Waha gani hao unawazungumzia ?'waha' wenyewe Red tabara inawatoa jasho kila Mara mabomu ya hapa na pale hayaishi Mara yanarushwa mtaani,kwny airport,kwny vituo vya mabus [emoji16][emoji16] wako dhoofu bin Khali.
'waha' hawahawa.
Unasema M7 alimsaidia PK sio? Hebu nitajie waganda 10 tu waliokufa Wkt wakimsaidia PK kuchukua nchi na Mimi nikutajie maelfu ya wanarwanda waliokufa wakimsaidia M7 kuingia madarakani.Point yako mimi sijaiona kwakua rwanda alimsaidia m7 ktk hustle zake za muimomboa uganda lakini kumbuka pia m7 alimsaidia sana kagame kumuondoa havyarimana hivyo tuseme wote wanajuana battle lao mshindi atatokana na ninani mwenye washirika wengi ambaye kwa haraka haraka hata tukichukua majirani wanaozizunguka nchi hizo Uganda ana marafiki na uungwaji mkono wa nchi nyingi mf . DRC. TZ . Burund. n.k hao hawawezi msaidia kagame
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwaniRwanda aliipiga mara 3 Uganda kwny kisangani war,maelfu ya wanajeshi wa Uganda waliuwawa na mageneral wa jeshi la Uganda walitekwa wakapelekwa Rwanda baadae wakapandishwa ndege from Kanombe to Kampala kwa aibu Sana,Kagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda anawafahamu Uganda nje ndani yaani kifupi wanajeshi wengi walioko kwny jeshi la Rwanda RDF(Seniors) walilitumikia jeshi la Uganda tangu likiwa Msituni wakiwa waasi wakiitwa NRA mpk Sasa wanaitwa UPDF kwa hio wanalijua nje ndani.
Mwisho wa siku Hawa hawatapigana,watafanyiana vitimbi vya kuchokonoana kiinteligensia then ndo basi tena.
Rwanda hawezi shinda vita yeyote itayopigwana ndani ya ardhi yake na majirani zake labda burundi.Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwani
😄😄 Makamanda wengi wapi hao unawasemea?tatizo la Kagame ni wananch wake. mpaka leo hawako pamoja hvyo ikitokea vita ikaiva kama ile ya Ethiopia wananch watagawanyika asubuh. mpaka leo Mhutu anahc ni mtumwa nchin kwake. kingine jamaa wale makamanda weng alioingia nao madarakan wamekimbia nch au wameuwawa.
Kuna mdau nilimjibu kule juu hivi.Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwani
Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kuwa makada wa chama chochote hapa umeandika pumba.Unazungumzia hii TPDF ambayo makamanda wengi Ni makada wa CCM wasio na weredi wowote? Poleni sana.
Itategemea nani amepandikiza wapelelezi kwa maana ya majasusi wengi kwa mwenzake. Na bila shaka ni KGM. Labda Musaba asaidiwe na wasaliti wa ndani ya Rw ambao ni mahasimu wa KGM. Na hapo anaweza akajitahidi kuwagawa Wht na Wts ili apate ufa. Na hapo ndio tunakuja kupata umuhimu wa kuwa na umoja wa kitaifa.Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Kwani M7 nchini kwake anapendwa na wananchi?Itategemea nani amepandikiza wapelelezi kwa maana ya majasusi wengi kwa mwenzake. Na bila shaka ni KGM. Labda Musaba asaidiwe na wasaliti wa ndani ya Rw ambao ni mahasimu wa KGM. Na hapo anaweza akajitahidi kuwagawa Wht na Wts ili apate ufa. Na hapo ndio tunakuja kupata umuhimu wa kuwa na umoja wa kitaifa.
Hata mimi huaga nachekaga sana kuhusu hi, eti Rwanda kumpiga Tanzania; enzi za JK mwishoni pale tulipeleka majeshi kwenda kuwatandika M23, in fact ile ilikua vita ya Tanzania na Rwanda, M23 walipigwa na JWTZ iliingia hadi viwanja vya huko huko Kigali na kimbau mbau akaomba poo; sema Magufuli alivyoingia sijui alikua na ukaribu sana na Kagame, akalegeza.