangepewa kitambulisho cha exemption kwani bila feni mgongoni hawawezi kupumua.Hakuna cha kuimba wala Mama yake kuimba,nasikia ebola nayo inakuja kwa kasi kuja kumuumbua mtu!
Chanjo ya Russia na China hata WHO hawa zizungumzi kabisa.Wao wanatizama za US,UK na Germany.View attachment 1703014
Hii ndo chanjo inayoaminika kwa sasa..
ni kweli ,kwa sababu Rwanda ni sehemu ambayo anatarajia kufanya majaribio ya chip zake zile za kumonitor will ya binadamu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. wanyarwanda hawana namna mkuu wao anapiga dollars tu kutoka kwa gates.Kuna siku nilimsikiliza Bill Gate anahojiwa na BBC, alisema katika nchi za Afrika anazotoa misaada, Rwanda anaona value for his money.
hivi ya billgate inaitwaje vile.Ndiyo mliyoletewa kutoka China?
wajinga ndo waliwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ngoja wafanyiwe majaribio Kwanza a ikishapatikana yenyewe ya uhakika watatuambia.Ile bado iko maabara kwa uchunguzi..
watu Kama wewe ni wazuri kwa spesmens za maabara kwa utafiti zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Bumunda![emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1703020